Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Utawala umekua mumiani,wachache wana tuonea,wanatukandamiza,wanatukashifu,kutudharau na kutuuwa,ndio matokeo ya yote yatokeayo sasa hivi.na raisi hafichi anasema wazi na anajua anarekodiwa sauti na sura yake kwe video.ni kiburi na jeuri iliyoje kwa mnyonge ? magufuli akifunga mlango mmoja, Mungu atatupatia mlango mwingine wa kutokea.tutatoka kwa rehema za Mungu iko siku,Amen.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona kila kona,kila mitandao wananchi wamechukia na wana hasira sana kiasi ambacho hakijawahi kuonekana tangu Uhuru

Je kiakili wananchi wameasi utawala wao?

Mazoea ni mabaya, huku kijijini kwetu Sangumwalugasha tunaendelea kuchapa kazi!!!
 
1.uchumi umekuwa mgumu hela ya magufuli imekuwa kama bikra kupatikana hostel I

2.Nissan patrol beigani wana

3.lissu

4.jeshi LA polisi

5.wasiojulikana kukinukisha Kwa wajeda

6.survival for the fittest ..CCM the strong suppress the weakest Ukawa

7.bashitelism advanced assassin

8.
.,...

Ongeza

Don't mind me
 
1.uchumi umekuwa mgumu hela ya magufuli imekuwa kama bikra kupatikana hostel I

2.Nissan patrol beigani wana

3.lissu

4.jeshi LA polisi

5.wasiojulikana kukinukisha Kwa wajeda

6.survival for the fittest ..CCM the strong suppress the weakest Ukawa

7.bashitelism advanced assassin

8.
.,...

Ongeza

Don't mind me
we utakua unawashwawashwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baiskeli ya miti ni kwa ajili ya mteremko tu kwenye muinuko lazima isukumwe! Wengi tulizoea miteremko kama baiskeli za miti!
 
Akili ndogo inapoongoza akili kubwa ndo utaona vituko vinavotokea Tanzania.
  • Msema Kweli hataki kuambiwa ukweli
  • Bashite mpaka leo anakula maisha na vyeti feki huku wenye vyeti original wakiwa mtaani
  • Sakata la Makinikia limeibuliwa kwa Mbwembwe ila mrejesho umekuwa kimya
  • Tundu Lisu anapigwa Risasi na watu wasiojulikana
  • Profesa akinikia anatetewa kuwa Ni Mr Clean kama vile wanatengeneza Muvi
  • Wahalifu wanauwawa ili kuficha ushahidi
  • Raia zinaumia kimya kimya ila hazisemi
  • Wanasema kujifungu bure,ila ukifika hospitalini,Wajawazito wanashea kitanda watano watano,Wanaambiwa wanunue Delivery KIT na nesi wanampa 10,000
  • Walimu wanafundisha lakini hakuna mitaala
  • Mishahara haijapanda hata kwa asilimia 1 lakini mfumko wa bei umefika asilimia 50
  • Kuna upungufu wa watumishi lakini wengi wenye elimu wamejaa vijiwe
  • Tunalipa kodi ya majengo halafu yanabomolewa ndani ya wiki
  • Mahakama inatoa court order halafu ule mhimili uliozama zaidi unaidharau
  • Mnateuliwa Kaimu Jaji Mkuu halafu.....
Naukumbuka UKUTA laiti tungeuweka Labda Lissu Asingepigwa Risasi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom