Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Tena waambie tu,enzi hizo kungekuwa na mitandao ya kijamii kama ilivyo leo,watetezi hao wa kulipwa na wa kujipendekeza, wangekuwepo mitandaoni kumfagilia masaa 24 siku 7 za wiki kwahiyo msishangazwe na haya yanayoendelea.
Wana hofu na nafsi zinawasuta kwasababu wana sababu za kuwa na hofu.Tumetuliia na nafsi zetu zimetulia kwasababu tuna sababu za kutulia.
Waacheni wahangaike kwasababu sababu wanazo.
All in all, haya nayo yatapita tu kama yalivyopita mengine na maisha yataendelea.