na vitunguu gengeni udai risitiUkitaka kufata kalamu dukani ukumbuke kudai risiti
Kila mahali dai risitina vitunguu gengeni udai risiti
Mkuu u are very correct..
Huyu jamaa amefeli completely..
Kuna sababu nyingi zilizopelekea hali kuwa hivi. Pamoja na namna alivyovuruga mifumo mingi hasa ya uchumi na biashara,hakuna kosa KUBWA alilofanya kama la kuvuruga DEMOKRASIA hii Nchi ambayo ilikuwa imefikia.
Hivi sasa Tanzania isn't a DEMOCRATIC Country.
Nchi hii ili iende mbele inahitaji investors hasa Foreign Investors. Hawa ndio watakuja kuwekeza, ajira zitapatikana,kodi itapatikana na uchumi kufunguka.
Hakuna foreign investor anayeweza kuja Tanzania hivi sasa.
Kitu cha kwanza muwekezaji kabla hajaamua kwenda kuwekeza kwenye Nchi yoyote anatizama hali ya DEMOKRASIA kwenye Nchi husika. Nani atakuja kuwekeza mahali ambapo hujui kesho yako??
Hakuna foreign investors hakuna uchumi utakaokuwa kwa Hizi zetu za Africa.
Ndio maana Kenya a lot of investors are running into that Country. Wana problem ya Ethnicity,wana problem za hapa na pale za insecurity lakini Kenya is a Democratic Country. Hiyo tu ni uhakika mkubwa kwa investors.
Umeona vijana wa mwali Nyerere university walivyosema?CCM wao bado wana hang over ya UJAMAA .................!!
Hapana mkuu. Wamesema nini!!?Umeona vijana wa mwali Nyerere university walivyosema?
Huwa najiuliza hivi kweli wanaweza kusema ukweli ambao ndio ulivyo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanampongeza sana na wako nyuma yake kuhakikisha kwamba Tanzania unapita hatua kubwa kwenye maendeleo.Hapana mkuu. Wamesema nini!!?
Ndoto ya asubuhi mara nyingi huwa tamu!!!Tunapelekwa kwenye nchi Ya ahadi tulia tu utashuhudia tunavyoinyatia nchi hiyo bwana magugu aliyohaidiwa
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Pogba ni mtu ghali sana katika soka. Kumfananisha Pogba na huyu mtu si haki. Ni dharau kubwa. Huyu afananishwe kama si kuitwa kabisa Sizonje au Makinikia.Hilo linamfaa.
Hahaha...umetisha kamanda!Mleta mada angalia tu,usije ukapimwa UTI hatukosolewi sisi ni wana watukufu kabisa hatujawahi wala kukwapua Mali za mtu hata kile kivuko kibovu ilikuwa bahati mbaya tu kuonekana ni kibovu lakini kipya kabisa kimetengenezwa hivi karibuni yaani mwaka 1928 si juzi tu.
Ni kweli kabisa mkuu. Kikosi cha mizinga walikuwa on-fire kipindi hicho. utabaki kuwa wimbo bora wa muda wote katika historia ya hip hop Tanzania..Huu wombo ni wimbo bora wa muda wote wa hip hop tz...sidhani kama utatokea wimbo wenye ujuzi wa maneno kama huu