hebu tupe mapendekezo, nani unafikiri ataitoa uchafu?Yaani yeye mwenyewe alishiriki kuiweka nchi jalalani! Halafu unategemea yeye huyo huyo na crooks wenzake wa CCM ndiyo waitoe uchafu?!? If you aren’t satirical, basi shida ipo.
Too lowTuachane na Rais Magufuli, hawa kutoka CHADEMA wanatufaa sana kutoa uchafu nchini!
View attachment 636111
Mtu ambaye hajawahi kuwa ndani ya mfumo wa CCM! Na kiujumla, chama kingine ndiyo kinahitajika. CCM haina uwezo tena; haina jipya wala haina mawazo mapya!hebu tupe mapendekezo, nani unafikiri ataitoa uchafu?
Mkuu Mtu asiyejua kujenga hoja na kuishia kuleta kejeri ni wa kumpuuza tu,mwenye uelewa huwa anamkosoa mwenzake kwa hoja na siyo kwa porojoKaka nimetoa plan hapo juu. Moja wapi ikiwa na kuwasaidia wakulika wadogo,elimu na vile kubadilisha katiba.
Kaka sijui umesoma wapi,but naona urudi shuleni. Usiongee au kuandika kwa mihemko.
Lakini siyo kwa utawala huu na Ccm kwa ujumla mkuu,hilo mimi haitatokea nikaamini,maana mawazo ni yale yale,hawana jipya,hawana nia ya dhati ya kuitoa Nchi kwenye mkwamo huu,hawajui walifanyalo mpaka sasa(viwanda au kilmo) japo wanasema viwanda lakini hawatambui bila kilimo hakuna viwanda,siyo Wazalendo japo wanahimiza uzalendo kwa wengine,hawapo tayar kukosolewa japo makosa ni kawaida ila wao wanajua na wanaamini kukosea hakuwezekani,wapo mbali na Wananchi kwa sasa kiuhuduma.Bila ushirikiano wa dhati(kutoka kwa viongozi mpaka kwa wananchi)kama Nchi na kuwa na nia ya dhati ya kumkomboa Mkulima,kutokuwa na Dira,kutokuwa na siasa safi na kiongozi bora hatuwezi toka kwenye huu mkwamo wa kiuchumiMkuu nashukuru. Namwomba Mwenyezi Mungu tu atuokoe kwa lolote baya Tanzania inaweza kupitia naamini tutashinda.
Tujengee nchi mkuu.
Kweli kabisa mkuu,unaweza ukasoma kitu lakini usielewe kituKusoma ni jambo moja, kuelewa unachokisoma ni jambo la pili.
Huyu mchangiaji alisoma thread lakini hakuielewa.
Mimi nimetoa ushauri kuhusu wanaotufaa kuwa Rais wa Tanzania lakini ulichofanya ni kuandika maelezo marefu ambayo hayana mantiki kwa sasa kwa sababu majibu yake yameishatolewa muda mrefu.
Nashangaa unaleta mambo ya ufisadi wakati katika bandiko langu sijagusia suala la ufisadi. Unajihami wakati sijarusha kombora lolote.
Hii inaonyesha jinsi unavyosumbuliwa na guilty conscience?
Majibu ya hoja zako angalia hizi video.
Are they assets or liabilities?
Mimi nadhani hawa wanatufaa mmojawapo kuwa Rais wa Tanzania!
.....Kumbe mapambano ya ufisadi hayana mantiki kwa sasa?
Wasn’t it obvious? Wanasema a picture speaks a thousand words, siyo? Na wala sijajihami; kwani sina haja ya kujihami kwa ajili ya mtu yeyote mwenye damu ya CCM! Kwani lazima ni big time crook tu!
Woh! Guilty conscience over Lowassa and Sumaye? Dude, I don’t give a dang about them! Nimeshakwambia mara kadhaa humu, mimi siyo shabiki wa Lowassa wala mtu yeyote mwenye connections na CCM.
Unakumbuka namna ambavyo TAKUKURU walisema Richmond was okay? That’s how CCM governments work bro! I’m telling you, Magufuli akitoka CCM, wewe utakuwa wa kwanza kumsema kwa haya nayokwambia sasa.
Vipi kuhusu hili: CAG reveals rot in Dar ferry purchase naona fisadi Magufuli akaamua kuificha ferry JWTZ!
Kwa logic hii basi hata Lowassa is innocent! Mawaziri wote ambao Magufuli kawatumbua are innocents!
Btw, this also proves what I have just said: that’s how CCM governments work. Ukiwa CCM, they will defend to death! Ukitoka tu, utaitwa majina yote. Kikwete alimpigia kampeni ‘fisadi’ Lowassa! Magufuli alimpigia kampeni ‘fisadi’ Nyalandu!!
Tuombe uzima tu. Kuna siku mtamsema Magufuli kwa kugawa nyumba za serikali kwa hawara na ndugu zake.
Both! Kapata kura zaidi ya milioni 6, na kuongeza idadi ya wabunge na ruzuku kwa chama. Kwa upande mwingine amechafua image ya chama kwa tuhuma zake.
As long as tuna rais Magufuli mwenye tuhuma za ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka ya umma, why not them?
Ile kauli ileWanasikitisha na kustaajabisha sana kwa ukimya wao huku nchi ikizidi kwenda alijojo kwa jinsi huyu jamaa anavyopindisha sheria mbali mbali za nchi
Pia ukitilia maanani hivi karibuni aliwatusi kwamba wanawashwa washwa sidhani kuna atakayethubutu kutoa sauti yake.
Tulianza na moto wa kubana matumizi, kutimua vyeti fwki na watumishi hewa yote haya yalikuwa na nia njema kabisa lakini utekelezaji wake ulipoanza kubagua nani atoke nani abaki tatizo likaanza. Chuki ikaanza kujijenga baina ya wanaopendelewa na wasiopendelewa.
Tanzania imejengwa katika utaifa, mtu anapoanza kuleta ukabila na uchama kwa lengo la kutugawa inabidi tumpinge wote kwa juhudi kubwa. Hatutakiwi kufumbia macho jambo hili sasahivi kuna chuki za kikabila zinaanza kujionyesha wazi wazi, chuki za kikanda na chuki za kivyama.
Ombi langu watanzania kama tulivyolelewa na tunavyopendana hebu tusiwasikilize viongozi wa aina hii.
Tuko kwenye kuivusha Tanzania kwenye umaskini uliotopea hizi chuki zitaturudisha nyuma kwa kasi sana.
Mkubwa fafanua ina maana nimejitegenezea shidaMost of human being problems' are self-created!!