Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Utawala huu wa awamu ya 5 chini ya Magufuli umekua na matukio mengi ya kinyama watu wanauliwa wengine kwa mapanga kama nyama ya ng'ombe bucha

Magufuli wewe ulikua mbunge tu wa Chato na ukachaguliwa kwa bahati mbaya kuwa rais wa Nchi hii ndo maana ukasema utamlinda Kikwete na Benja wasiguswe

Unafanya mambo ya ovyo ,Nchi hii sio Mali yako tangu umeingia wewe kila kitu cha Nchi hii kimekwenda shanghalabaghala

Watu wanauliwa ovyo

Ajira umesitisha kwa vijana hasa walimu wa arts

Watu wanapigwa risasi ovyo

Nchi imekua haieleweki hadi tunahisi tupo Rwanda au Burundi

Magufuli achia Nchi uongozi huuwezi mzee acha kumuiga huyu jamaa yako Kagame usituharibie Nchi yetu kwa upuuzi wa katiba inayokupa mamlaka ya kufanya mambo ya ovyo
Kafa babangu kafa mamangu Nchi stress tupu kuanzia viongozi hadi wanawake wa nchi hii stress tupu acha nife tu sina cha kupoteza
Jutia kuongozwa na wababaishaji wakakulemaza akili ukashindwa kujua kazi yake..una bahati kupewa uhai ushuhudie maana ya uongozi kutoka serikali awamu ya tano..futa yaliyopita dua zako za kuku hazitakusaidia nyanyua kichwa kijana uangalie mbele, habari za kukusanya hela asubuhi hujui hata zimetoka wapi sahau!
 
Kwanza unatakiwa ushukuru mungu pamoja na serikali ya Mh Magufuli kwa kukusameheni na vyeti vyenu fake akawafukuza kazi tu bila kuwapeleka mahakamani vinievyo ungekuwa nyuma ya nondo na jamii forum ungekuwa unaiskia kwenye bomba
Hivi wenye vyeti feki hawakuletwa na ccm kweli?

Vipi DAB na vyeti vyake feki mbona hakuguswa na JPM?

Ccm ndio baba lao mafisadi na mataperi wote wa TZ ,
Watuachie nchi yetu waliyoiharibu sana.
 
Taifa hili lina makabila zaidi ya 120 na huwezi kuwasikia wakilialia, ila wachagga ni kama walemavu fulani wa akili, wanahisi nchi hii ni yao kila kitu. Kila siku wao, kudhulumu, wizi, ukabila, ubaguzi, misifa nk. Ukilala wachagga ukiamaka wachagga yaani wamekuwa kero kubwa. Na kwa tabia yao hiyo ipo siku watashindwa kuishi na watu. Hawapendi kukaa kwao Moshi wanazurula sana mikoa ya watu na siku watu wakiwachoka na basi.
- Ngoma ikivuma sana, mwishowe hupasuka
Una kilema cha akili.
 
¶ Viwanda vyetu mlibinafsisha.
¶ Mashirika yetu mliyaua ninyi.
¶ Nyumba za serikali mliuza wenyewe.
¶ Migodi yetu mmewapa makaburu.
¶ Mafisadi mnawapa hadi uenyekiti wa bunge.

Leo mnakuja na wimbo wa "UZALENDO". Siwaelewi, kama sigara ya nyota. Mbele unavuta, nyuma unavuta.
Word.
 
Taifa hili lina makabila zaidi ya 120 na huwezi kuwasikia wakilialia, ila wachagga ni kama walemavu fulani wa akili, wanahisi nchi hii ni yao kila kitu. Kila siku wao, kudhulumu, wizi, ukabila, ubaguzi, misifa nk. Ukilala wachagga ukiamaka wachagga yaani wamekuwa kero kubwa. Na kwa tabia yao hiyo ipo siku watashindwa kuishi na watu. Hawapendi kukaa kwao Moshi wanazurula sana mikoa ya watu na siku watu wakiwachoka na basi.
- Ngoma ikivuma sana, mwishowe hupasuka
Chagaz are Bubalus Bubalis. Kama unaelewa jinyamazie, maneno yako hayawezi kusaidia kitu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom