REDEEMER.
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 8,925
- 14,890
Maendeleo gani hayo.kayaleta? Ana yamemgusaje mtu mmoja mmoja hasa mwanachi masikini
- Barabara na flyover zinazojengwa,
- maji yanasambazwa kutoka Victoria
- Treni za umeme
- Bwawa la stigliers umeme 2k mw
- Ndege zaidi ya 6
- Ujenzi na ukarabati wa Airports nchi nzima
- Madawati, kukaa chini ni history
- Mikopo ya wanafunzi 200%
- Maabara mashuleni
- Elimu bure
- Ufisadi, rushwa kwisha
- Madawa Hospital sasa 80%
- Viwanda vinavyojengwa
- Ujangili umedhibitiwa
- Madawa ya kulevya yanadhibitiwa
- Utendaji wa serikali umehimarika
- Makusanyo kutoka bil 800 mpaka tril 1.3
- Bandari zinapanuliwa na mpya zinajengwa
- Bomba la mafuta Uganda (lilikua liende Kenya)
- Kutungwa kwa sheria mpya ya madini maslahi kwa taifa
- Kuzuia uwizi wa wawekezaji majizi kwenye madini
- REA vijijini kuwasha umeme vijiji vyote
- Kusambaza mbolea na pembejeo za kilimo bure/bei nafuu
- Vyeti feki, wafanyakazi hewa, na aina zote za upigaji pesa za serikali ni history
- Ushuru wa hovyo kwenye kilimo, ufugaji na uvuvi umeondolewa
Utakua taahira usipoona haya