Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Kuamini maendeleo yataletwa na chama fulani ni zaidi ya uwendawazimu

Mfumo wetu wa kuongoza nchi ni kwa kupitia vyama vya Siasa . . , Sera za maendeleo , uchumi, afya, elimu, na kila kitu chetu tunachofanya hapa nchini vinabuniwa na wanasiasa wa ccm . .
Sasa unasemaje maendeleo hayaletwi na vyama vya siasa . . ???!!
 
Wapinzani wa Tanzania ni wanaharakati. Hakuna serikali yeyote duniani inayoweza kuwavumilia. Wanamlaumu Magufuli kwa nchi kukosa amani lakini wanatakiwa waangalie kioo. Wajipime wanayoyafanya ni DEMOKRASIA AU DOMOKULASIE.

Hakuna serikali yeyote duniani inayochukua ushauri kwa chama cha upinzani.

Hawa jamaa wakisharopoka wakipuuzwa wanasema Magufuli hashauriki.

Kimsingi wanataka washiriki kuongoza nchi. News flash!!! Hawako madarakani. Waache walio madarakani watekeleze sera zao zilizowapa ushindi kwenye uchaguzi.

Ni upuzi kupambana na serikali eti wanaikosoa. Unaikosoa kwanini. Ukiikosoa itarekebisha makosa yake na itashinda uchaguzi ujao. Iache iharibu halafu tumia makosa ya serikali kufanyia kampeni uchaguzi ujao.

Sasa hivi chama cha Democrat cha Marekani kinajiaanda na uchaguzi ujao.

Hakijiandai kwa kupambana au kumtukana Trump. Kinajiandaa kwa kufikisha ujumbe wao kwa wananchi.

Wamegundua sababu kubwa iliyofanya Trump ashinde ni udhaifu wa mgombea wao kisiasa na kukosa ujumbe au ahadi za maana kwa wananchi.

Na hawajiandai kwa mikutano na maandamano ya chama. Maandamano ya Marekani hasa kwa kipindi hiki ni fujo tu na yanaishia polisi.

Wanajiandaa kwa kutumia vyombo vya habari na mitandao.

Wanajiandaa kwa kukusanya pesa za kampeni.

Wanajiandaa kwa kukwamisha maazimio ya Trump bungeni.

Hawapambani na serikali wanapambana na wapiga kura.
 
Mimi kama Mtanzania kijana ninae jielewa nimesoma naona ni ujinga na upumbavu wa hali ya juu kuamini huyu Magufuli ataleta maendeleo katika nchi hii

Jana usiku nlikua naangalia video jinsi watu wanavyofanya kazi katika International Space Station ,kile chombo kimetengenezwa kwa technology ya hali ya juu kutoka kwa wamarekani na nchi tajiri kama 15 hivi duniani
Nkajiuliza hapa kwetu kuna mtu anaitwa Magufuli ambae ndo mkuu wa nchi watu wamemwona kama mkombozi wao ndo mzalendo eti anaweza kuibadilisha Tz wakati yeye mwenyewe kakalia majungu,mipasho ,kejeli masimango kwa watu ambao wanaweza wakaipaisha Tanzania yetu kwenye maendeleo ya kufikia kuanzisha ISS yetu
Tumeshaona jinsi serikali ya pombe inavyokopa hela kimya kimya tena mabilioni ya dola
Pangaboi yetu moja imekamatwa Canada kwa madeni yasiyo na kichwa wala miguu mtu katoa taarifa anaitwa mchochezi
Pombe hajaongeza salary kwa watumishi
Pombe kavuruga katiba kwa kuminya mikutano ya kisiasa ambayo ipo kisheria
Pombe kavuruga uchumi wananchi wake now wanateketea kwa njaa ya mkwanja na mlo mmoja
Pombe kabana Uhuru wa kuongea na kutoa maoni yani hataki kukosolewa kana kwamba nchi ni Mali yake
Vikao vya chama POMBE anavifanyia ikulu yani jumba la watanzania wote wenye vyama na wasio na vyama yeye anafanyia kikao cha chama chake huu ni ujuha
Itafika 2020 naamini pombe hakuna la maana atakalofanya kwa nchi na wananchi kwa ujumla zaidi ya kuongeza Shida tu
2020 huyu jamaa tumpige chini anatuharibia tu nchi yetu
NB: SINA CHAMA NA HAYO MAPOVU YENU WANA FISIEMU MYAPELEKE KWA WAKE/WAUME ZENU WAKAFULIE CHUPI SITAKI SHOBO HAPA HUNA HOJA KAA PEMBENI[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]
Kabisa ni km kuota pilau msimu wa njaa
 
