GreenCity
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 5,796
- 4,497
Nimeisoma nimerudi! Nauliza kuna sehemu ilani yenu inasema itawezesha wanafunzi wasichana waliopewa mimba kurudi shule baada ya kujifungua! Lakini naona in-charge anawakamata na kuwatia lupango, sielewi hapo!Kuna thread humu inaelezea ahadi za Magufuli nenda kaisome....
Halafu kuna Ilani ya CCM nenda kaisome pia.
Halafu rudi hapa uje kutuuliza ambacho hujakielewa..