Hapana Mkuu ni heri nusu shari kuliko shari kamili,siku utakayoona Dada,Mama,wadogo zako,jamaa zako na marafiki wanagaa gaa kwenye madimbwi ya damu na matundu ya risasi na mapanga wakati huo wewe ni mzima hutataka,wala kutamani ukionacho kiwe kweli bali sinema ama simulizi za dhania (fictional stories),wala kutamani kukumbuka kama uliwahi kuandika haya,hawa jamaa siwataki hata bure ila namuomba M.Mungu waondoke kwa amani tusifike huko!!.Habarini wadau.
Hii nchi ilipofika nahisi panabidi pawake kwanza wenda tutaheshimiana.
Yaani ccm wanaendesha nchi kama mungu aliwaambia hii nchi nawapa ccm tu hamna wengine.
Yaani hawa watu wanachofanya ni zaidi ya uonevu, na mijitu imekaa kila siku kuwashangilia ili wapewe uongozi, kwa mfano magazeti ya tanzanite na lile la uhuru..
Kwenye uchaguzi waibe kura, hela za kodi wanatokomea nazo (rejea trilioni na nusu), bunge live hakuna, bunge lenyewe limezibwa mdomo, mahakamani nako ni shida, polisi ndio kimekuwa kitengo cha ccm, deni la taifa linapaa tu.
Yaani nahisi panahitajika discipline ya haja ili tuheshimiane, maana tunafanywa malofa kupitiliza kwa mwamvuli wa amani na uzalendo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bango kuuubwa, point hakuna!Habarini wadau.

Mtu kamq weewe ndiyo wa kuanza naBango kuuubwa, point hakuna!
Wameiba nini, magazeti yamefanya nini, pawake nini, heshima gani unaitaka, je heshima na haki vinapatikana kwenye ghasia ama umwagaji damu?
Je kila raia unahisi anaendesha maisha yake kwa ushabiki wa kisiasa?
Kwanini msisubiriane hukohuko kwenye majukwaa yenu muishane hukohuko?
Maana kama kuna ukweli juu ya haki iliyoporwa na kila jambo unalolilalamikia, lazima ulielezee kinagaubaga ili uweze kupata support.
Ninachoelewa mimi vibaka na majizi hawapendi amani, kwa kuwa fursa ya kuweza kupora katika kivuli cha machafuko hakipo, amani inawachelewesha na kuwanyima riziki.
Sasa njia iliyobaki kwao ni kuhamasisha machafuko yatokee ili fursa hiyo ya kidhalimu ipatikane.
Njia za kuwasilisha malalamiko juu ya dhuluma, zipo nyingi na zinaeleweka, lakini si hii haramu yenye sura ya uhalifu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo njia ni zipi zenye haki? Kote ni upuuzi tuBango kuuubwa, point hakuna!

Hauwezi kunipata kwa vyovyote mtu dhaifu kama wewe.
Unatekenywa matako wewe falaHabarini wadau.
Hii nchi ilipofika nahisi panabidi pawake kwanza wenda tutaheshimiana.
Yaani ccm wanaendesha nchi kama mungu aliwaambia hii nchi nawapa ccm tu hamna wengine.
Yaani hawa watu wanachofanya ni zaidi ya uonevu, na mijitu imekaa kila siku kuwashangilia ili wapewe uongozi, kwa mfano magazeti ya tanzanite na lile la uhuru..
Kwenye uchaguzi waibe kura, hela za kodi wanatokomea nazo (rejea trilioni na nusu), bunge live hakuna, bunge lenyewe limezibwa mdomo, mahakamani nako ni shida, polisi ndio kimekuwa kitengo cha ccm, deni la taifa linapaa tu.
Yaani nahisi panahitajika discipline ya haja ili tuheshimiane, maana tunafanywa malofa kupitiliza kwa mwamvuli wa amani na uzalendo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huna wazazi, huna familia, huna elimu, huna kazi, huna dini, huna kitega uchumi unachomiliki KABISA HUNA CHA KUPOTEZA. Nakushauri hamia DRC, BURUNDI, LIBYA, PAKISTANI, MYNMAR patakufaa sana Mkuu Tanzania unayoifikiria sio leo wala kesho.Habarini wadau.
Hii nchi ilipofika nahisi panabidi pawake kwanza wenda tutaheshimiana.
Yaani ccm wanaendesha nchi kama mungu aliwaambia hii nchi nawapa ccm tu hamna wengine.
Yaani hawa watu wanachofanya ni zaidi ya uonevu, na mijitu imekaa kila siku kuwashangilia ili wapewe uongozi, kwa mfano magazeti ya tanzanite na lile la uhuru..
Kwenye uchaguzi waibe kura, hela za kodi wanatokomea nazo (rejea trilioni na nusu), bunge live hakuna, bunge lenyewe limezibwa mdomo, mahakamani nako ni shida, polisi ndio kimekuwa kitengo cha ccm, deni la taifa linapaa tu.
Yaani nahisi panahitajika discipline ya haja ili tuheshimiane, maana tunafanywa malofa kupitiliza kwa mwamvuli wa amani na uzalendo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani ccm imekusha nn mkuuBango kuuubwa, point hakuna!
Wameiba nini, magazeti yamefanya nini, pawake nini, heshima gani unaitaka, je heshima na haki vinapatikana kwenye ghasia ama umwagaji damu?
Je kila raia unahisi anaendesha maisha yake kwa ushabiki wa kisiasa?
Kwanini msisubiriane hukohuko kwenye majukwaa yenu muishane hukohuko?
Maana kama kuna ukweli juu ya haki iliyoporwa na kila jambo unalolilalamikia, lazima ulielezee kinagaubaga ili uweze kupata support.
Ninachoelewa mimi vibaka na majizi hawapendi amani, kwa kuwa fursa ya kuweza kupora katika kivuli cha machafuko hakipo, amani inawachelewesha na kuwanyima riziki.
Sasa njia iliyobaki kwao ni kuhamasisha machafuko yatokee ili fursa hiyo ya kidhalimu ipatikane.
Njia za kuwasilisha malalamiko juu ya dhuluma, zipo nyingi na zinaeleweka, lakini si hii haramu yenye sura ya uhalifu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hujapigwa ban basi jf ni maviUnatekenywa matako wewe fala