aminiusiamini
JF-Expert Member
- Aug 25, 2011
- 3,577
- 2,227
Jamaa ana Insomnia..hana majukumu asubuhi (Kazi kushnei)..anatumia JF via Free basics (Free of charge)..Lazima amlaumu mzee kipara..ni haki yake lakini hajatoa suluhisho..I feel him..namuonea huruma!Tulia uandike vizuri afu usiku sana huu umekosa usingizi nini au ndio mambo ya vyuma kukaza ata ukijikwaa unamlaumu Mkuu
Yaani yeye mwenyewe alishiriki kuiweka nchi jalalani! Halafu unategemea yeye huyo huyo na crooks wenzake wa CCM ndiyo waitoe uchafu?!? If you aren’t satirical, basi shida ipo.Huyu Mheshimiwa ni sawa kaiokota tz jalalani, ngoja aitoe toe ule uchafu ili aanze kuipamba. Mpeni muda na ushirikiano. Mpeni maoni na maono awape tz mpya.
Tuachane na Rais Magufuli, hawa kutoka CHADEMA wanatufaa sana kutoa uchafu nchini!Yaani yeye mwenyewe alishiriki kuiweka nchi jalalani! Halafu unategemea yeye huyo huyo na crooks wenzake wa CCM ndiyo waitoe uchafu?!? If you aren’t satirical, basi shida ipo.
Kama wanapatikana na hatia za ufisadi n.k., hawatufai! Lowassa alijiuzulu kwa Richmond. Watu tuliposema anapaswa kufikishwa Mahakamani, nyiye maCCM mkasema kujiuzulu ni adhabu tayari, hakuna haja ya kufikishwa Mahakamani. Sumaye, sijui kosa lake ni lipi? Maana alimaliza uPM wake! Na wala sikuwahi kusikia akisemwa, mpaka alipohamia CHADEMA.Tuachane na Rais Magufuli, hawa kutoka CHADEMA wanatufaa sana kutoa uchafu nchini!
View attachment 636111
Jamaa ana Insomnia..hana majukumu asubuhi (Kazi kushnei)..anatumia JF via Free basics (Free of charge)..Lazima amlaumu mzee kipara..ni haki yake lakini hajatoa suluhisho..I feel him..namuonea huruma!
Mimi nimetoa ushauri kuhusu wanaotufaa kuwa Rais wa Tanzania lakini ulichofanya ni kuandika maelezo marefu ambayo hayana mantiki kwa sasa kwa sababu majibu yake yameishatolewa muda mrefu.Kama wanapatikana na hatia za ufisadi n.k., hawatufai! Lowassa alijiuzulu kwa Richmond. Watu tuliposema anapaswa kufikishwa Mahakamani, nyiye maCCM mkasema kujiuzulu ni adhabu tayari, hakuna haja ya kufikishwa Mahakamani. Sumaye, sijui kosa lake ni lipi? Maana alimaliza uPM wake! Na wala sikuwahi kusikia akisemwa, mpaka alipohamia CHADEMA.
Magufuli uchafu wake ameuanza toka akiwa waziri: mikataba ya dili za barabara, CAG alithibitisha ufisadi wake. Manunuzi ya Dar Ferry, CAG alithibitisha ufisadi wake. Uuzaji wa nyumba za serikali, CAG alithibitisha ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka ya umma. Na anauendeleza sasa akiwa Rais: kuidhinisha matumizi ya fedha za umma bila ridhaa ya Bunge. Kutoa tenda za ujenzi bila kufuata procurement na tendering procedures za serikali. Huku kampuni moja ambayo ana conflict of interest ikipewa tenda kubwa ya mabilioni ya pesa.
Anyways, nafahamu maCCM mtamtetea kwa nguvu zenu zote, kama mlivyowatetea akina Lowassa na Nyalandu walipokuwa kwenu. Kama mlivyo mabubu kwa kina Chenge, Kikwete, Mkapa, Ngeleja n.k., kwa sababu bado wapo kwenu. Chifu, tuombe uzima na ikiwa mtu wa CCM atashinda (knock on wood) baada ya Magufuli, halafu aanze kuonyesha madudu tunayosema sasa, tuone mtakavyosema. Amina
Sasa nini kifanyike? kulia lia bila kutoa Plan B unakua huna tofauti kimawazo kama Bi.Grace wetu!
Tulia uandike vizuri afu usiku sana huu umekosa usingizi nini au ndio mambo ya vyuma kukaza ata ukijikwaa unamlaumu Mkuu
Tunashukuru kuwa miongoni mwa wenye akili kwa kuliona hili na kulisema wazi wazi,hakuna atakachofauru 'Magu' katika utawala wake nalisema hili kutokana na yaliyojiri na yanayojiri Nchini kupitia utawala huu,analolisema ni tofauti na alitendalo.Nchi ya viwanda siyo mchezo,labda viwanda jina kama anavyovijua Waziri eg viwanda vya cherehani,lakini viwanda nivijuavyo mimi,hiyo tusahau na kamwe haitatokea Tanzania ya viwanda,nalisema hili bila unafiki kabisa,hauwezi jitoa akili kwa kusema uongo,huo nnauita kujidanganya mwenyewe na pia ni ujinga.
Kama wanapatikana na hatia za ufisadi n.k., hawatufai! Lowassa alijiuzulu kwa Richmond. Watu tuliposema anapaswa kufikishwa Mahakamani, nyiye maCCM mkasema kujiuzulu ni adhabu tayari, hakuna haja ya kufikishwa Mahakamani. Sumaye, sijui kosa lake ni lipi? Maana alimaliza uPM wake! Na wala sikuwahi kusikia akisemwa, mpaka alipohamia CHADEMA.
Magufuli uchafu wake ameuanza toka akiwa waziri: mikataba ya dili za barabara, CAG alithibitisha ufisadi wake. Manunuzi ya Dar Ferry, CAG alithibitisha ufisadi wake. Uuzaji wa nyumba za serikali, CAG alithibitisha ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka ya umma. Na anauendeleza sasa akiwa Rais: kuidhinisha matumizi ya fedha za umma bila ridhaa ya Bunge. Kutoa tenda za ujenzi bila kufuata procurement na tendering procedures za serikali. Huku kampuni moja ambayo ana conflict of interest ikipewa tenda kubwa ya mabilioni ya pesa.
Anyways, nafahamu maCCM mtamtetea kwa nguvu zenu zote, kama mlivyowatetea akina Lowassa na Nyalandu walipokuwa kwenu. Kama mlivyo mabubu kwa kina Chenge, Kikwete, Mkapa, Ngeleja n.k., kwa sababu bado wapo kwenu. Chifu, tuombe uzima na ikiwa mtu wa CCM atashinda (knock on wood) baada ya Magufuli, halafu aanze kuonyesha madudu tunayosema sasa, tuone mtakavyosema. Amina
Kusoma ni jambo moja, kuelewa unachokisoma ni jambo la pili.katoa suggestion badala ya viwanda iwe kilimo na elimu,wacha kumponda mwenzio.