Nashangaa sana kuona baadhi ya watu(watanzania) wenye MAWAZO MGANDO na UJINGA uliopita kiwango wakiendelea kushabikia mambo anayofanya the so called president katika nchi yetu, kwa hakika ameifanya tanzania kuwa si sehemu salama kiuchumi, kisiasa na wala kimaendeleo kwa ujumla ukizingatia ni miaka miwili sasa anasema ananyoosha nchi, swali je ilikuwa imepinda? Anaendesha nchi Kimihemko na kishamba kabisa!
 
Mpaka leo mnakuja na kutambia Magufuli hafai lakini hamtwambii m badala wake awe nani??

NI UJINGA KWA MTU MWELEWA KUTEGEMEA MAENDELEO KUTOKA KWA MWANASIASA YEYOTE YULE HAPA DUNIANI.

Hakuna nchi hata moja iliyoweza kuwaajiri wasomi wake woooooote waliohitimu kutoka vyuo mbalimbali duniani?

Usomi wa mtu faida yake ni kumtatulia mtu changamoto zake, vinginevyo unakuwa ni utumwa wa aina nyingine tena.

Faida ya msomi ni kutatua changamoto za maisha katika jamii ili jamii ijivunie kusoma kwako, shida inakuja pale wewe mwenyewe unapokuwa changamoto hasi katika jamii yako.

Kuna mifano ya wasomi wachache anbao elimu zao zimetumika kutatua changamoto za jamii zao na hao hutawasikia na kelele hizi.

KILA SIKU UNALIA LIA SERIKALI IKUFANYIE NINI, WEWE UMEIFANYIA NINI TOKA UWEMO HUMU??
Naomba unijibu haya maswali,
Kule mnako tembeza Bakuli kimya kimya hakuna wanasiasa?
Na je kama kuna wanasiasa wao wamepataje maendeleo mpaka mnaenda kutembeza mibakuli?.
Mbona magufuli alikua anasema kua Tanzania tutakuja kuwapa watu misaada je unaamini hilo?
Na kama unaamini hilo mtarudisha mikopo yao lini mpaka muanze kuwapa misaada nchi zingine?!
 
nakucorect kidogo msomi international space unayoiona juu mrussia ndio yake bt wana special agreement na marekani,china,japan pamja urope countries..
Sasa hapo nimekosea nini ? Mimi nimeitaja marekani na nchi zingine washirika na sijataja marekani kama ndo mmiliki pekee ya ISS
 
Ni upumbavu wa kupindukia kulinganisha vyama hivi, ccm na cdm, eti ukisema vyote ni vya hovyo . . , wakati kuna chama kimoja kimeongoza nchi kwa miaka 40 na kingine hakijapewa hata nafasi ya kuongoza Halmashauri kwa uhuru . . !

Unalinganishaje chama kimoja ccm, kina wanachama na makada IKULU, JWTZ, TISS, MAGEREZA, BUNGENI, POLISISIEM . . ,
na chama kingine (cdm) madiwani, wanachama , na wabunge wake wanawindwa kwa bunduki mchana kweupe kila kona ya nchi . . ??!

Hivi wewe una akili sawasawa kweli . . ?!!

Unafananishaje vyama hivi viwili , wakati chama kimoja kina miaka 40 ya kutawala, kikiwa ndio chama kilichoasisi mifumo hii ( ya kiusalama, uchumi, afya, sera etc) tunayotumia mpaka sasa . . , na chama kingine Sera zake hazijapata hata kujaribiwa hapa nchini . . ??!!

Kwa akili hii kwa nini nisikutukanie mamaako . . ??! [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Kutoelewa hoja nako ni magonjwa kama magonjwa mengine.

Wewe unataka mimi nikishabikie chama kwa kukionea huruma??
Kisa eti nikicuanga, nikikabidhi nchi kwa majaribio??

