Menyainganyi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2013
- 1,170
- 1,102
Kuamini maendeleo yataletwa na chama fulani ni zaidi ya uwendawazimu
Kabisa ni km kuota pilau msimu wa njaaMimi kama Mtanzania kijana ninae jielewa nimesoma naona ni ujinga na upumbavu wa hali ya juu kuamini huyu Magufuli ataleta maendeleo katika nchi hii
Jana usiku nlikua naangalia video jinsi watu wanavyofanya kazi katika International Space Station ,kile chombo kimetengenezwa kwa technology ya hali ya juu kutoka kwa wamarekani na nchi tajiri kama 15 hivi duniani
Nkajiuliza hapa kwetu kuna mtu anaitwa Magufuli ambae ndo mkuu wa nchi watu wamemwona kama mkombozi wao ndo mzalendo eti anaweza kuibadilisha Tz wakati yeye mwenyewe kakalia majungu,mipasho ,kejeli masimango kwa watu ambao wanaweza wakaipaisha Tanzania yetu kwenye maendeleo ya kufikia kuanzisha ISS yetu
Tumeshaona jinsi serikali ya pombe inavyokopa hela kimya kimya tena mabilioni ya dola
Pangaboi yetu moja imekamatwa Canada kwa madeni yasiyo na kichwa wala miguu mtu katoa taarifa anaitwa mchochezi
Pombe hajaongeza salary kwa watumishi
Pombe kavuruga katiba kwa kuminya mikutano ya kisiasa ambayo ipo kisheria
Pombe kavuruga uchumi wananchi wake now wanateketea kwa njaa ya mkwanja na mlo mmoja
Pombe kabana Uhuru wa kuongea na kutoa maoni yani hataki kukosolewa kana kwamba nchi ni Mali yake
Vikao vya chama POMBE anavifanyia ikulu yani jumba la watanzania wote wenye vyama na wasio na vyama yeye anafanyia kikao cha chama chake huu ni ujuha
Itafika 2020 naamini pombe hakuna la maana atakalofanya kwa nchi na wananchi kwa ujumla zaidi ya kuongeza Shida tu
2020 huyu jamaa tumpige chini anatuharibia tu nchi yetu
NB: SINA CHAMA NA HAYO MAPOVU YENU WANA FISIEMU MYAPELEKE KWA WAKE/WAUME ZENU WAKAFULIE CHUPI SITAKI SHOBO HAPA HUNA HOJA KAA PEMBENI[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]
ONYO:SIGARA NI HATARI KWA AFYA YAKO
Naomba unijibu haya maswali,Mpaka leo mnakuja na kutambia Magufuli hafai lakini hamtwambii m badala wake awe nani??
NI UJINGA KWA MTU MWELEWA KUTEGEMEA MAENDELEO KUTOKA KWA MWANASIASA YEYOTE YULE HAPA DUNIANI.
Hakuna nchi hata moja iliyoweza kuwaajiri wasomi wake woooooote waliohitimu kutoka vyuo mbalimbali duniani?
Usomi wa mtu faida yake ni kumtatulia mtu changamoto zake, vinginevyo unakuwa ni utumwa wa aina nyingine tena.
Faida ya msomi ni kutatua changamoto za maisha katika jamii ili jamii ijivunie kusoma kwako, shida inakuja pale wewe mwenyewe unapokuwa changamoto hasi katika jamii yako.
Kuna mifano ya wasomi wachache anbao elimu zao zimetumika kutatua changamoto za jamii zao na hao hutawasikia na kelele hizi.
KILA SIKU UNALIA LIA SERIKALI IKUFANYIE NINI, WEWE UMEIFANYIA NINI TOKA UWEMO HUMU??
Sasa hapo nimekosea nini ? Mimi nimeitaja marekani na nchi zingine washirika na sijataja marekani kama ndo mmiliki pekee ya ISSnakucorect kidogo msomi international space unayoiona juu mrussia ndio yake bt wana special agreement na marekani,china,japan pamja urope countries..
Kutoelewa hoja nako ni magonjwa kama magonjwa mengine.Ni upumbavu wa kupindukia kulinganisha vyama hivi, ccm na cdm, eti ukisema vyote ni vya hovyo . . , wakati kuna chama kimoja kimeongoza nchi kwa miaka 40 na kingine hakijapewa hata nafasi ya kuongoza Halmashauri kwa uhuru . . !
Unalinganishaje chama kimoja ccm, kina wanachama na makada IKULU, JWTZ, TISS, MAGEREZA, BUNGENI, POLISISIEM . . ,
na chama kingine (cdm) madiwani, wanachama , na wabunge wake wanawindwa kwa bunduki mchana kweupe kila kona ya nchi . . ??!
Hivi wewe una akili sawasawa kweli . . ?!!
