Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
..kuna waliooana mbali. wakasema ni Dikiteta UCHWARA. Akakasairika (akijua siyo uchwara ila ni KAMILI).....Sasa TWAYAONA yaliyoonywa na Ngurumo, Mbwambo, Lissu na wengine....
 
Vijana wa mtaani wanasema Chizi kalogwa tena. Ngosha hailewi wala haambiliki, ni shingo ngumu. Nchi inazidi kuteketea kwa kasi ya ajabu.
 
Hawajui kwamba.wanaowaua wana ndugu na koo zao,hasira juu ya hasira. Afu nasikia madikteta huwa yanajifanya kusali sana
 
We ni nani? Katika watanzania 44million tukiondoa baadhi ya Wachaga?
acheni ubaguzi wa kisenge,una uhakika hakuns Wachagga waliompigia kura Magufuli....hizo mbegu za chuki mnapanda ukifika muda wa kuzivuna msije kataa
 
Kama neno baadhi limekushinda kutafasiri basi "wewe ni choo tuu kama lowassa". Dr. Slaa
 
Anatupeleka Kanaani tatizo njia na maridhiano.
 
Tuache unafiki ukweli mchungu kuna nguvu kubwa mnoo ipo kwenye mitandao kumpromote kinafiki ila ukweli mnaujua.

Utawala wa jpm ni la kuvunda halina ubani hata ukoshe na udi na mafusho lishavunda tu

Utawala wa magufuli hausafishiki wala haukogeki

Mnaofagilia mioyoni mwenu najua hamumpendi ukweli ndo huo

Ccm msijifariji 90% ya wanaccm hawampendi magu wanajilazimisha sana

Tanzania ya viwanda imeyeyuka kama barafu katika jua kali jee magufuli ana jipya gani??

Yai likishavisa limevisa tu halirudi kuwa yai zima

Awamu ya kiki maonyesho na movie hivi zile ndege zetu za canada zimeishia wapi??

Magufuli huyu aliyekua anasifiwa kwa jina la buldozer africa nzima leo hii ndaru zote zimeisha

Wananchi wamekuchoka baba ujitafakari ulikosea wapi

Ama kweli "LA KUVUNDA HALINA UBANI"
 
Tulisema hapa mwaka 2015 kuwa na vijana wengi wasio na ajira ni bomu linalosubiri kulipuka. CCM walipojipa ushindi magu akaanza kupunguza ajira badala ya kuongeza. CCM mpambane na hali mliyoitengeneza, vijana sasa wanataka mabadiliko kwa gharama yoyote bila woga.
 
yaani huu utawala siku zake zinahesabika
 
Kama manenoyako ni kweli tusubiri 2020 panapo majaaliwa.kwa Mimi nionavyo JPM hana mpinzani, ila kwenye mitandao blabla haziishi.
 
Tuache unafiki ukweli mchungu kuna nguvu kubwa mnoo ipo kwenye mitandao kumpromote kinafiki ila ukweli mnaujua.

Utawala wa jpm ni la kuvunda halina ubani hata ukoshe na udi na mafusho lishavunda tu

Utawala wa magufuli hausafishiki wala haukogeki

Mnaofagilia mioyoni mwenu najua hamumpendi ukweli ndo huo

Ccm msijifariji 90% ya wanaccm hawampendi magu wanajilazimisha sana

Tanzania ya viwanda imeyeyuka kama barafu katika jua kali jee magufuli ana jipya gani??

Yai likishavisa limevisa tu halirudi kuwa yai zima

Awamu ya kiki maonyesho na movie hivi zile ndege zetu za canada zimeishia wapi??

Magufuli huyu aliyekua anasifiwa kwa jina la buldozer africa nzima leo hii ndaru zote zimeisha

Wananchi wamekuchoka baba ujitafakari ulikosea wapi

Ama kweli "LA KUVUNDA HALINA UBANI"
Toa takataka hapa,huna maana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom