Hiyo takwimu ya kila mtu ananalamika umeitoa wapi? Labda kama ya mtaani unakoishi ndio wanalalamika pasi kujua tatizo wanalo wao.Hivi weye unaishi nchi gani hadi nikupe mifano? Acha kuwa mpiga zumari mwenye mapengo. Kila mtu analalamika kuwa maisha yameenda kombo. Haya, weye unaeona yapo sawa, hongera!
Ila weye ni hopeless kwelikweli! Kitu kikiwa kinanuka utamaizi muonekano wa pua na sura za waungwana kwa yanayowafika. Harufu mbaya haishikwi kwa mikono wala kuhesabiwa kama bagia. Grow up mtu!Hiyo takwimu ya kila mtu ananalamika umeitoa wapi? Labda kama ya mtaani unakoishi ndio wanalalamika pasi kujua tatizo wanalo wao.
"Ukiwa Raisi unatakiwa ujue hali za wananchi wako na kuzifanya ziwe bora",,raisi anapigania matatizo ya jumla kama elimu,dawa,barabara,maji,umeme na miundo mbinu kwa ujumla,tatizo nyie mnaongelea matatizo binafsi ndo maana nilikupa mifano fulani.Ok.. mfano mwingine USA tunaiita LAND OF OPPORTUNITY,ila marekani hiyo hiyo kuna wabongo kibao wanalalamika mambo magumu na kulalamikia system,tofauti kule unakufa kivyako tu,hakuna wakukusikiliza,maana yangu ni kuwa mtu mweusi ameumbwa mlalamishi sana.Tangu serikali ya Nyerere mpaka hii awamu ya tano hakuna siku watu hawajalalamikia serikali hata ingefanya nini.Pambaneni na hali zenu.Unajieleza mambo meengi utadhani wakili wa serikali au msemaji wa ikulu. Jus 'bear it into your rug-head, ukiwa kiongozi unapaswa kuzijua hali za wananchi na kuzifanya kuwa bora.
Halafu, hakuna mtu anayesema anataka kugawiwa fedha na serikali. Kauli za baada ya uchaguzi ni kama hizo zako. Hivi alivyokuwa anapiga tu-pushapu twa JKT alikuwa anataka nini? Aliahidi nini? Kwa mawazo yako mtu akimsomesha mtoto wake shule ya gharama ni lazima awe amepiga dili? Acheni kuongozwa kwa hisia hasi mtahasiwa!!!
Mkuu kama wewe ni mtumishi wa umma,kwenye mkataba wako umeandikwa mshahara utaongezeka kwa % ngapi?,na kila baada ya muda gani?Mishahara kwa watumishi wa umma haijaongezwa toka 2014 , ina maana mtumishi atakaye staafu mwaka 2017 atalipwa sawa na yule wa mwaka 2014 , kwani huko si kuchezea maisha ya wa Tz huo ni mfano mmoja mingine ongezea mwenyewe.
Kwa hiyo umekaaa, ndiyo umewasili na utetezi nyololo hivi? Mambo ya Wamarekani unataka kuyafananisha na uwanja wa fisi kwa lipi hasa? Hakupata Urais ili ajifananishe na mtu. Alisema hatawaangusha! Akatwanga na tu-pushapu twa kimtindo. Mumwambie nchi inaelea kwenye ufakiri. Abadili mbinu za kupiga pushapu."Ukiwa Raisi unatakiwa ujue hali za wananchi wako na kuzifanya ziwe bora",,raisi anapigania matatizo ya jumla kama elimu,dawa,barabara,maji,umeme na miundo mbinu kwa ujumla,tatizo nyie mnaongelea matatizo binafsi ndo maana nilikupa mifano fulani.Ok.. mfano mwingine USA tunaiita LAND OF OPPORTUNITY,ila marekani hiyo hiyo kuna wabongo kibao wanalalamika mambo magumu na kulalamikia system,tofauti kule unakufa kivyako tu,hakuna wakukusikiliza,maana yangu ni kuwa mtu mweusi ameumbwa mlalamishi sana.Tangu serikali ya Nyerere mpaka hii awamu ya tano hakuna siku watu hawajalalamikia serikali hata ingefanya nini.Pambaneni na hali zenu.
Kwa hiyo umekaaa, ndiyo umewasili na utetezi nyololo hivi? Mambo ya Wamarekani unataka kuyafananisha na uwanja wa fisi kwa lipi hasa? Hakupata Urais ili ajifananishe na mtu. Alisema hatawaangusha! Akatwanga na tu-pushapu twa kimtindo. Mumwambie nchi inaelea kwenye ufakiri. Abadili mbinu za kupiga pushapu.
Hahahaaa. Vijana wa Dotcom wanapenda anasa pesa hawana. Ikifikia mwenye nyumba anadai kodi ya pango lake wanalalamika pesa mtaani haipo serikali imebana.Wengi wakizidiwa madeni wanakimbilia JF kulalamika.
