Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Hapa sasa watakutana wahanga wa ajira...waliofukuziwa baba zao/mama zao toka kwa system ya pesa..wapiga dili za magendo na walio kosa mikopo vyuoni....endeleeni kudanganyana hapa...
Pambana na hali yako[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka mnooo tena mnooo[emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Ni wachache tu atakayeamini kuwa CDM ndio ingeweza kuleta maendeleo
 
Mm nimemuelewa mkulu kwenye kipengele cha kuliparanganyua hili taifa sasa aendelee kulibomoa kitakuja kichwa makini kupanga tofali
 
Reactions: SDG
Mkuu sigara kali, nimeelewa andiko lako umenena ukweli sema umetumia lugha kali kama jina lako.

Kwa uelewa wangu mdogo wa sheria nafahamu katiba ya tz ibara ya 64(5), katiba iinatamka wazi kwamba; hakuna sheria yoyote haitakuwa juu ya katiba na sheria yoyote inayotugwa nje ya katiba inahesabiwa batili moja kwa moja.

Kitendo cha kupiga marafuku mikutano ya kiasia wakati katiba inatamka tanzania ni nchi inayofuta mfumo wa vyama vingi ni ukiukaji na uvunjifu wa katiba wa wazi. Vitendo vya watu wasiujulika kuteka na kutesa watu na mauaji ni ukiukwaji wa haki za binadamu(bill of rights) na uvunjivu wa katiba maana katiba yetu inatamka wazi kila mtu ana haki ya kuishi hata km nimwalifu au humpendi.

Tanzania itakumbolewa na watanzania wenyewe
 
Jiwe kizani. Ukisikia kelele limewapata watembea kizani. Inauma na inasikitisha sana.
 
Alisukumizwa tu! Hajui atendalo yuko busy kuteka, kutesa na kuwinda wanaomkosoa kwa SMG. Janga kubwa huyu.

Huku kanda ya ziwa tumesubiria meli mbili mpaka basi. Sasa hivi usafiri Wa maji na bandari zimekufa.rais yupo kimya
 
Reactions: SDG
kasome kwanza maendeleo ni nini alafu ndio uje mada yako hapa. usituchoshe wakati hata neno maendeleo hujui maana yake.
 
Tutajie basi hao watakaoleta maendeleo hapa nchini, kwa kurejelea uchaguzi uliopita!
Unaongelea uchaguzi gani, kwa sababu nijuavyo mimi hapa Tanzania huwa tunatumbukiza vikaratasi visandukuni. Kisha policcm na usalama wao wanavitumia vikaratasi hivyo kumpigia kura wanayemtaka. Safari hii eti walimtaka Pombe!!!!!!!
 
Sahihi kabisa inakubidi uwe mwendowazimu kuamini hii serikali inayoendeshwa na mawazo ya mtu mmoja tena mtu mwenyewe ni mpuuzi ambae hajui kitu, itakuletea mabadiliko chanya kwenye nyanja yoyote ile.
 
Sigara upo sahihi sema umetumia lugha Kali sana Mkuu,punguza ukali wa maneno utaeleweka tuu..
 
Elimu yako please
 
Aaalah kumbe ccm wote niwaongo kwa watanzania?? Umesahau ilani za ccm?? Nenda kaisome vizuri
 
Maendeleo ya kweli yataletwa na watanzania wenyewe na ni kwa kuchapa kazi tu hakuna njia nyingine
MAGUFULI:najua maneno haya ni machungu lakini ndio ukweli asiyefanya kazi na asile
Tulimchagua atuambie ukweli
Hapa ni kazi
Sio machungu ila nikipuuzi,uchape kazi wakati mfumo mzima umevulugwa
 
Tena sio ujinga tu,ni ukichaa kabisa.labda maendeleo ya kupiga wapinzani risasi,kuwaweka rumande kila siku,kuwaita wachochezi ktk kila mahakama ya Tanzania.kulipua mabomu maofisini,na nyumbani kwa shehe,kuchangaya jeshi na diwani wa ccm na mchungaji uchwara.hayo ndo maendeleo ya magufuli nchini na asiyotaka yakosolewe wala uchunguzi huru uafanyike dhidi ya kusudio la kumu uwa Lisu.yaani huyu mtu ni Bomu la Korea kaskazini !
 
Ahahahaaaa....!! Emoji uliyotumia umenifanya nimkumbuke Mshana Jr...Steve Wounder pamoja na mchekeshaji wa Marekani Mzee, Bill Cosby...[emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli hutaki Shobo...
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…