Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
We are on a journey...
A journey to the centre of nowhere



Let's just keep on digging, we may get somewhere...
Trouble is...it's getting darker and darker inside!​
 

Tatizo huyo "kiongozi makini" hayupo, yupo mtawala ambaye hajitambui na wala hatambui vipaumbele vya wananchi wake. Ameweka vipaumbele vyake binafsi mbele. Mfano, Bombardier Q400 ambayo haina faida kwa mwananchi wa kawaida haswa kule kijijini...
 
Ninyi vijana hatariiiii , nimefurahi ghafla usiku huu, eti panya wa Lumumba. Ulifikiria nini kijana?
 
Jamaa ataendelea kulalamika hadi muda wake unaisha.
Tatizo ni ushamba na majivuno ya kujiona better kuliko watanzania wote.
 
Usisahau kuwa uchumi unazidi kuporomoka
 
Cha maana tutakachoambulia ni mabomu ya machozi, rushwa na kupigwa risasi. Hawa wasiojulikana Wa nafanya kazi ya serikali kweli kweli.
 
Acha Siasa uchwara wa namna hii,
Nyota njema uonekana asubuhi Magufuli ana Roho ya visasi tu ndani ya moyowake mbona hili kilamtu ameshaliona?
Kama angedhamiria kuleta maendeleo pia watu wangeshaona.
Hayo maendeleo unayatarajia lini?
Unafikiri maendeleo yanakuja SMG mitutu ya vita au ni kutumia Akili na zingine za ziada pia..
Magufuli kwanza ni muongo juzi alisemakua wakati anaingia madaraki alikuta sukari ni sh 5000 na anataka kutuaminisha hivo unavotaka kutuaminisha.
Magufuli ataendelea kupambana na khaliyake tena khali ya kuendesha nchi kishamba na kutafuta kiki zisizo za maana tu.Swala la meendeleo sahau.
 
Mungu nakuona.
 
Mfano suala LA kutoongeza mishahara watumishi ni mbaya mno ni ushenzi tu
Hlf kuna siku mtu mmoja humu anasema nidhamu ya kazi imeongezeka. Nikamuuliza je hao wanafnyakazi wanafanya kazi toka moyoni au kwa sababu ya hofu? Je hizo huduma zina ubora au ilmradi tu?
How comes mtumishi afurahie kazi yake bila increments kwa muda mrefu?????
Watu wako makazini lkn morali ya kazi haipo kbs.
 
Uzuri wake anapenda sana kuperuzi kwenye mitandao, nondo hizi anazipata mubashara!!
Ndio anazidi kuchanganyikiwa!!
 
Jon anaamini atayaleta yeye,ndo maana anaamini rushwa ataiondoa yeye na anaamini akisafiri kwenda abroad NYUMBANI kutaharibika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
So 2025 atasukumizwa TENA?
Mtu ameshasema amechoka?Nyie mnamlazimisha aende had 2025!akishindwa ku deliver mtamlaumu?
 
Maendeleo ya kweli yataletwa na watanzania wenyewe na ni kwa kuchapa kazi tu hakuna njia nyingine
MAGUFULI:najua maneno haya ni machungu lakini ndio ukweli asiyefanya kazi na asile
Tulimchagua atuambie ukweli
Hapa ni kazi
Kwa kuhakikisha wanaopata RAHA ZA AJABU wanaish kama MASHETANI
 
Kuna mafuvu yaliokotwa hapa kahama na haijulikani waliuwawa lini,na nani ila Mungu ndiye anajua.
 
Kwa hiyo kwenye kampenilitudanganya? Sabu mlisema mtaleta maendeleo mbona sasa mnatugeuka?
 
Kama mkulu anaamini MIKUTANO ya KISIASA inamfanya asiiletee maendeleo nchi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wamepungua!
Kuna watu hadi leo wanalala chini ili viongozi wao wapite juu ya Migongo yao
 
Sasa Mwanasiasa anayeahidi Maendeleo kwenye majukwaa hadi anapiga joging UTAMWITAJE?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…