Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Ondoa takataka zako hapa, Umeweka akili zako mfukoni kutetea wachaga, Naona weekend imekuwa ndefu ulishalewa kabla ya muda, Mkuu unakunywa bia ukiwa juani au? Hivi story zako na mkeo ndio unagenaralize kuwa wote wanaishi kama wewe

Think Thrice mkuu, Au baada ya kutoka moshi kufanya matambiko na kafara mizimu iliwaambia hamtalipa kodi na mtapewa tenda bure, Shame on you na wachaga wenzako mliotoka kwenye makafara December
 
Kwahiyo unawachukia wachagga n kwa maana hiyo unaendeleza dhana ileile ya chuki za kikabila. Kama leo pakitokea vita ya kikabila utawachinja wachagga kwasababu tu ya chuki zako kwao.Vilevile kuna wanaomchukia Magifuli, wataangalia kabila lake kwakuwa tu wanamchukia yeye basi watawachinja watu wa kabila lake kutokana na chuki zao kwa mtu wa kwao aliyeshikilia mamlaka. Na pengine wanamchukia yeye kutokana na sababu walizoziona kwake ambazo pengine kwa hisia zao tu wanaweza kuhisi kuwa huyu ni "Msukuma" Anaonekana hii tabia yake aliyo nayo ya kuwachukia wachagga si tabia yake kama yeye bali ni hulka ya "wasukuma" kuwachukia wachagga. Nimesema vile kwasababu, wewe umejijengea kichwani kuwachukia wachagga na umefanya hivyo pengine kuna sehemu mtu alitumia mamlaka yake kikabila na kwa uhakika alikuwa mchagga.Sasa alikunyanyasa na kukunyima fursa kwakuwa hukuwa mchaga, ni kwa mujibu wa mawazo yako. Na pengine baadaye ulikuja kujiridhisha kuwa ile fursa ama nafasi uliyotakiwa upewe alipewa mchagga.Ukaunganisha mawazo yako hayo ya kipumbavu kuwa mwenye mamlaka ni mchagga na aliyepewa kazi ni mchagga wewe uliyenyimwa siyo mchagga sasa swala la vigezo siwezi kujua ila wewe umekimbilia kwenye ukabila! Ni chuki tu za kikabila ambazo mtu ukiwa nazo hazitoki hata uwe nani!
 
Mkuu naapa kwa jina la Mungu kuwa huu mjadala nimekutana nao na niliyoyaandika ni baadhi tu ya niliyoyasikia.Nimesikia mengi sana!
Si vema kufanyia kazi au kuamini maneno ya kusikia. Fanyia kazi facts tu. Ni kichekesho kupay attention kwenye umbea.
 
Vipi kuhusu vyeo?
 
Sidhani kama tumefika hapa. Huu ni uwongo kwani huwezi badilosha jina la kibiashara kirahisi tu ili usijulikane.

Ikumbukwe kiwa Serikali inafanya kazi na kampuni sio Mtu binafsi
....Wewe ni mfanya biashara?
 
Kauli ya kipuuzi ,ya mtu aliekata tamaa ya kuishi, acha mazoea
.....Upuuzi uliopitiliza ni kujifariji kwamba eti huyu amekata tamaa ya kuishi wakati humjui na umeona Avator na comments!!
 
Kwanini unatukana?
 
Sasa Bwashee mbona umetibua siri tena/ Ulianza kwa KUHIFADHI hilo Kabila na sehemu yao, (kwa sauti ya Lyatoga....Sasa mbona umetaja majina na eneo letu la Moshi aisee!)...
 
Sidhani kama tumefika hapa. Huu ni uwongo kwani huwezi badilosha jina la kibiashara kirahisi tu ili usijulikane.
Ikumbukwe kiwa Serikali inafanya kazi na kampuni sio Mtu binafsi

Huyu mtu anacho sema Si uongo. Wanajiita John Stephen,Andrew Michael etc. wanafanikisha hata ktk ajira ndio wame acha kabisa majina ya Masawe, Shayo, Mushi.
Why ?
Wanadhani Watu wamesahau walivyokuwa wanaingizana kazini kikabila . Sehemu zote muhimu walijaa wao kiupendeleo una kuta ofisi ina Ndugu 10 wa familia moja. Mna fahamu hali ilivyokuwa TRA hivi kweli wao ndio wanajua tax collection kuliko wote? CRDB, Bandari, OR UTUMISHI, Hazina n.k walijaa Kilimanjaro sehemu nyeti zote.

Sasa huko ktk Biashara tender zote asilimia kubwa ilikuwa wao why hakuna wengine wanaojua Biashara mbona sasa the ground has been leveled wanakimbia Kariakoo lakini wakinga wapo. Ni hivi Watu hao wengi ni wapigaji watoa rushwa, wakwepa kodi, wanajua kuharibu Biashara za wengine kwa tabia zao za ukabila na ukosefu wa maadili. Sasa hivi tender zinakuwa processed kwa haki sio upendeleo.

Mlizoea dezo eti nyie ndio mnajua kutafuta pesa wengine hawa jui sababu ya ujanja ujanja . Hebu pitieni majina ya watumishi wasio na vyeti walioondolewa Serikalini nusu yao ni Watu wa huko Kilimanjaro. Mmestukiwa Ndugu zangu.

Angalieni nyuma mlipokosea mjisahihishe. Kuacha majina ya ukoo Si dawa ya mnalodhani ni tatizo. Hali mliyonayo ndio wenzenu walikuwa nayo. Sasa hakuna upendeleo. Kwa hili JPM amelikomesha kama kuna waliobaki ni wachache wenye upendeleo .
 
hahhahaha we kweli ni mjinga na unafikiri utawapata wajinga wenzio hapa na story za vinjiweni..
Kwa hiyo wana sajili kampuni upya?
Kwani nani hajui kuna taratibu za kutoa tenda serikalini?
hahahahahahaha
 
Watuminye tu lakini mkoa wake hauwezi kuwa na foleni kama za kilimanjaro mwezi december, najua roho inamuuma akionaga ile misururu.
 
Haya jibizaneni maana mnatofautiana wenyewe. Mkimaliza nitajibu mimi kwa kina
hahhahaha we kweli ni mjinga na unafikiri utawapata wajinga wenzio hapa na story za vinjiweni..
Kwa hiyo wana sajili kampuni upya?
Kwani nani hajui kuna taratibu za kutoa tenda serikalini?
hahahahahahaha
 
Tatizo humu Jamiiforums imefikia kipindi tunadharauliana sana. Yaani tunaonana wote tumekuwa wapuuzi wa kiasi hiki.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…