Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
That's very trueNa ni waambie tu,enzi hizo kungekuwa na mitandao ya kijamii kama ilivyo leo,watetezI hao wa kulipwa na wa kujipendekeza, wangekuwepo mitandaoni kumfagilia masaa 24 siku 7 za wiki.
Haya yatapita tu na maisha yataendelea.
Andiko kuntu sana hili mkuu .Tena waambie tu,enzi hizo kungekuwa na mitandao ya kijamii kama ilivyo leo,watetezi hao wa kulipwa na wa kujipendekeza, wangekuwepo mitandaoni kumfagilia masaa 24 siku 7 za wiki kwahiyo msishangazwe na haya yanayoendelea.
Wana hofu na nafsi zinawasuta kwasababu wana sababu za kuwa na hofu.Tumetuliia na nafsi zetu zimetulia kwasababu tuna sababu za kutulia.
Waacheni wahangaike kwasababu sababu wanazo.
All in all, haya nayo yatapita tu kama yalivyopita mengine na maisha yataendelea.
Bahati mbaya hata baadhi ya mods.wa humu wanatumikia kafiri. Niliweka uzi kuonyesha sababu za kutekwa Mo ukaondolewa. Kifupi ni kwamba Mo na TL wanatoka.mkoa mmoja na wote walikuwa wabunge wa mbunge mojaTena waambie tu,enzi hizo kungekuwa na mitandao ya kijamii kama ilivyo leo,watetezi hao wa kulipwa na wa kujipendekeza, wangekuwepo mitandaoni kumfagilia masaa 24 siku 7 za wiki kwahiyo msishangazwe na haya yanayoendelea.
Wana hofu na nafsi zinawasuta kwasababu wana sababu za kuwa na hofu.Tumetuliia na nafsi zetu zimetulia kwasababu tuna sababu za kutulia.
Waacheni wahangaike kwasababu sababu wanazo.
All in all, haya nayo yatapita tu kama yalivyopita mengine na maisha yataendelea.
Alikuwa na HOFU?Kwahiyo Dewji allikuwa anafanya kazi haramu?
Hofu zetu ni Elimu Bore, Maji, Huduma za Afya upatikanaji wa umeme wa uhakika,nk.Wewe mwenyewe unaishi kwa hofu,hata kama umo ndani ya kundi kwani kesho yako hui jui mkuu.
Wengine hatuna hizo hofu tangu tumezaliwa...elimu...maji..afya na umeme tunaoHofu zetu ni Elimu Bore, Maji, Huduma za Afya upatikanaji wa umeme wa uhakika,nk.
Hizo ndo zinaitwa hofu halali.
Sio right track ni laiti tlaki