Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Kafa babangu kafa mamangu Nchi stress tupu kuanzia viongozi hadi wanawake wa nchi hii stress tupu acha nife tu sina cha kupoteza
Jutia kuongozwa na wababaishaji wakakulemaza akili ukashindwa kujua kazi yake..una bahati kupewa uhai ushuhudie maana ya uongozi kutoka serikali awamu ya tano..futa yaliyopita dua zako za kuku hazitakusaidia nyanyua kichwa kijana uangalie mbele, habari za kukusanya hela asubuhi hujui hata zimetoka wapi sahau!
 
Kwanza unatakiwa ushukuru mungu pamoja na serikali ya Mh Magufuli kwa kukusameheni na vyeti vyenu fake akawafukuza kazi tu bila kuwapeleka mahakamani vinievyo ungekuwa nyuma ya nondo na jamii forum ungekuwa unaiskia kwenye bomba
Hivi wenye vyeti feki hawakuletwa na ccm kweli?

Vipi DAB na vyeti vyake feki mbona hakuguswa na JPM?

Ccm ndio baba lao mafisadi na mataperi wote wa TZ ,
Watuachie nchi yetu waliyoiharibu sana.
 
Una kilema cha akili.
 
Word.
 
Chagaz are Bubalus Bubalis. Kama unaelewa jinyamazie, maneno yako hayawezi kusaidia kitu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…