Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Una chuki binafsi na uandishi wa kukurupuka. Comparative analysis gives you some arguments
 
Shida sio yeye; shida ipo kwa waliomchagua. Wananchi tukiendelea kutumika kwa kudanganywa na vitu vidogo kama pesa,pombe, t. shirt, kofia, kanga na maigizo ya jukwaani kwa kupewa ahadi ambazo fika tunajua hazitekelezeki. Basi tusitegemee kama chochote chaweza kubadilika.

Wasanii wetu wa Bongo Flava na Bongo movies wali'play part kubwa sana pia kuupitisha huu uongozi. Historia isiwasahau pia na hawa.

Mkishamaliza kutafakari hayo embu tujiulize hivi zile milioni 50 katika kila kijiji zimeishia wapi?

Na mahakama ya mafisadi ndo imejengwa wapi tena? Lumumba boys waje watusaidie kwenye Google maps naitafuta siioni.
 
Itakuwa ni maajabu ikitokea siku moja ukapongeza lolote lililo fanyika kwenye serikali hii ya awamu ya tano nitashangaa sana.
Mpaka sasa amna chakumpongeza labda miaka minne iliyobaki.
 
Hivi kwanini mnapenda sana kutumia maneno haya "kubaka demokrasia" ..."katiba kubakwa" ..."ubakwaji wa haki"... Kwanini msitumie maneno kama "kukiukwa kwa katiba" ....." demokrasia kuwekwa kando" ......"sheria kutozingatiwa" .... Ila nyie mmekazana na kubaka tu, mara hiki kimebakwa, kile kimebakuliwa....
 
Jamani tulieni tu mbona mnamstua? Si mnajua ngoma ikilia sana karibia inapasuka?
 
Dikteta Magufuli ni JANGA KUBWA LA TAIFA.
 
Kitu gani hukijui kuhusiana tatizo la sukari na mafuta ya taa ?
Ni rais gn unahisi anaweza kutatua changamoto hii ndani ya wiki moja hasa ktk nchi ambayo wataalamu wa uchumi na wasemaji maarufu wanaziba midomo yako kwa karatasi nyeupe a.k.a "Don't dirty my mouth"
 
Mimi nilidhani mwovu shetani ndio kiboko ya maovu kumbe haoni ndani kwa ccm?
Hili tungelitangaza duniani tungepata watalii wengi hakuna mfano.
"TEMBELEA NCHINI KWETU UJIONEE JINSI SHETANI ALIVYO GARAGAZWA NA CHAMA KWA UOVU"
 


Hii sichangii, yasije yakanipata kama yule jamaa wa Arusha. teh teh teh..ila nime-like.
 
View attachment 358575

huyu ni mwana ccm na kadi yake.


swissme

Mlivyokuwa mnaimba majukwaani......ccm mbele kwa mbele......Mlijua watakaoisoma namba ni wazambia au wacongo?

Kila siku nawaambia wadogo zangu humu wanaojifunza siasa za mahaba....the likes of muandishi.........muwe na akiba ya maneno! Siasa za mahaba hazina mwisho/matokeo mzuri....
 
Waraka huu unapaswa kupelekwa makumbusho ya taifa lakini walipiga kura wakaziiba
 
mlijitoa Akili tu,kama kawaida yenu wana ccm, lakini sisi kina gogo la shamba tuliwaambieni mapema kwamba ndani ya ccm hawezi kutoka kiongozi bora labda haame chama kwanza maana ccm haiwatakii wananchi maendeleo
 
UKAWA wameanza kulia lia. Kweli wameanza kuismoa namba
 
ENDELEENI KUPIGA DEBE NA KELELE HUMU JF,SERIKALI NI HII HII YA JPM NA SIO MIAKA 4 NA NUSU TU ILIYOBAKI NI MIAKA 9 NA NUSU ILIYOBAKI,WENGINE TUNACHANGAMKIA FULSA ZILIZOPO,WENGINE ENDELEENI KULALAMIKA HUMU HUMU TU TUONE MTAPATA NINI.,MUITE RAISI JINA LOLOTE LILE MTAKALO HAMUMBADILISHI KITU SANA SANA MTAISHIA KUKAMATWA MKIZIDISHA MAJINA.RAISI ANAFANYA KAZI NZURI SANA,NA WENGI TUNAMSAPOTI.MNAOJITOA UFAHAMU ENDELEENI TUONE MWISHO WENU.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…