Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Nyinyi ndio mliokua mkimtukana JK na kuaminisha watu kuwa JK ni rais wa hovyo kabisa kuwai kutokea katika nchi hii tena mlidai yeye anachekacheka tu hachukui hatua, ammekuja JPM anapambana na wezi wa mali za umma na kuwataka walio iba fedha za umma watazirudisha au zitawatokea kwenye tundu lolote la mwili wake naye mna msimanga, Sasa nyinyi mnataka rais wa ainagani? Yaani hamwishi malalamiko , Fanyeni kazi , kwasasa tumepata rais anayepambana kujenga jamii inayo wajibika, Kwasasa hakuna mtanzania mwenye akili za kinyumbu. Kazi za JPM zinaonekana kwa wananchi, Hazi itaji promo wala kiki.
 
Mimi siko huko bwana, usinilishe maneno.
 
Sasa kama hawa waliojaza watu na mizigo kwenye kivuko hiki kilichozama akiwaita wapumbavu atakuwa amekosea? Au nayo mtasema anawadhalilisha watendaji wake.
 
Wewe ni sawa na wale wanawake kila waolewapo huvunja ndoa zao,naamini umevunja ndoa zaidi ya tano,si ghubu hili ulilo nalo, ni kilema, unalazimisha ndoa kwa mwanaume asiekutaka?
 
.....

Maneno kama haya mtu unaweza kuyatamka mbele za watu ukiwa ama ni mlevi au mko katika ugomvi huku hasira zimekupanda kupitiliza lakini sio hivi hivi.....

Dah...ila nawe siku hizi akili zako zinazidi kuchoka tu... Mbona jibu lipo ndani ya Uzi wako...[emoji13]
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…