Unafananishaje vyama hivi viwili , wakati chama kimoja kina miaka 40 ya kutawala, kikiwa ndio chama kilichoasisi mifumo hii ( ya kiusalama, uchumi, afya, sera etc) tunayotumia mpaka sasa . . , na chama kingine Sera zake hazijapata hata kujaribiwa hapa nchini . . ??!!
Kwa akili hii kwa nini nisikutukanie mamaako . . ??! [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Mimi kama Mtanzania kijana ninae jielewa nimesoma naona ni ujinga na upumbavu wa hali ya juu kuamini huyu Magufuli ataleta maendeleo katika nchi hii
Jana usiku nlikua naangalia video jinsi watu wanavyofanya kazi katika International Space Station ,kile chombo kimetengenezwa kwa technology ya hali ya juu kutoka kwa wamarekani na nchi tajiri kama 15 hivi duniani
Nkajiuliza hapa kwetu kuna mtu anaitwa Magufuli ambae ndo mkuu wa nchi watu wamemwona kama mkombozi wao ndo mzalendo eti anaweza kuibadilisha Tz wakati yeye mwenyewe kakalia majungu,mipasho ,kejeli masimango kwa watu ambao wanaweza wakaipaisha Tanzania yetu kwenye maendeleo ya kufikia kuanzisha ISS yetu
Tumeshaona jinsi serikali ya pombe inavyokopa hela kimya kimya tena mabilioni ya dola
Pangaboi yetu moja imekamatwa Canada kwa madeni yasiyo na kichwa wala miguu mtu katoa taarifa anaitwa mchochezi
Pombe hajaongeza salary kwa watumishi
Pombe kavuruga katiba kwa kuminya mikutano ya kisiasa ambayo ipo kisheria
Pombe kavuruga uchumi wananchi wake now wanateketea kwa njaa ya mkwanja na mlo mmoja
Pombe kabana Uhuru wa kuongea na kutoa maoni yani hataki kukosolewa kana kwamba nchi ni Mali yake
Vikao vya chama POMBE anavifanyia ikulu yani jumba la watanzania wote wenye vyama na wasio na vyama yeye anafanyia kikao cha chama chake huu ni ujuha
Itafika 2020 naamini pombe hakuna la maana atakalofanya kwa nchi na wananchi kwa ujumla zaidi ya kuongeza Shida tu
2020 huyu jamaa tumpige chini anatuharibia tu nchi yetu
NB: SINA CHAMA NA HAYO MAPOVU YENU WANA FISIEMU MYAPELEKE KWA WAKE/WAUME ZENU WAKAFULIE CHUPI SITAKI SHOBO HAPA HUNA HOJA KAA PEMBENI[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]
Wanasiasa wapo.Naomba unijibu haya maswali,
Kule mnako tembeza Bakuli kimya kimya hakuna wanasiasa?
Na je kama kuna wanasiasa wao wamepataje maendeleo mpaka mnaenda kutembeza mibakuli?.
Mbona magufuli alikua anasema kua Tanzania tutakuja kuwapa watu misaada je unaamini hilo?
Na kama unaamini hilo mtarudisha mikopo yao lini mpaka muanze kuwapa misaada nchi zingine?!
Mimi kama Mtanzania kijana ninae jielewa nimesoma naona ni ujinga na upumbavu wa hali ya juu kuamini huyu Magufuli ataleta maendeleo katika nchi hii
Jana usiku nlikua naangalia video jinsi watu wanavyofanya kazi katika International Space Station ,kile chombo kimetengenezwa kwa technology ya hali ya juu kutoka kwa wamarekani na nchi tajiri kama 15 hivi duniani
Nkajiuliza hapa kwetu kuna mtu anaitwa Magufuli ambae ndo mkuu wa nchi watu wamemwona kama mkombozi wao ndo mzalendo eti anaweza kuibadilisha Tz wakati yeye mwenyewe kakalia majungu,mipasho ,kejeli masimango kwa watu ambao wanaweza wakaipaisha Tanzania yetu kwenye maendeleo ya kufikia kuanzisha ISS yetu
Tumeshaona jinsi serikali ya pombe inavyokopa hela kimya kimya tena mabilioni ya dola
Pangaboi yetu moja imekamatwa Canada kwa madeni yasiyo na kichwa wala miguu mtu katoa taarifa anaitwa mchochezi
Pombe hajaongeza salary kwa watumishi
Pombe kavuruga katiba kwa kuminya mikutano ya kisiasa ambayo ipo kisheria
Pombe kavuruga uchumi wananchi wake now wanateketea kwa njaa ya mkwanja na mlo mmoja
Pombe kabana Uhuru wa kuongea na kutoa maoni yani hataki kukosolewa kana kwamba nchi ni Mali yake
Vikao vya chama POMBE anavifanyia ikulu yani jumba la watanzania wote wenye vyama na wasio na vyama yeye anafanyia kikao cha chama chake huu ni ujuha
Itafika 2020 naamini pombe hakuna la maana atakalofanya kwa nchi na wananchi kwa ujumla zaidi ya kuongeza Shida tu
2020 huyu jamaa tumpige chini anatuharibia tu nchi yetu
NB: SINA CHAMA NA HAYO MAPOVU YENU WANA FISIEMU MYAPELEKE KWA WAKE/WAUME ZENU WAKAFULIE CHUPI SITAKI SHOBO HAPA HUNA HOJA KAA PEMBENI[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]
Kuhusu Lugha usiongee ,Magufuli anatumia Lugha chafu kuliko mtu yeyote duniani.Kwa lugha yako to ulipoanza na kumaliza Kama umesoma basi chooni. Ungekuwa na point na nia njema tungekomment kukusaidia. Ila bahati mbaya hakuna mwanadamu asiyetenda jema. Na kama sikosei Dr hajafikisha hata 2 years. Hata wewe na pumba zako at least umeandika kwa kusomeka.
