Paul Alex
JF-Expert Member
- Jul 14, 2012
- 4,351
- 9,838
Magufuli toa Majeshi yetu Kongo, hakuna tunachokifanya huko. Vijana wanapigwa na baridi na kung'atwa na mbuu bure.
Ngoja nikwambie kitu kiongozi,wewe hujaenda Kongo, mimi nimeenda.
Adui yetu mkubwa Kongo ni Kagame.
Uliwahi kusikia habari ya wanajeshi wa Tanzania waliokufa Goma kwa bomu. Uliza kidogo tena uende ndani kidogo.
Rwanda inajivunia nini?
Madini yake inachimba wapi?
Kagame hata kaa aache kuwafuatilia wa 'hutu' ambao anahisi wanajipanga dhidi wake Kongo.
Hata kaa aache kuiba Kongo maana kwake Kongo ni kila kitu.
Kwetu Rwanda si lolote japo angalau ni chochote.
Rwanda ni ndogo Kongo ni kubwa.
Kongo tunalipwa na UN, Rwanda haitupi kitu.
Rwanda haina mahusiano mazuri na majirani zake wote.
Nimeenda Rwanda, Rwanda hamna kitu!
Mkuu, ukishikana na Kagame uondoe vijana wetu Kongo.