joyce mngongo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2016
- 890
- 972
Naona kila kona,kila mitandao wananchi wamechukia na wana hasira sana kiasi ambacho hakijawahi kuonekana tangu Uhuru
Je kiakili wananchi wameasi utawala wao?
we utakua unawashwawashwa.1.uchumi umekuwa mgumu hela ya magufuli imekuwa kama bikra kupatikana hostel I
2.Nissan patrol beigani wana
3.lissu
4.jeshi LA polisi
5.wasiojulikana kukinukisha Kwa wajeda
6.survival for the fittest ..CCM the strong suppress the weakest Ukawa
7.bashitelism advanced assassin
8.
.,...
Ongeza
Don't mind me
Sawa
Duh, aisee.Uhusika wa Chagademus kwa Matundu ya Lissusi
naona hii ndo leading, ila haipendwi hata kidogoUhusika wa Chagademus kwa Matundu ya Lissusi
True. Wanajitahidi kuifunika kwa PROMO nyingi za ndani na nje ya nchi lakini bado ndo leading!!!!!!!!!!naona hii ndo leading, ila haipendwi hata kidogo