Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,654
Mkuu nimesema kulitia Taifa hasara kwa maamuz yake ya gafla unaweza uone ni kitu kidogo lakin kina athari kubwa sana kwenye uchumi wa nchi ni sawa na kuwa fisadi tuHebu sema mkuu, wewe binafsi JPM kafanya decision gani mbaya ambayo imeletelea kuharibu maisha yako?Kwa upande wangu mimi, mzunguuko mdogo wa fedha umeniathiri,lakini nimefurahishwa sana na uboreshaji wa miundombinu,kudhibiti wizi wa mali zetu za asili;kupiga vita ufisadi,wizi wa mali za uma,matumizi ya vyeti fake,uzembe sehemu za kazi,rushwa,ukwepaji kodi,matumizi na uuzwaji wa madawa ya kulevya na kuongeza uwajibikaji sehemu za kazi.
Hata hivyo harakati hizo ambazo nimezitaja kwa kiasi kikubwa, naamini ndizo zilizofanya mzunguuko wa hela uwe mdogo.Kwa sababu hiyo sichukii, kwa kuwa najua nia ni njema kwetu na maendeleo ya taifa kwa ujumla.Najua kwamba kila jambo lina "pro and cons."
mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?