Nengependa ukatambua kabisa nchi sio maabara pa kufanyia majaribio ya vyama, tunataka chama kitakachosimamia maslahi ya taifa
 
Mimi kama Mtanzania kijana ninae jielewa nimesoma naona ni ujinga na upumbavu wa hali ya juu kuamini huyu Magufuli ataleta maendeleo katika nchi hii

Jana usiku nlikua naangalia video jinsi watu wanavyofanya kazi katika International Space Station ,kile chombo kimetengenezwa kwa technology ya hali ya juu kutoka kwa wamarekani na nchi tajiri kama 15 hivi duniani
Nkajiuliza hapa kwetu kuna mtu anaitwa Magufuli ambae ndo mkuu wa nchi watu wamemwona kama mkombozi wao ndo mzalendo eti anaweza kuibadilisha Tz wakati yeye mwenyewe kakalia majungu,mipasho ,kejeli masimango kwa watu ambao wanaweza wakaipaisha Tanzania yetu kwenye maendeleo ya kufikia kuanzisha ISS yetu
Tumeshaona jinsi serikali ya pombe inavyokopa hela kimya kimya tena mabilioni ya dola
Pangaboi yetu moja imekamatwa Canada kwa madeni yasiyo na kichwa wala miguu mtu katoa taarifa anaitwa mchochezi
Pombe hajaongeza salary kwa watumishi
Pombe kavuruga katiba kwa kuminya mikutano ya kisiasa ambayo ipo kisheria
Pombe kavuruga uchumi wananchi wake now wanateketea kwa njaa ya mkwanja na mlo mmoja
Pombe kabana Uhuru wa kuongea na kutoa maoni yani hataki kukosolewa kana kwamba nchi ni Mali yake
Vikao vya chama POMBE anavifanyia ikulu yani jumba la watanzania wote wenye vyama na wasio na vyama yeye anafanyia kikao cha chama chake huu ni ujuha
Itafika 2020 naamini pombe hakuna la maana atakalofanya kwa nchi na wananchi kwa ujumla zaidi ya kuongeza Shida tu
2020 huyu jamaa tumpige chini anatuharibia tu nchi yetu
NB: SINA CHAMA NA HAYO MAPOVU YENU WANA FISIEMU MYAPELEKE KWA WAKE/WAUME ZENU WAKAFULIE CHUPI SITAKI SHOBO HAPA HUNA HOJA KAA PEMBENI[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]

Tatizo lenu nyinyi wasomi mnataka mpige pesa za dili au za rushwa kwani Pombe kavuruga uchumi wa wananchi wake kivipi? ukiwa kama msomi lazima ufafanue hoja yako vizuri/Ukitegemea pesa za dili utapoteza muda wako bure,pia mnapenda kuishi maisha yasiyo na uhalisia na vipato vyenu,Serikali iliyobora kiongozi inatengeneza mfumo uliobora kwa wananchi wake na wala hawagawi pesa .
 
Naomba unijibu haya maswali,
Kule mnako tembeza Bakuli kimya kimya hakuna wanasiasa?
Na je kama kuna wanasiasa wao wamepataje maendeleo mpaka mnaenda kutembeza mibakuli?.
Mbona magufuli alikua anasema kua Tanzania tutakuja kuwapa watu misaada je unaamini hilo?
Na kama unaamini hilo mtarudisha mikopo yao lini mpaka muanze kuwapa misaada nchi zingine?!
Wanasiasa wapo.
Lakini siasa zetu sio kama hizi zibazofanyika tz,
Kutembeza bakuli hilo ndio nalisikia kwako, sijapata taarifa rasmi.

Kuhusu maendeleo wao wameweza kutofautisha muda wa siasa na muda wa majukumu

Kuhusu kutoa misaada ni suala la muda, udhibiti wa mali asili umeanza, masharti maoya ya uwekezaji umeanza ili uwe na tija kwetu.

Tutaanza kunufaika na maoato yatokanayo na mali asili zetu
 
Mimi kama Mtanzania kijana ninae jielewa nimesoma naona ni ujinga na upumbavu wa hali ya juu kuamini huyu Magufuli ataleta maendeleo katika nchi hii