Una muda gani ndani ya nchii hiiKwani kaachana na nkewe au kachepuka?
Hadidu ya rejea inaweza kuharibu utafiti wako.Tutajie basi hao watakaoleta maendeleo hapa nchini, kwa kurejelea uchaguzi uliopita!
Nikupe mifano miwili hai:Mimi kama Mtanzania kijana ninae jielewa nimesoma naona ni ujinga na upumbavu wa hali ya juu kuamini huyu Magufuli ataleta maendeleo katika nchi hii
Jana usiku nlikua naangalia video jinsi watu wanavyofanya kazi katika International Space Station ,kile chombo kimetengenezwa kwa technology ya hali ya juu kutoka kwa wamarekani na nchi tajiri kama 15 hivi duniani
Nkajiuliza hapa kwetu kuna mtu anaitwa Magufuli ambae ndo mkuu wa nchi watu wamemwona kama mkombozi wao ndo mzalendo eti anaweza kuibadilisha Tz wakati yeye mwenyewe kakalia majungu,mipasho ,kejeli masimango kwa watu ambao wanaweza wakaipaisha Tanzania yetu kwenye maendeleo ya kufikia kuanzisha ISS yetu
Tumeshaona jinsi serikali ya pombe inavyokopa hela kimya kimya tena mabilioni ya dola
Pangaboi yetu moja imekamatwa Canada kwa madeni yasiyo na kichwa wala miguu mtu katoa taarifa anaitwa mchochezi
Pombe hajaongeza salary kwa watumishi
Pombe kavuruga katiba kwa kuminya mikutano ya kisiasa ambayo ipo kisheria
Pombe kavuruga uchumi wananchi wake now wanateketea kwa njaa ya mkwanja na mlo mmoja
Pombe kabana Uhuru wa kuongea na kutoa maoni yani hataki kukosolewa kana kwamba nchi ni Mali yake
Vikao vya chama POMBE anavifanyia ikulu yani jumba la watanzania wote wenye vyama na wasio na vyama yeye anafanyia kikao cha chama chake huu ni ujuha
Itafika 2020 naamini pombe hakuna la maana atakalofanya kwa nchi na wananchi kwa ujumla zaidi ya kuongeza Shida tu
2020 huyu jamaa tumpige chini anatuharibia tu nchi yetu
NB: SINA CHAMA NA HAYO MAPOVU YENU WANA FISIEMU MYAPELEKE KWA WAKE/WAUME ZENU WAKAFULIE CHUPI SITAKI SHOBO HAPA HUNA HOJA KAA PEMBENI[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]
Mkuu, inabidi uelewe kitu kimoja kwa sasa hapa bongoland. Ni kwamba mtu anakuwa na frustrations zake halafu hapa jamii forum ndio sehemu ya kutafuta kuziondoa.Ni bora tu ubaki kuwa mjinga kuliko kujifanya mwerevu wakati unajua huyo ndio rais wako hadi 2025.
Mambo mengine ya kuwaza waza haya wakati ukijua hakuna chochote unachoweza kukifanya zaidi ya kupigana na hali yako katika kujiletea maendeleo yako wewe mwenyewe bila kusubiri maendeleo ya Magufuli ni upuuzi.
Unasubiri Magufuli akuletee maendeleo. Waliomtangulia wenyewe hawajaleta maendeleo na hata hao tunaowasubiri wakiingia madarakani walete maendeleo tutasubiri sana na wakiingia hawawezi kuleta hayo maendeleo.
Maendeleo yaanze kwa mtu mmoja katika maisha yake. Hayo ya Magufuli yakija au yasipokuja atajua mwenyewe.