pundadumeafrika
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 1,619
- 2,074
Kwa hiyo yeye na Magufuli ni sawa sawa, mbona anampinga pacha wakeAnawakilisha wananchi wanyonge na wa hali ya chini!
Ha ha ha... Ikiisha miaka kumi usishangae Magufuli akawa wa maisha kama Xi Jinping kwa China...NO WAY!
MAGUFULI NI WA MILELE YOTE WALAHI!View attachment 874211View attachment 874212View attachment 874211
Duuuuhhhhh,mkuu inavyoelekea ulikuwa mkali sana kwenye socio- linguistics!please dont follow follow me without because you cant me am another
Mbona Magufuli ni chizi na mpina ni chizi(kwa maneno ya Magufuli mwenyewe, mod asijipemdekeze kufuta) lakini no Rais?Utimamu wa akili na mwili ni sifa mojawapo ya kuwa rais.
Mkuu leo vyombo vya kuosha vimeisha..Hii ni kutokana kwa kuchezea hela za walipa kodi hovyo hovyo . Pia uwezo wake mdogo wa kiutawala. Pia chuki wivu husda majigambo nyodo. Pia kugawanya watanzania kikanda na kikabila. Pia wizi wa matrillioni. Pia kuudondosha uchumi maksudi nakufanya hali ya watanzsnia wengi kuwa ya ufukara ilhali yeye na genge lake wachache wakifaidi keki ya taifa. Pia kunyanganya mke wa mtu
ISIS johnthebaptist thetallest
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]kwamba..Uzi wako uko ICU.
Alisema yeye ni kichaaMbona Magufuli ni chizi na mpina ni chizi(kwa maneno ya Magufuli mwenyewe, mod asijipemdekeze kufuta) lakini no Rais?
Bange mbaya sanaHii ni kutokana kwa kuchezea hela za walipa kodi hovyo hovyo . Pia uwezo wake mdogo wa kiutawala. Pia chuki wivu husda majigambo nyodo. Pia kugawanya watanzania kikanda na kikabila. Pia wizi wa matrillioni. Pia kuudondosha uchumi maksudi nakufanya hali ya watanzsnia wengi kuwa ya ufukara ilhali yeye na genge lake wachache wakifaidi keki ya taifa. Pia kunyanganya mke wa mtu
ISIS johnthebaptist thetallest
ukiitwa utaeleza kwa ushahidi hayo matrilion...make naona umejitoa sadaka bila kujua kuna sheria za mitandaoniHii ni kutokana kwa kuchezea hela za walipa kodi hovyo hovyo . Pia uwezo wake mdogo wa kiutawala. Pia chuki wivu husda majigambo nyodo. Pia kugawanya watanzania kikanda na kikabila. Pia wizi wa matrillioni. Pia kuudondosha uchumi maksudi nakufanya hali ya watanzsnia wengi kuwa ya ufukara ilhali yeye na genge lake wachache wakifaidi keki ya taifa. Pia kunyanganya mke wa mtu
ISIS johnthebaptist thetallest
anaweza kukuoa tu mfunge pingu za hiyo miaka 50 kwangu hata siku 50 simhitajiKwa maoni yangu na matwakwa yangu ambayo kila Siku namwomba Mwenyezi Mungu ayakubali ni kwamba Rais Dr. John Pombe Joseph Magufuli aiongoze Tanzania hata kwa miaka 50 ijayo kwani namkubali, nina uhakika nae na namuamini kwa 100% kuwa ndiye Rais ambaye Tanzania ya sasa tulikuwa tunamtaka na kumlilia siku nyingi ukiachia Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Burito Kambarage Nyerere.