cerengeti
JF-Expert Member
- Jan 19, 2011
- 3,878
- 1,626
Kwani walio leta uozo ni nani?I reserve my comments. I'll nchi ilioza. Ndio maana hata kwa kuanzia ilikuwa kazi
Serikali iliyokuwa madarakani kabla 2016 ni ya chama gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani walio leta uozo ni nani?I reserve my comments. I'll nchi ilioza. Ndio maana hata kwa kuanzia ilikuwa kazi
Dhiki kuu.Tanzania yangu hizi phd(permanent head damage)..na usomi wote hausaidii hii nchi kwenda mbele.. kwamba watu wameweka masilahi..yao binafsi na ya vyama..mbele zaidi kuliko nchi... cha zaidi Wananchi wananchi kuumizwa...kwa maamuzi ambayo hayana upeo wa kuunganisha watanzania..bika kujali..itikadi...kwa nchi hii ni janga kubwa .. mungu ibariki Tanzania na watu wake ...
Lombardi inaonekana unapata taarifa kutoka Fort Meade www.nsa.govKuna pressu kubwa sana ya ndani kwenye mifumo! Ndio maana anasisitiza kuombewa! Ameshapewa info zote jinsi uprising ilivyosukwa toka kwa ndugu wa baba kambo kama angetumbua Lugumi na Dr Msomi sana wa Darajani.....!!amestuka! Angekwenda na maji!!! Angalau busara imemfikia akakubali ushauri!
Tatizo ni uvivu, wanavyoona nchi nyingine zinaendelea wanadhan serikali inagawa hela,Mmekazania sukari tu,hebu tumieni akili kidogo,mbona ilipoondolewa service charge ya Tanesco moja Kwa moja hamsifii??,ongezeko kidogo la sukari tena Kwa muda mfupi mmekomalia sukari tu kila siku,jaribu kufatilia kwanini vibali vimedhibitiwa na faida zake,inasikitisha sana vijana wa ki TZ ni walalamishi kupita maelezo na kila kukicha mnakuja na mbinu Mpya za ulalamishi,sijui ni matatizo ya kurithi??
Faida zake ni sukari kupanda bei
wewe hujawahi kununua sukari
Wananchi vijijini ni masikini wa mlo mmoja
bado mafuta taa ya taa ya chemli ni bei mara 2
Umeme wa REA uko wapi, kila siku ahadi
Hapa kwenye uwenyekiti historia itaandikwa. Muda ukifika wote tutashuhudia.Naona mzee anavyozidi kukaribia kuchukua kiti cha mwenyekiti mafisadi matumbo yanazidi kuwakata..mnakosa usingizi
Kikwete Rudi Maana hali mbaya
Umeandika "Mkuu Unatuua", unamanisha nini? Tunaomba Ufafanue maana hatujakuelewa mkuuMkuu ulichokianza unakijua mwenyewe.
Unapotaka kutupeleka unakujua mwenyewe.
Ila sisi tunapambana kila siku tuijue kesho yetu.
Mkuu unatuua, tuache tu tuishi kivyetu na wewe uishi na mawazo/ maono yako.
Asante.
Mmeshaanza kazi rasmi, au bado mpo kwenye rehearsal?Mkuu ulichokianza unakijua mwenyewe.
Unapotaka kutupeleka unakujua mwenyewe.
Ila sisi tunapambana kila siku tuijue kesho yetu.
Mkuu unatuua, tuache tu tuishi kivyetu na wewe uishi na mawazo/ maono yako.
Asante.
Ilani kwa majibu wa kamusi ya kiswahili ni TANGAZO LA ZUIO, ANGALISHO JUU JAMBO FULANI.Kuna thread humu inaelezea ahadi za Magufuli nenda kaisome....
Halafu kuna Ilani ya CCM nenda kaisome pia.
Halafu rudi hapa uje kutuuliza ambacho hujakielewa..
Wewe umeona ya Jakaya tu, hata wale wapiga makofi wengine waangalie usoni. Pia waangalie alipomsifia Shein kwa kung'angania madaraka.duh angalia facial expr..ya jakaya.....
Kwa nini na wewe unajibu kwa kishindo? Uwe unajipa muda wa kusoma na kuelewa. Au uliamka kutoka usingizini na kuamua kumalizia hasira zako kwa ndoto uliyoota?Sio peke yako mnaoamini kuhusu kishindo its a stage in ur dreaming brain called "denial"kwa serikali ya sasa blaza mlianza kwa kushindwa znz mkarudia but sumu sasa ipo mtaani and its spreading like a plague deep down nnchi is worsening msingekumbatia polisi hivi kama sio uwoga na kutojiamini "TRUTH HAS A WAY OF COMING OUT AND WHEN IT DOES EVERYTHING CHANGES".
Link Ukweli kuhusu Rwanda, watutsi, Paul Kagame na uchochezi wa mch. MtikilaWaraka wa Mtikila una nini? Naomba utuwekee link.
Poleni ndugu, baada ya dhiki farajaSukari yetu tulikuwa tunaipata kwa shs 2000 kwa Kilo Taratibu
sukari ni bidhaa ya mnyonge
Wakatia neno, sukari ikaadimika na sasa ni 2500 kwa kilo
Bado nishati ya kupikia ni ghali...Gesi ya majumbani bei ni juu,
watu wanakata miti ya kuni na mkaa
Wakapandisha VAT ya utalii ghafla....
Mafuta taa kodi yake ni mara 2
Kijiini hakuna umeme, mafuta taa ni ukombozi ila sasa ni hatari.... Watu wa mikoa pembezoni wanachukua mafuta taa Kenya na Zambia
Msijali bado hamjapotea,mkipotea kabisa ndugu zenu watawatangaza kwenye bango la tbcMwl Nyerere aliwahi kusema "hatuwezi kuwa na rais ambaye hatujui kesho ataamka amefikiria nini au ameshauriwa nini na mke wake". Kwa wakati ule kilionekana ni kijembe kwa mzee Mwinyi lakini leo kauli yake inaonyesha maana.
Hatujui mwelekeo wa nchi kiukweli hatujui kesho atafukuzwa na nani au ziara ya rais au waziri mkuu itakuwa wapi. Hatujui kama tutaamka tunafagia barabara au tutaingia ofisini kwetu kama kawaida.
Hatujui tunaanza na nini, kujenga viwanda au kuboresha miundombinu na kuimarisha kilimo ili tupate malighafi.
Hatujui tatizo la sukari kwa mfano linaondoka kwa kurekebisha viwanda vyetu na kuongeza uzalishaji wa miwa au kuruhusu sukari ya nje au tuvamie magodauni ya watu
Ukimuangalia usoni na ukasikia anachotamka unakiri ana nia kabisa ya kututoa hapa. Swali ni je? anajua jinsi ya kututoa?
Anajua anakotupeleka? Nimejitahidi kuangalia bunge ili nione labda mawaziri wake wanaweza kuonyesha mwelekeo, huko nikachanganyikiwa zaidi.
Mwanamtandao mmoja alisema unaweza kuwa na dereva mzuri anayefuata sheria zote za barabarani lakini hajui anaenda wapi!