Jana usiku nlikua naangalia video jinsi watu wanavyofanya kazi katika International Space Station ,kile chombo kimetengenezwa kwa technology ya hali ya juu kutoka kwa wamarekani na nchi tajiri kama 15 hivi duniani
Nkajiuliza hapa kwetu kuna mtu anaitwa Magufuli ambae ndo mkuu wa nchi watu wamemwona kama mkombozi wao ndo mzalendo eti anaweza kuibadilisha Tz wakati yeye mwenyewe kakalia majungu,mipasho ,kejeli masimango kwa watu ambao wanaweza wakaipaisha Tanzania yetu kwenye maendeleo ya kufikia kuanzisha ISS yetu
Tumeshaona jinsi serikali ya pombe inavyokopa hela kimya kimya tena mabilioni ya dola
Pangaboi yetu moja imekamatwa Canada kwa madeni yasiyo na kichwa wala miguu mtu katoa taarifa anaitwa mchochezi
Pombe hajaongeza salary kwa watumishi
Pombe kavuruga katiba kwa kuminya mikutano ya kisiasa ambayo ipo kisheria
Pombe kavuruga uchumi wananchi wake now wanateketea kwa njaa ya mkwanja na mlo mmoja
Pombe kabana Uhuru wa kuongea na kutoa maoni yani hataki kukosolewa kana kwamba nchi ni Mali yake
Vikao vya chama POMBE anavifanyia ikulu yani jumba la watanzania wote wenye vyama na wasio na vyama yeye anafanyia kikao cha chama chake huu ni ujuha
Itafika 2020 naamini pombe hakuna la maana atakalofanya kwa nchi na wananchi kwa ujumla zaidi ya kuongeza Shida tu
2020 huyu jamaa tumpige chini anatuharibia tu nchi yetu
NB: SINA CHAMA NA HAYO MAPOVU YENU WANA FISIEMU MYAPELEKE KWA WAKE/WAUME ZENU WAKAFULIE CHUPI SITAKI SHOBO HAPA HUNA HOJA KAA PEMBENI[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]

Kwa lugha yako to ulipoanza na kumaliza Kama umesoma basi chooni. Ungekuwa na point na nia njema tungekomment kukusaidia. Ila bahati mbaya hakuna mwanadamu asiyetenda jema. Na kama sikosei Dr hajafikisha hata 2 years. Hata wewe na pumba zako at least umeandika kwa kusomeka.
 
Kuhusu Lugha usiongee ,Magufuli anatumia Lugha chafu kuliko mtu yeyote duniani.
Na ndio tumerithi kwa muda mchache huu aliotuongoza.
Tofauti unayoona ni kua huyu kaandika tu, na Magufuli yeye anayatamka hadharani.Rejea clip zake zote hakuna Lugha nzuri hata moja.
 
Mtu aliyeshindwa kuendesha familia yake, unategemea aongoze watu millions kadhaa .
 
Mimi kama Mtanzania kijana ninae jielewa nimesoma naona ni ujinga na upumbavu wa hali ya juu kuamini huyu Magufuli ataleta maendeleo katika nchi hii

Jana usiku nlikua naangalia video jinsi watu wanavyofanya kazi katika International Space Station ,kile chombo kimetengenezwa kwa technology ya hali ya juu kutoka kwa wamarekani na nchi tajiri kama 15 hivi duniani
Nkajiuliza hapa kwetu kuna mtu anaitwa Magufuli ambae ndo mkuu wa nchi watu wamemwona kama mkombozi wao ndo mzalendo eti anaweza kuibadilisha Tz wakati yeye mwenyewe kakalia majungu,mipasho ,kejeli masimango kwa watu ambao wanaweza wakaipaisha Tanzania yetu kwenye maendeleo ya kufikia kuanzisha ISS yetu
Tumeshaona jinsi serikali ya pombe inavyokopa hela kimya kimya tena mabilioni ya dola
Pangaboi yetu moja imekamatwa Canada kwa madeni yasiyo na kichwa wala miguu mtu katoa taarifa anaitwa mchochezi
Pombe hajaongeza salary kwa watumishi
Pombe kavuruga katiba kwa kuminya mikutano ya kisiasa ambayo ipo kisheria
Pombe kavuruga uchumi wananchi wake now wanateketea kwa njaa ya mkwanja na mlo mmoja
Pombe kabana Uhuru wa kuongea na kutoa maoni yani hataki kukosolewa kana kwamba nchi ni Mali yake
Vikao vya chama POMBE anavifanyia ikulu yani jumba la watanzania wote wenye vyama na wasio na vyama yeye anafanyia kikao cha chama chake huu ni ujuha
Itafika 2020 naamini pombe hakuna la maana atakalofanya kwa nchi na wananchi kwa ujumla zaidi ya kuongeza Shida tu
2020 huyu jamaa tumpige chini anatuharibia tu nchi yetu
NB: SINA CHAMA NA HAYO MAPOVU YENU WANA FISIEMU MYAPELEKE KWA WAKE/WAUME ZENU WAKAFULIE CHUPI SITAKI SHOBO HAPA HUNA HOJA KAA PEMBENI[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]
Nikupe mifano miwili hai:

MFANO wa 1.
Marekani na nchi za magharibi waliwadharau sana Urusi walipoanzisha kituo chao cha utafiti angani kilichoitwa MIR. Warusi walitumia teknologia rahisi sana ya kupeleka/kurejesha watu na vifaa kwenye MIR yao. Walijifunza mengi kuhusu athari za binadamu kukaa angani kwa muda mrefu.

