Fungua English classes mkuu utatusaidia sanaplease dont follow follow me without because you cant me am another
Jf tuache tu!Kabisa, humu jf ni rais wa term moja.
Zile 10% za ununuzi wa wabunge, madiwani, ununuzi wa ndege, ujenzi wa reli na mengineyo zingetosha kununua vivuko kila kona ya Tanzania, lakini CCM wajanja wachache wamezitafuna kijanja huku watanzania wakitaabika kwa changamotoEti Chato airport na madlimulaina ndo kipaumbele cha wanyonge,
Tumeshindwa kwasha spotlight kuokoa wahahanga wa ajali.
Jeshi LA navy halina vifaa vya uokoaji Galina boat, halina helicopter, halina divers
Hii tafsiri hii...!Politics is an art of making your selfish desires seem like national interest
Utimamu wa akili na mwili ni sifa mojawapo ya kuwa rais.2020 Lissu Atosha
Let's Usher in Good Times
Lissumsaliti HELLLLL NOOOOOOO WAY WALAHI2020 Lissu Atosha
Let's Usher in Good Times
Lissumsaliti HELLLLL NOOOOOOO WAY WALAHI
Unatumia sana ndiyo maana umeutaja kama hutumiii umeujuaje? Tambua mchawi ndiyo humjua mchawi mwenzake.Aisee huwa situmii uharo bwabwa wewe.
Hakika 2020 hakuna wa kumzuiaNO WAY!
MAGUFULI NI WA MILELE YOTE WALAHI!View attachment 874211View attachment 874212View attachment 874211
Usitetee ujinga,kimsingi vyombo vya uokoaji vime_prove failure,huwezi kuwa na meli na mandege afu usiboreshe kitengo/vitengo vya uokoaji,vngnevyo hz dreamliner,na vivuko vtakua ni machinjio ya roho za watu,huwezi kua na jeshi la uokoaji ambalo uwezo wake ni handle majanga ya mchana tu,hiki ni kituko[emoji23] [emoji23] [emoji23]Una akili kama jemedari wako mbowe. Unadhani zilitakiwa tochi uzijuazo wewe kumulika.
Mungu amrehemuKwa amani
INDEEDHakika 2020 hakuna wa kumzuia View attachment 874213
Lussi ninayemjua mimi?2020 Lissu Atosha
Let's Usher in Good Times
Anawakilisha wananchi wanyonge na wa hali ya chini!Wewe ndo wananchi au