bachelor sugu
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 2,689
- 3,646
Kuna clip nimeiona anasema anataka kuwachagua watu vichaa vichaa kama yeye, ndiyo akampata Luhaga Mpina! Umeiona hiyo clip?Alafu tunataka wawekezaji waje wawekeze hapa nchini!!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kuna clip nimeiona anasema anataka kuwachagua watu vichaa vichaa kama yeye, ndiyo akampata Luhaga Mpina! Umeiona hiyo clip?
Kuna clip nimeiona anasema anataka kuwachagua watu vichaa vichaa kama yeye, ndiyo akampata Luhaga Mpina! Umeiona hiyo clip?
amesema yeye, ningelikuwa na uwezo ningeliiweka ukaisikia mwenyewe!Mkuu ,ina maana Raisi wetu ni Kichaa ? 🙄 .
amesema yeye, ningelikuwa na uwezo ningeliiweka ukaisikia mwenyewe!
Sielewi ni kwanini hii mada imeunganishwa!Ivi kweli matajiri wamemkosea nini huyu mwenyekiti wa ccm? Ivi toka lini viwanda vikaanzishwa na maskini kwa mtaji upi? Maskini wwnyewe kodi shida, huko vijijini kwenye maskini hakuna barabara wala maji wala umeme wala hawalipi kodi ndio anaowataka au ndio mtaji wakeView attachment 857003
Kama maadui zake ni matajiri Hawa masikini wakianzisha viwanda wakiwa matajiri wanakuwa maadui zake wapya.... Daaaah ukichaaa kichaaa Kama alivyosema etiIvi kweli matajiri wamemkosea nini huyu mwenyekiti wa ccm? Ivi toka lini viwanda vikaanzishwa na maskini kwa mtaji upi? Maskini wwnyewe kodi shida, huko vijijini kwenye maskini hakuna barabara wala maji wala umeme wala hawalipi kodi ndio anaowataka au ndio mtaji wakeView attachment 857003
Nahisi anatupeleka kwenye ndoto yake.Mwalimu Nyerere aliwahi kusema, "Hatuwezi kuwa na Rais ambaye hatujui kesho ataamka amefikiria nini au ameshauriwa nini na mke wake". Kwa wakati ule kilionekana ni kijembe kwa mzee Mwinyi lakini leo kauli yake inaonyesha maana.
Hatujui mwelekeo wa nchi kiukweli, hatujui kesho atafukuzwa na nani au ziara ya Rais au Waziri Mkuu itakuwa wapi. Hatujui kama tutaamka tunafagia barabara au tutaingia ofisini kwetu kama kawaida.
Hatujui tunaanza na nini, kujenga viwanda au kuboresha miundombinu na kuimarisha kilimo ili tupate malighafi.
Hatujui tatizo la sukari kwa mfano linaondoka kwa kurekebisha viwanda vyetu na kuongeza uzalishaji wa miwa au kuruhusu sukari ya nje au tuvamie magodauni ya watu.
Ukimuangalia usoni na ukasikia anachotamka unakiri ana nia kabisa ya kututoa hapa. Swali ni je, anajua jinsi ya kututoa?! Anajua anakotupeleka?
Nimejitahidi kuangalia Bunge ili nione labda Mawaziri wake wanaweza kuonyesha mwelekeo, huko nikachanganyikiwa zaidi.
Mwanamtandao mmoja alisema unaweza kuwa na dereva mzuri anayefuata sheria zote za barabarani lakini hajui anaenda wapi!