Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Dah.... wapigaji mna miaka 30 ya kusubiri.... akimaliza yake 10...anakuja Major Liwa naye itakuwa 10....kama mtakuwa hamjanyooka anakuja daB naye itakuwa 10 ujue....mtapata taabu sana...[emoji13] [emoji13]
 
Muhula mmoja tu umemtosha apumzike.

Yatosha

ISIS UCD thetallest johnthebaptist imhotep

Kwa maoni yangu na matwakwa yangu ambayo kila Siku namwomba Mwenyezi Mungu ayakubali ni kwamba Rais Dr. John Pombe Joseph Magufuli aiongoze Tanzania hata kwa miaka 50 ijayo kwani namkubali, nina uhakika nae na namuamini kwa 100% kuwa ndiye Rais ambaye Tanzania ya sasa tulikuwa tunamtaka na kumlilia siku nyingi ukiachia Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Burito Kambarage Nyerere.
 
Kuminya demokrasia, Polisi wa CCM, wakurugenzi wa CCM, NEC ya CCM kupora ushindi kwa wapinzani, kuwadharau wapiga kura ambao huchagua chaguo lao vizuri kisha Polisi na tume kuwapora
 
Kwa kikwete nae mlisemaga hivyohivyo kwamba muhula mmoja unamtosha...
Ila kiukweli huyu inatosha..
 
Kumbe we naye fyatu........
 
Mi ni electrical engineer usilete ubishi wa ki ccm tumejenga madaraja baharini usiku, tunachimba mafuta bahari na gesi usiku kama hujui omba uelimishwe
Chema chajiuza kibaya chajitembeza. Nani kakuuliza huu uharo unaoutoa hapa?
 
Tunarudi enzi zile Zambia kwenda sokoni unabeba hela kibao kumbe thamani yake sawa na dola kadhaa tu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…