Mkuu hawa vijana walizoea mtelemko,walizoea wepesi wepesi,awamu hii ni kukaza buti ili gurudumu lisonge,ila nawaambia kila siku hasira hazisaidii,ni kubadili mwenendo tu.Hahahaaa. Vijana wa Dotcom wanapenda anasa pesa hawana. Ikifikia mwenye nyumba anadai kodi ya pango lake wanalalamika pesa mtaani haipo serikali imebana.
Mfano uliotoa hauendani, ulishawai kumwona mzazi anamwachisha/mfukuza kazi mwanae? Au ulishawai kumwona mzazi anamnyima mkate mwanae ?tena hawawaji ata kukosana.Hii ni sawa tu na watoto kumlalamikia baba au mama yao kuwa ni mnoko anawapa wakati mgumu. Sawa, kwa uelewa wao mdogo wanakuwa sahihi, lakini kwa aliyepevuka kiakili atagundua kuwa wakifanyacho wazazi kwa watoto ni sahihi. Mwisho wa siku hao hao watoto, wakishafikia umri wa utu uzima, watajirudi na kuanza kuwasifia wazazi wao kwa kuwapa malezi safi kabisa yaliyowajenga kimaadili.
Hakuna mzazi mwenye nia mbaya na makuzi ya mwanae. Vilevile mzazi akifuata maelekezo au malalamiko ya watoto kuhusu malezi kwa hakika ataharibu tu mfumo mzima wa malezi bora.
Basi ni kweli wewe ni mpiga zumari wa mfalme kama hujui kinacho endelea mitaani, makazini hata vyuoni! Na kwa taarifa yako hata wale wa mabaka mabaka nao wanalalamikia hali mbaya sana hasa baada ya kufutiwa yale maduka yao yenye nafuuHiyo takwimu ya kila mtu ananalamika umeitoa wapi? Labda kama ya mtaani unakoishi ndio wanalalamika pasi kujua tatizo wanalo wao.
Leta takwimu sio kuleta fununu. kama uyasemayo unayajua yabainisha hapa. Twende kwa facts.Basi ni kweli wewe ni mpiga zumari wa mfalme kama hujui kinacho endelea mitaani, makazini hata vyuoni! Na kwa taarifa yako hata wale wa mabaka mabaka nao wanalalamikia hali mbaya sana hasa baada ya kufutiwa yale maduka yao yenye nafuu
Kwa maana hiyo unataka watu wasifukuzwe kazi hata kama hawastahili kuwepo kazini? Ndicho hiki kutu mnacholilia?Mfano uliotoa hauendani, ulishawai kumwona mzazi anamwachisha/mfukuza kazi mwanae? Au ulishawai kumwona mzazi anamnyima mkate mwanae ?tena hawawaji ata kukosana.
Ukikua utaelewa Ila kwa Sasa una haki ya kufikiria hivyoMaisha hayajirudii Mara mbili tunahitaji kupiga hatua,tunataka maamuzi yenye tija kwa nchi sio maamuzi yenye hasara kila kukicha
Magufuli wewe ni mkuu wa nchi tumekupa kila kitu ili uwe dereva wa nchi yetu
Sasa kwanini unkosea kila maamuzi unayofanya?
Ni kweli watanzania tulikosea lukuchagua?
Magufuli kuwa fisad sio kuiba Mali ya umma tu hata kulitia Taifa hasara kutokana na maamuzi ya hasira na yasiyofuata sheria ni ufisad
Tulikuamin tukasema Tanzania imepata nyerere mpya lkn imekuwa tofauti
Tupo njia panda mkuu magu hatujui jahaz laenda kus au kas
Tuliza kichwa Fanya maamuzi sahihi usituharibie nchi
We live once miaka mitano au kumi inatosha kabisa kuharibu maisha ya watu kutokana na Sera zako
This is a wake up call
02 : 35
Sep.05.2017
Usiku mwema
mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
'Zip up your boots Magu and advance forward' usisikilize vilio vya WAKORA.Maisha hayajirudii Mara mbili tunahitaji kupiga hatua,tunataka maamuzi yenye tija kwa nchi sio maamuzi yenye hasara kila kukicha
Magufuli wewe ni mkuu wa nchi tumekupa kila kitu ili uwe dereva wa nchi yetu
Sasa kwanini unkosea kila maamuzi unayofanya?
Ni kweli watanzania tulikosea lukuchagua?
Magufuli kuwa fisad sio kuiba Mali ya umma tu hata kulitia Taifa hasara kutokana na maamuzi ya hasira na yasiyofuata sheria ni ufisad
Tulikuamin tukasema Tanzania imepata nyerere mpya lkn imekuwa tofauti
Tupo njia panda mkuu magu hatujui jahaz laenda kus au kas
Tuliza kichwa Fanya maamuzi sahihi usituharibie nchi
We live once miaka mitano au kumi inatosha kabisa kuharibu maisha ya watu kutokana na Sera zako
This is a wake up call
02 : 35
Sep.05.2017
Usiku mwema
mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?