Wakati wote huu Marekani ilitimbwirika kupeleka mtu mwezini na kumrudisha hai, waliunda space shuttle kupeleka vyombo angani. Mwisho wa siku Wamarekani wakakubali kuwa mission na system za Kirusi ni bora kuliko zao na ndipo wakaomba waungane kujenga hiyo ISS na kutumia system rahisi kama ya Kirusi ya kupeleka na kurudisha wanaanga kwenye ISS.

Mrusi walimdharau mwanzoni lakini mwisho wa siku wakakubali kuwa system za Kirusi ni bora na bei ya chini kuliko zao.

MFANO wa 2.
Kwa kipindi kirefu sana Marekani na Ulaya waliona kuwa mfumo wao wa kibepari (capitalist system) ni bora zaidi na kuwadharau China kuwa mfumo wao wa kijamaa ni duni. Wachina waligangamala na mfumo wao, wengi wakiuita ni wa kidikteta (reminds you of anyone?). Leo hii China imeikaribia marekani kiuchumi na ndio wanaowakopesha Marekani. Marekani inadaiwa mpaka kwenye kope na Wachina.

Imekuaje nchi ya mfumo wa kikomunisti iwapite wenye mfumo wa kibepari? Swali zuri sana.

HITIMISHO:
Usizidharau juhudi za Magufuli katika kuleta maendeleo TZ. Hii nchi ilikuwa haiendelei kwa sababu kila mtu alikuwa anachota toka serikalini tani yake. Sio viongozi wa juu, makampuni ya nje, mpaka mtumishi wa chini kabisa (mesenja) alikuwa amategemea kuchota kutoka hii serikali. Hatua ya kwanza ya kuleta maendeleo ni kuhakikisha hii mianya ya uchotaji rasilmali zetu inazibwa. Magufuli amejaribu kwa kiasi kikubwa kuiziba na ndio maana wale waliokuwa wanategea ule mfumo wa zamani wanapiga kelele kuwa maisha magumu.

Kama Marekani ilivyowakejeli Urusi na Uchina hapo nyuma na sasa wanafuata nyayo zao, vile vile hata watu wanaomkebehi Magufuli kwa sasa watakuja msifia na kufuata nyayo zake hapo baadae.
 
Ni bora tu ubaki kuwa mjinga kuliko kujifanya mwerevu wakati unajua huyo ndio rais wako hadi 2025.

Mambo mengine ya kuwaza waza haya wakati ukijua hakuna chochote unachoweza kukifanya zaidi ya kupigana na hali yako katika kujiletea maendeleo yako wewe mwenyewe bila kusubiri maendeleo ya Magufuli ni upuuzi.

Unasubiri Magufuli akuletee maendeleo. Waliomtangulia wenyewe hawajaleta maendeleo na hata hao tunaowasubiri wakiingia madarakani walete maendeleo tutasubiri sana na wakiingia hawawezi kuleta hayo maendeleo.

Maendeleo yaanze kwa mtu mmoja katika maisha yake. Hayo ya Magufuli yakija au yasipokuja atajua mwenyewe.
Mkuu, inabidi uelewe kitu kimoja kwa sasa hapa bongoland. Ni kwamba mtu anakuwa na frustrations zake halafu hapa jamii forum ndio sehemu ya kutafuta kuziondoa.

Maybe kagombana na mkewe, kafukuzwa kazi, au kaharibu tu maishani kwa namna moja au nyingine, kwa hiyo ili aondoe stress, anakuja kuandika uzi ambao kadri anavyopata wachangiaji ambao ni wa aina yake ndivyo kichwa chake kinakuwa chepesi.

Uhuru wa kuongea na kuandika, unageuka sehemu ya tiba za maumivu mbalimbali ya vichwa vya baadhi yetu watanzania.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom