Denis denny
JF-Expert Member
- Oct 7, 2012
- 5,780
- 7,844
Inasikitisha beberu mwitu kama wewe kumtapikia machicha yako kisa tu kasema hampendi Magufuli...kama unamwambia mwenzio anatanua miguu we unatanua nini au huwa mnakuwa wote?Kunywa sumu, bado ana miaka nane!
Endelea kushikiwa akili na Da Mange, wewe kwenda kufungulia miguu kila mtu leo mambo yamekuwa tight sababu ya ugawaji wako unataka kutafuta wa kumtupia lawama zako?? Pambana na hali yako, umeyachagua mwenyewe hayo maisha. Shule si ulikuwa unagawa tu u***, pambana.
Hilo kwa Mungu haliwezi fika hata akifika kwa shetani hawezi pewa hata kazi ya kufagia stoo...Mungu alichukue tuuu akalipangie majukumu mengine likatakayomudu kuzimu.
Limeshindwa kabisa kudeliver
Mkuu ajila yako ni mhasibu?Namchukia sana Rais John Pombe Magufuli. Sijajua watanzania tulimkosea nini muumba tukapewa adhabu hii nzito kwa miaka hii kumi(kama hataamua kung'ang'ania madarakani)
Ndani ya utawala huu, tunashuhudia nchi ikiendeshwa kwa decrees kutoka ikulu, pasipo tena kuzingatia utawala wa sheria na katiba!!! Katiba imeainisha haki kadhaa ikiwemo haki ya kufanya shughuli za kisiasa , zinazo jumuisha mikutano, maandamano na mambo mengine. Cha ajabu, katika utawala huu, siasa zimepigwa marufuku hadi kipindi cha uchaguzi, na maandamano yana adhabu ya kifo kwa kupigwa risasi, kama wauza madawa ya kulevya nchini China.
Ni utawala ambao mbali na matakwimu ya kupika, maisha ya watanzania wengi yamekua ya dhiki kuu kiuchumi kwa kuvurugwa mifumo na utawala huu wa mhe Rais.
Nakumbuka wakati anaingia madarakani, alisema anatamani watanzania waishi kama mashetani, na naona anatimiza ahadi hii kwa kasi!!!!
Binafsi, namchukia mno Rais Magufuli(naamini kumpenda au kumchukia mtu sio kosa, hivyo sitegemei moderators kufuta Uzi wangu huu)
Hina namna, miaka nane ya ma**ko ndio, utaikubali tu. Hutaki nenda kwa wala ma**ko wa mombasa.miaka nane ya ma**ko?
Pole!! Kuna kitu naweza semaa!! Kitatimia but naogopa.....
Ref:ID yangu
JamiiForums Maxence Melo Paw Post za Kipuuzi kama hivi ndo zinawaingiza Matatizoni Rais Magufuli anapaswa Kuheshimiwa.Mungu alichukue tuuu akalipangie majukumu mengine likatakayomudu kuzimu.
Limeshindwa kabisa kudeliver
Niko kwenye mfungoLeo bujibuji umeongea point ambayo huwezi ata kuiongea mwaka huu..!
Huko ulikokuzwa utakuwa umekuzwa kishetani maana wa dini aandiki haya.
Ndio najikumbusha ndio maana najitahidi nifanye yanayompendeza Mungu kila siku ili nisije ishia kuzimu kma huyo dikteta wenuWewe na wenzako mnajikumbusha maisha baada ya leo!
Angalieni makalio yenu kwanza kabla ya kuangalia ya wengine.
Watanzania tunamuombea, miaka 8 ataimaliza na kuivusha nchi kwenda ardhi ya ahadi.
Mifisadi lazima ilambe chuma cha moto.
Haki aliyonayo yeye ya kuchukia ndio haki hiyo hiyo niliyonayo mimi ya kusema nilichomwambia, mae aniambie atakacho kuhusu mimi.Inasikitisha beberu mwitu kama wewe kumtapikia machicha yako kisa tu kasema hampendi Magufuli...kama unamwambia mwenzio anatanua miguu we unatanua nini au huwa mnakuwa wote?
Mm nachukia hata unavyomwita muheshimiwaNamchukia sana Rais John Pombe Magufuli. Sijajua watanzania tulimkosea nini muumba tukapewa adhabu hii nzito kwa miaka hii kumi(kama hataamua kung'ang'ania madarakani)
Ndani ya utawala huu, tunashuhudia nchi ikiendeshwa kwa decrees kutoka ikulu, pasipo tena kuzingatia utawala wa sheria na katiba!!! Katiba imeainisha haki kadhaa ikiwemo haki ya kufanya shughuli za kisiasa , zinazo jumuisha mikutano, maandamano na mambo mengine. Cha ajabu, katika utawala huu, siasa zimepigwa marufuku hadi kipindi cha uchaguzi, na maandamano yana adhabu ya kifo kwa kupigwa risasi, kama wauza madawa ya kulevya nchini China.
Ni utawala ambao mbali na matakwimu ya kupika, maisha ya watanzania wengi yamekua ya dhiki kuu kiuchumi kwa kuvurugwa mifumo na utawala huu wa mhe Rais.
Nakumbuka wakati anaingia madarakani, alisema anatamani watanzania waishi kama mashetani, na naona anatimiza ahadi hii kwa kasi!!!!
Binafsi, namchukia mno Rais Magufuli(naamini kumpenda au kumchukia mtu sio kosa, hivyo sitegemei moderators kufuta Uzi wangu huu)
Mods niruhusuni niitukane hii taka taka.JamiiForums Maxence Melo Paw Post za Kipuuzi kama hivi ndo zinawaingiza Matatizoni Rais Magufuli anapaswa Kuheshimiwa.
Nasema hivi, bado ana miaka 8. Hamkubali hili nendeni nchi jirani, mrudi 2025 ila mtamkuta Makonda kama waziri wa mambo ya ndani, fujo mziache huko huko.Ndio najikumbusha ndio maana najitahidi nifanye yanayompendeza Mungu kila siku ili nisije ishia kuzimu kma huyo dikteta wenu
Hata kama unamuombea so what!! Jitu lenyewe limevaa hirizi na kuamini ushirikina unafkiri hayo maombi yatakaa pamoja na hirizi???
Kingine kwanni kila anayemkosoa mnamuita fisadi?? Hivi kuna uhusiano gani kati ya kuwa muuaji na kupambana na ufisadi!!! Kwahiyo huwezi pambana na mafisadi bila kuua watu wasio na hatia!!
Nyie mtieni moyo tu mobutu yukwapi??