Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Siku hizi tunaogopa hata kutoa mawazo yetu popote pale..wasiojulikana wapo kona zote.
Acqulina alipopigwa risasi hadi akafa alikuwa JF akitoa maoni yake juu ya Dikteta huyu?
acha uoga wa kishamba mkuu, tiririka kwa maoni.
 
Anaacha kuwapandishia madaraja wafanyakaz kaz yake ni kutafuta sifa kwa wananchi wasiojitambua! Wafanyakaz nchi wamekuwa kama mandondocha vile hawajui ya kesho na vyama vya wafanyakaz Viki likizo
 
Yeye anafikiri kujenga reli na kununua ndege ndio mambo muhimu kuliko haki,uhai na utu wa binadamu.
 
Mbona malalamiko yamekuwa mengi dhidi ya huyu kiongozi mkuu mtarajiwa wa malaika ambaye ataenda kurith kazi ya Michael na Gabriel???
 
Huyu mtu kaandika huu uzi akiwa na hasira ya hatari. Kuchanganyikiwa kumekuwa tatizo kubwa sana awamu hii.
 
Naona kama namkaribia sana ndiyo maana nikatamani aniteue niwe kiongozi wa malaika wake ikimpendeza siku nikifika kwake.
 
Acqulina alipopigwa risasi hadi akafa alikuwa JF akitoa maoni yake juu ya Dikteta huyu?
acha uoga wa kishamba mkuu, tiririka kwa maoni.
Unamshauri Mwenzio awe jasiri Muda huo upo kwny Kichaka cha JF umejificha huku umejivika koti la Username feki
 
Mkumbuke pia Mungu anaweza kumfanya mtu kama Faraoh kwa ajili ya kutuadhibu. Uganda walikuwa na kiburi sana, akatokea Amin na mnajua yaliyofuata. Zimbabwe walikuwa wanaishi kama wazungu na kuwa na kiburi akatokea Mugabe na mnajua wazimbabwe walivyokuwa wanaishi kama malaika na waliishia kuishi kama mnavyojua. Cha maana ni kuomba Mungu atusaidie katika utawala huu maana kama Mungu ndiye amemweka kwa ajili ya maovu yetu tuliyotenda hakuna wa kumtoa. Pamoja na watu wa Misri kuteseka lakini hakuna aliyeweza kumtoa Faraoh. Pamoja na Wazimbabwe kuteseka sana hakuana aliyeweza kumtoa Mugabe. Lakini kama Rais siyo mpango wa Mungu na wakiwepo watoto wa Mungu wanaomlilia basi Mungu ana uwezo wa kumwondoa tena kwa aibu kubwa tu. Hayo ni maoni yangu
 
hivi hawa wanaotoa mawazo yao kwa njia ya kupitia JF wanamakosa gani?si wajibiwe tu kwa yale wanayoyasema kwa nini watishiwe maisha?
 
Unamshauri Mwenzio awe jasiri Muda huo upo kwny Kichaka cha JF umejificha huku umejivika koti la Username feki
ku**m@ wewe, jibu hoja ya mada, Acqulina alikuwa na username original ndo akapigwa risasi?
kuna watu mnatembea na mavi kwenye ubongo
 
Huyu mtu kaandika huu uzi akiwa na hasira ya hatari. Kuchanganyikiwa kumekuwa tatizo kubwa sana awamu hii.

..hata bwana mkubwa naye ana hasira zisizo na msingi wowote.

..na watendaji walio chini yake wanajaribu kutenda kulingana na hasira na jazba za bwana mkubwa.

..MUNGU atusaidie tuvuke salama.
 
..hata bwana mkubwa naye ana hasira zisizo na msingi wowote.

..na watendaji walio chini yake wanajaribu kutenda kulingana na hasira na jazba za bwana mkubwa.

..MUNGU atusaidie tuvuke salama.
Bwana mkubwa kashika mpini, mimi wewe na mleta mada tumeshika makali.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…