Ni upumbavu wa kupindukia kulinganisha vyama hivi, ccm na cdm, eti ukisema vyote ni vya hovyo . . , wakati kuna chama kimoja kimeongoza nchi kwa miaka 40 na kingine hakijapewa hata nafasi ya kuongoza Halmashauri kwa uhuru . . !
Unalinganishaje chama kimoja ccm, kina wanachama na makada IKULU, JWTZ, TISS, MAGEREZA, BUNGENI, POLISISIEM . . ,
na chama kingine (cdm) madiwani, wanachama , na wabunge wake wanawindwa kwa bunduki mchana kweupe kila kona ya nchi . . ??!
Hivi wewe una akili sawasawa kweli . . ?!!
Unafananishaje vyama hivi viwili , wakati chama kimoja kina miaka 40 ya kutawala, kikiwa ndio chama kilichoasisi mifumo hii ( ya kiusalama, uchumi, afya, sera etc) tunayotumia mpaka sasa . . , na chama kingine Sera zake hazijapata hata kujaribiwa hapa nchini . . ??!!
Kwa akili hii kwa nini nisikutukanie mamaako . . ??! [emoji35] [emoji35] [emoji35]