Mndwyika.wetu
JF-Expert Member
- Jul 15, 2012
- 652
- 829
Mkuu u are very correct..To be honest, uungawaji wa mkono kwa jamaa ni kwa watanzania wachache sana hasa wanachama wake. Watu wamechoka hawaoni faida yeyote itokanayo na maamuzi yao ya 2015 zaidi ya maisha magumu kila kukicha. Wafanyabiashara hawana hamu kabisa mambo hayaendi mbele kila mtu analia na hali ngumu, watu wanashindwa kurudisha watoto shule walizokua wakiwasomesha watoto wao baada ya kukosa karo.
Pamoja na mambo mazuri yanayosemwa kua kayatimiza, kulikua na haja gani system nzima ya mifumo ya kibiashara kwenda mrama? Sasa kua na kiongozi flani ndio kuwe na maisha magumu jamani? Is it necessary to live within a worsened situation while it my come back to knock for its existence again?
2020 bado na hali hii hii na hata kama unapata mlo mmoja kwa siku utasema naenda kumchagua jamaa tena aboreshe maisha yangu walao nipate milo miwili kwa siku? Yaani amefanya ule mlo mmoja, bado utarudi kumpa kura akupatie milo miwili, how come?
Mbona wakati wa jamaa wa Msoga usalama ulikuwepo, majengo kule UDOM na kwingine yalikua yakiporomoshwa tuu? Mbona Life lilikua safi tuu? Kwani life kua gumu ni kwa sababu ya kuziba mianya ya rushwa au ni namna ya kuchagua kupanga jamani? Mbona hapo Rwanda Life ni tamu sana na pesa ipo ya kutosha watu wanafurahia maisha?
Hata kama wewe ni muwekezaji,ukisikia mambo ya wadai mpaka wanashika ndege nje ya nchi ili tuwalipe,utawekeza?Labda kama pesa uliokota!Mkuu u are very correct..
Huyu jamaa amefeli completely..
Kuna sababu nyingi zilizopelekea hali kuwa hivi. Pamoja na namna alivyovuruga mifumo mingi hasa ya uchumi na biashara,hakuna kosa KUBWA alilofanya kama la kuvuruga DEMOKRASIA hii Nchi ambayo ilikuwa imefikia.
Hivi sasa Tanzania isn't a DEMOCRATIC Country.
Nchi hii ili iende mbele inahitaji investors hasa Foreign Investors. Hawa ndio watakuja kuwekeza, ajira zitapatikana,kodi itapatikana na uchumi kufunguka.
Hakuna foreign investor anayeweza kuja Tanzania hivi sasa.
Kitu cha kwanza muwekezaji kabla hajaamua kwenda kuwekeza kwenye Nchi yoyote anatizama hali ya DEMOKRASIA kwenye Nchi husika. Nani atakuja kuwekeza mahali ambapo hujui kesho yako??
Hakuna foreign investors hakuna uchumi utakaokuwa kwa Hizi zetu za Africa.
Ndio maana Kenya a lot of investors are running into that Country. Wana problem ya Ethnicity,wana problem za hapa na pale za insecurity lakini Kenya is a Democratic Country. Hiyo tu ni uhakika mkubwa kwa investors.
Mwl Nyerere aliwahi kusema "hatuwezi kuwa na rais ambaye hatujui kesho ataamka amefikiria nini au ameshauriwa nini na mke wake". Kwa wakati ule kilionekana ni kijembe kwa mzee Mwinyi lakini leo kauli yake inaonyesha maana.
Hatujui mwelekeo wa nchi kiukweli hatujui kesho atafukuzwa na nani au ziara ya rais au waziri mkuu itakuwa wapi. Hatujui kama tutaamka tunafagia barabara au tutaingia ofisini kwetu kama kawaida.
Hatujui tunaanza na nini, kujenga viwanda au kuboresha miundombinu na kuimarisha kilimo ili tupate malighafi.
Hatujui tatizo la sukari kwa mfano linaondoka kwa kurekebisha viwanda vyetu na kuongeza uzalishaji wa miwa au kuruhusu sukari ya nje au tuvamie magodauni ya watu
Ukimuangalia usoni na ukasikia anachotamka unakiri ana nia kabisa ya kututoa hapa. Swali ni je? anajua jinsi ya kututoa?
Anajua anakotupeleka? Nimejitahidi kuangalia bunge ili nione labda mawaziri wake wanaweza kuonyesha mwelekeo, huko nikachanganyikiwa zaidi.
Mwanamtandao mmoja alisema unaweza kuwa na dereva mzuri anayefuata sheria zote za barabarani lakini hajui anaenda wapi!
Fact.Hata kama wewe ni muwekezaji,ukisikia mambo ya wadai mpaka wanashika ndege nje ya nchi ili tuwalipe,utawekeza?Labda kama pesa uliokota!