joyce mngongo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2016
- 890
- 972
Utawala umekua mumiani,wachache wana tuonea,wanatukandamiza,wanatukashifu,kutudharau na kutuuwa,ndio matokeo ya yote yatokeayo sasa hivi.na raisi hafichi anasema wazi na anajua anarekodiwa sauti na sura yake kwe video.ni kiburi na jeuri iliyoje kwa mnyonge ? magufuli akifunga mlango mmoja, Mungu atatupatia mlango mwingine wa kutokea.tutatoka kwa rehema za Mungu iko siku,Amen.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app