Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Mbujibuji leo uko chini ya kiwango?? Tunaingelea demokrasia ya nchi Mbowe anatoka wapi hapo?? Je akitoka Mbowe ndo katiba inayoruhusu Uhuru wa kisiasa ikiwa ni pamoja na kuruhusu mikutano ya siasa na maandamano itafuatwa??

Je Mbowe akiondoka ndo wapinzani hawatanyanyaswa , kutishiwa kuuwawa ama kuuwawa kabisa?? Yaani Uwepo wa Mbowe kama mwenyekiti CHADEMA ndo hatutaona maiti koko za watuwasiojulikana???

Inapaswa tujue tunachokihitaji je ni maendeleo ama CCM kuendelea kutawala?? Kama ni CCM kuendelea kutawala lawezafanikiwa kwa muda tu ila kama ni maendeleo ya wananchi hakuna kitu hapo!
 
Kunywa sumu, bado ana miaka nane!
Endelea kushikiwa akili na Da Mange
We ndio Mungu mpaka unajua atakuwa hai baada ya miaka 8?? Mungu akiamua hata kesho asubuhi huyo magufuli anaenda kaburini

Mkumbusheni kuna maisha baada ya kifo.... Kuna kuzimu na moto wa milele...vyeo vinapita tu ila huko ataenda kulipia machafu yote aliyofanya... afu sijui kwanini anasemaga tumuombee ilihali ana roho mbaya kiasi hiki
 
Huko ulikokuzwa utakuwa umekuzwa kishetani maana wa dini aandiki haya.
 
Tulia wewee
 
Reactions: BAK
Wewe unaesema bado miaka nane una ahadi na Mungu? Mungu sio dhalm kiasi hicho unavyofikiria.

Kwa anayo yafanya huyu gharama atazilipa hapa hapa na yana mwisho wakoapi kina kaarun,Firaun

Na wabishi wengine? Kuna mtu anakusaidia anafanya kazi serikalini ndo maana unatetea ujinga.

Mange anaongea tu kuamini ni hiari yako sasa unataka useme kila mtu anamsoma mange? Na kumuamini yeye?

Nonsense.
 
Kwa mazingira ya sasa Mbowe anajitahidi sana angalia vyama vingine is almost dead
 
Ukipotea usilalamike , huku siyo Marekani.
 
Umechelewa sana kumchukia mbona alishaweka wazi hana haja ya kupendwa mke wake anampenda inatosha, alishaweka wazi hataki kua popular president so kunya boga you nothing to him
 
Hivi nchi ya Tanzania kumbe kuwa na maisha mazuri ni kosa. Vyuma vimekaza weka gilisi,nakupenda kikwete
 
Wewe na wenzako mnajikumbusha maisha baada ya leo!
Angalieni makalio yenu kwanza kabla ya kuangalia ya wengine.
Watanzania tunamuombea, miaka 8 ataimaliza na kuivusha nchi kwenda ardhi ya ahadi.
Mifisadi lazima ilambe chuma cha moto.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…