Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
mbowe anaingiaje hapo kwenye siasa hizi za awamu ya 5?
 
Mimi hata nikisikia jina lake nasikia kichefuvhefu(Mungu wangu anisamehe kwa hili)

Ila watanzania sisi ni waoga sana...watu wangekuwa majasiri wallah tungepigana tu ili tuheshimiane..Hawezi kutupelekesha watu wazima na Akili zetu jinsi anavyotaka yeye
 
Mi nipo tayari kujilipua na mkulu niende nae mbele za haki, MBOWE tafuta zana usiwe mnyonge, iwe fundisho na historia.
 
Mbowe ndiye aliyeharibu upinzani wa kweli kwa kubadili gia angani, kisha vibaraka wake kina lissu wakafuata. Ni lazima upinzani huu watanzania tuukomeshe na utokomee kama tufamyavyo sasa. 42-1, utokomee kwa njia yoyote ile kwa faida ya taifa hili.
Tulia wewee
 
Go to school Dude

Swissme
 
Mi nipo tayari kujilipua na mkulu niende nae mbele za haki, MBOWE tafuta zana usiwe mnyonge, iwe fundisho na historia.

[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
 
Hayo yote yanahusiana vipi Na siasa zachuki? Tena chuki ya wazi.... Kwanini asifanye demokrasia huru lakini sheria isimamiwe? Watu wanachochukia nikumimnywa kwa demokrasia...
 
kesho akitubu, utampenda ...?
 
Hina namna, miaka nane ya ma**ko ndio, utaikubali tu. Hutaki nenda kwa wala ma**ko wa mombasa.
Tulia wewee. Yani kabisa unaridhika jamaa anavyoididimiza nchi yetu? Rebeca 83 kabisa kukuambia anampenda jamaa lakini siku zinavyozidi kwenda anakuwa dissapointed naye Na Akina Rebecca Ni wengi. Jiulize wangapi walishamuona mkombozi mwanzoni was utawala wake alipokuwa anatembelea mahos
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…