Binafsi sijui unachofanya.
Sioni dalili za taifa kupiga hatua.
Naona idadi ya wanaokutetea na kukushabikia ikipungua.
Naona kama ni wakati wa kuomba kwamba, ' baba,kama ikikupendeza,kikombe hiki nisikinywe ila kama sio mapenzi yako yatimizwe'.
Ndugu yangu jipime, mtaani kila mtu analia kasoro Lizaboni,jingalao,Faiza fox,1954,mudawote,DuppyConqueror na wanao fanana na hao.
Ila mkuu, hii namba tumeshaisoma.
Tusamehe baba.
Turudishie nchi yetu!
Mheshimiwa rais, naomba kesho nisiitwe polisi, naomba nisizingirwe, Mkuu sina millioni saba.