kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,846
- 20,319
la kuvunda halina ubaniToa takataka hapa,huna maana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
la kuvunda halina ubaniToa takataka hapa,huna maana
Rubbish !la kuvunda halina ubani
hahaha na. bado mpaka ajambeRubbish !
hahaha utaitwa mchochez mkuuHivi zile ambulance zilizookotwaga pale bandarin ziliishiaga wapi?
Anajamba sugu magereza,chezea dona na maharagwe yasio ungwa na hayajaiva vizurihahaha na. bado mpaka ajambe
la kuvunda halina ubaniAnajamba sugu magereza,chezea dona na maharagwe yasio ungwa na hayajaiva vizuri
kwel aiseeToka lini mnyampara akapendwa, mnyampara ni mnyampara tu alijisemea mzee kingunge
magu nimbabe atapita kibabe, ila bila kuwa wanafki magufuli hana upepo mzuri sanaaa maana ukipita katika kikund cha watu 10 basi 2 wanamfaglia 8 wanalalmika either uchumi mgumu au utawala wakimabavu. ....2020 haitomaanisha chochte ila ukweli walio wengi wanahaha sana na huu utawalaKama manenoyako ni kweli tusubiri 2020 panapo majaaliwa.kwa Mimi nionavyo JPM hana mpinzani, ila kwenye mitandao blabla haziishi.
Naona mnachukua vtu vdogo tu ilu kutoa hitimsho pa uongoz mbaya,sjui yale mazur mnayaona ama hamuyaon???? Kila kitu mathalan maswala ya uongoz kuna uimara wake na udhaifu wake katka shabaha ya maendeleo.Msiendeshwe na itikad zenu wakuuTulisema hapa mwaka 2015 kuwa na vijana wengi wasio na ajira ni bomu linalosubiri kulipuka. CCM walipojipa ushindi magu akaanza kupunguza ajira badala ya kuongeza. CCM mpambane na hali mliyoitengeneza, vijana sasa wanataka mabadiliko kwa gharama yoyote bila woga.
Naona mnachukua vtu vdogo tu ilu kutoa hitimsho pa uongoz mbaya,sjui yale mazur mnayaona ama hamuyaon???? Kila kitu mathalan maswala ya uongoz kuna uimara wake na udhaifu wake katka shabaha ya maendeleo.Msiendeshwe na itikad zenu wakuu
Vyema,kwa nn hilo neno baadhi hukulitumia kwa naadhi ya Watanzania na badala yake ukaenda specifically jwa Wachagga...achana tabia za kuzimu ww!Kama neno baadhi limekushinda kutafasiri basi "wewe ni choo tuu kama lowassa". Dr. Slaa
Tangu Mei 2016, mpaka leo 2018 mkuu mi sijui anatupeleka wapi.Mwalimu Nyerere aliwahi kusema, "Hatuwezi kuwa na Rais ambaye hatujui kesho ataamka amefikiria nini au ameshauriwa nini na mke wake". Kwa wakati ule kilionekana ni kijembe kwa mzee Mwinyi lakini leo kauli yake inaonyesha maana.
Hatujui mwelekeo wa nchi kiukweli, hatujui kesho atafukuzwa na nani au ziara ya Rais au Waziri Mkuu itakuwa wapi. Hatujui kama tutaamka tunafagia barabara au tutaingia ofisini kwetu kama kawaida.
Hatujui tunaanza na nini, kujenga viwanda au kuboresha miundombinu na kuimarisha kilimo ili tupate malighafi.
Hatujui tatizo la sukari kwa mfano linaondoka kwa kurekebisha viwanda vyetu na kuongeza uzalishaji wa miwa au kuruhusu sukari ya nje au tuvamie magodauni ya watu.
Ukimuangalia usoni na ukasikia anachotamka unakiri ana nia kabisa ya kututoa hapa. Swali ni je, anajua jinsi ya kututoa?! Anajua anakotupeleka?
Nimejitahidi kuangalia Bunge ili nione labda Mawaziri wake wanaweza kuonyesha mwelekeo, huko nikachanganyikiwa zaidi.
Mwanamtandao mmoja alisema unaweza kuwa na dereva mzuri anayefuata sheria zote za barabarani lakini hajui anaenda wapi!
Akikujibu nitag mkuu..Mazuri yapi hayo?!