Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Sukari yetu tulikuwa tunaipata kwa shs 2000 kwa Kilo Taratibu

sukari ni bidhaa ya mnyonge

Wakatia neno, sukari ikaadimika na sasa ni 2500 kwa kilo

Bado nishati ya kupikia ni ghali...Gesi ya majumbani bei ni juu,

watu wanakata miti ya kuni na mkaa

Wakapandisha VAT ya utalii ghafla....

Mafuta taa kodi yake ni mara 2

Kijiini hakuna umeme, mafuta taa ni ukombozi ila sasa ni hatari.... Watu wa mikoa pembezoni wanachukua mafuta taa Kenya na Zambia
 
Mmekazania sukari tu,hebu tumieni akili kidogo,mbona ilipoondolewa service charge ya Tanesco moja Kwa moja hamsifii??,ongezeko kidogo la sukari tena Kwa muda mfupi mmekomalia sukari tu kila siku,jaribu kufatilia kwanini vibali vimedhibitiwa na faida zake,inasikitisha sana vijana wa ki TZ ni walalamishi kupita maelezo na kila kukicha mnakuja na mbinu Mpya za ulalamishi,sijui ni matatizo ya kurithi??
 
Kazi ipi wakati No employment?

Mashamba yote wanayo wageni/wawekezaji?

Watu wanafanya kazi na pesa yote inakatwa kodi

Serikali ikusanye kodi kwenye Gold and Tanzanite
 

Faida zake ni sukari kupanda bei

wewe hujawahi kununua sukari

Wananchi vijijini ni masikini wa mlo mmoja

bado mafuta taa ya taa ya chemli ni bei mara 2

Umeme wa REA uko wapi, kila siku ahadi
 
Kama ndio mambo yanayokukera basi wewe ni jipu ngojea kutumbuliwa.
 
JMC06.
fulsa zipi pambanua. na usifikiri kila aliye humu yuko kama unavyofikiri. na ucshangae wengine ni waajiri wako. kubwa ni maslahi ya Taifa. nikishiba napaswa kumjari mwenye njaa.
 
Yote hayo mazuri anayofanya Raisi anaweza kutenda kwa kufuata katiba. Afanye hivyo na watu wote watafurahi
 
Tusubiri amri ya polisi ya kuzuia mkutano wao wa tarehe 23/07/2016 kwakuwa imetangazwa kuwa shughuli za kisiasa zisimame kutokana na intelijensia ya polisi kuona kuwa kutakuwa na uvunjifu wa amani. Sasa kama polisi wanatawanya na kuvunja hadi mikutano ya ndani kama ile ya mahafali ya wanafunzi itakuwaje waruhusu CCM kufanya mkutano wao mkuu?
 
Sio peke yako mnaoamini kuhusu kishindo its a stage in ur dreaming brain called "denial"kwa serikali ya sasa blaza mlianza kwa kushindwa znz mkarudia but sumu sasa ipo mtaani and its spreading like a plague deep down nnchi is worsening msingekumbatia polisi hivi kama sio uwoga na kutojiamini "TRUTH HAS A WAY OF COMING OUT AND WHEN IT DOES EVERYTHING CHANGES".
 
Sisi ndio tupo kwenye idara za kutoa fursa. Sisi ndio fursa.
 
Inaonekana kuna mgongano kati ya tamko la rais na katiba ya nchi.

Labda tuombe tafsiri kutoka mahakama kuu juu suala hili.
 
Mkuu kuna dc mmoja kaachia ngazi labda unaweza pata hiyo nafasi.
 
Mkuu umetiririka mpaka ukasahau aya
 
Eti" Tanzania ndio kwanza inaanza", kana kwamba yule magufuli katoka chama kingine zaidi ya ccm. miaka 55 ya uhuru walikuwa wanatawala ccm. Ccm imeleta maendeleo uchwara.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…