Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Ivi kweli matajiri wamemkosea nini huyu mwenyekiti wa ccm? Ivi toka lini viwanda vikaanzishwa na maskini kwa mtaji upi? Maskini wwnyewe kodi shida, huko vijijini kwenye maskini hakuna barabara wala maji wala umeme wala hawalipi kodi ndio anaowataka au ndio mtaji wake
IMG-20180904-WA0026.jpg
 
Viwanda gani atakavyoanziasha mkuu wa Mkoa ama wilaya.?

Ina maana China wanajifunza tu kuzima mitandao hawajifunzi kuwa viwanda vingi vya china matajiri ni Wamarekani na na nchi za Magharibi.?
 
Kuna clip nimeiona anasema anataka kuwachagua watu vichaa vichaa kama yeye, ndiyo akampata Luhaga Mpina! Umeiona hiyo clip?

Mkuu ,ina maana Raisi wetu ni Kichaa ? 🙄 .
 
Ivi kweli matajiri wamemkosea nini huyu mwenyekiti wa ccm? Ivi toka lini viwanda vikaanzishwa na maskini kwa mtaji upi? Maskini wwnyewe kodi shida, huko vijijini kwenye maskini hakuna barabara wala maji wala umeme wala hawalipi kodi ndio anaowataka au ndio mtaji wakeView attachment 857003
Sielewi ni kwanini hii mada imeunganishwa!

JF sometimes hawaeleweki!
 
Ivi kweli matajiri wamemkosea nini huyu mwenyekiti wa ccm? Ivi toka lini viwanda vikaanzishwa na maskini kwa mtaji upi? Maskini wwnyewe kodi shida, huko vijijini kwenye maskini hakuna barabara wala maji wala umeme wala hawalipi kodi ndio anaowataka au ndio mtaji wakeView attachment 857003
Kama maadui zake ni matajiri Hawa masikini wakianzisha viwanda wakiwa matajiri wanakuwa maadui zake wapya.... Daaaah ukichaaa kichaaa Kama alivyosema eti
 
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema, "Hatuwezi kuwa na Rais ambaye hatujui kesho ataamka amefikiria nini au ameshauriwa nini na mke wake". Kwa wakati ule kilionekana ni kijembe kwa mzee Mwinyi lakini leo kauli yake inaonyesha maana.

Hatujui mwelekeo wa nchi kiukweli, hatujui kesho atafukuzwa na nani au ziara ya Rais au Waziri Mkuu itakuwa wapi. Hatujui kama tutaamka tunafagia barabara au tutaingia ofisini kwetu kama kawaida.

Hatujui tunaanza na nini, kujenga viwanda au kuboresha miundombinu na kuimarisha kilimo ili tupate malighafi.

Hatujui tatizo la sukari kwa mfano linaondoka kwa kurekebisha viwanda vyetu na kuongeza uzalishaji wa miwa au kuruhusu sukari ya nje au tuvamie magodauni ya watu.

Ukimuangalia usoni na ukasikia anachotamka unakiri ana nia kabisa ya kututoa hapa. Swali ni je, anajua jinsi ya kututoa?! Anajua anakotupeleka?

Nimejitahidi kuangalia Bunge ili nione labda Mawaziri wake wanaweza kuonyesha mwelekeo, huko nikachanganyikiwa zaidi.

Mwanamtandao mmoja alisema unaweza kuwa na dereva mzuri anayefuata sheria zote za barabarani lakini hajui anaenda wapi!
Nahisi anatupeleka kwenye ndoto yake.
 
Kuna mtu aliwahi kunisimulia kuwa Rais Magufuli alipokuwa Waziri wa Ujenzi, alikuwa na kawaida kufanya ziara katika ofisi za Tanroads mikoani na akifika pale, atasalimiana na wafanyakazi wote huku akiwa na interest ya kufahamu kabila la kila mmoja...

Baada ya kusikiliza hotuba hii ya Rais Magufuli, nimeshangazwa kumwona tangu dk ya 1 hadi ya 7 anapiga tu Kisukuma, on LIVE TV, katika hotuba ambayo alikusudia ujumbe wake uwafikie watu nchi nzima, hii si ni dharau na ubaguzi wa wazi kwa Watanzania wengine wasioelewa kisukuma? Nini kimetokea kwenye hadhi ya kiti cha Urais hata kichezewe hivi na mtu aliyekikalia?

 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom