Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Hizo kejeli mkuu, huko nyuma yake tunafanya Nini[emoji846]
 
Wakoloni walijenga miundo mbini chugunzima na hasa ya barabara lkn babu zetu walinyanyua silaha kuwafurusha sasa hata magu pamoja na yote hayo bado ataonekana hajafanya kitu kama hajahangaika na mirad inayogusa maisha yatu wa kipato cha chini ni magumu sana asee
 
Mi na ccm wapi na wapi mkuu... mi naamini yoyote aliyepo sisiem Ni fisadi papa TU...
 
Sijawahi kumpenda kiongozi yoyote anayetokana na sisiem mkuu wote viongozi watokanao na sisiem Ni mafisadi papa mkuu, wametutia umasikini usiotibika mkuu...
Sijawai kumpenda fisadi yoyote inchi hii. Sio membe sio jiwe. Haya nijibu huyo membe mmempendea nini halafu mbona gafla au kawaongezea posho kutoka bk7 mpaka 8?
 
Duh! CHADEMA bana, mnatumia fedha kulipa majobless wakeshe wakitoa threads za kijinga kama hii. Mmemchomekea Membe ili kumfitinisha na Magufuli, hii project ilishafeli kabla haijaanza.
Tumieni akili basi, hivi Membe anaweza akadanganyika na kuicheza ngoma ya CHADEMA?
 

Musiba está loco. The problem is not him but who give him audience.
 
Nitaruka mto nikiufikia.
Kwa sasa namuunga mkono Mh. Rais alozie muda wake 2020 ndio nitasema jambo mana ni mwaka wa uchaguzi.
Kwa sasa ni wakati wa kumsaidia ili kama kuna panapoharibika pasiharibike zaidi au kama kuna pazuri pawe pazuri zaidi.
uzi umeishia hapa
 
Nitaruka mto nikiufikia.
Kwa sasa namuunga mkono Mh. Rais alozie muda wake 2020 ndio nitasema jambo mana ni mwaka wa uchaguzi.
Kwa sasa ni wakati wa kumsaidia ili kama kuna panapoharibika pasiharibike zaidi au kama kuna pazuri pawe pazuri zaidi.
uzi umeishia hapa
 
Anaishia kufanya vitu ambavyo watanzania hawavihitaji kwa sasa.
Ajira finyu.
Mishahara hakuna kupanda
Mahospitalini ndio balaa si vifaa wala wahudumu ni doro.
Maji bado tabu huko vijijini.
Yuko bize kubambika kesi akina mbowe.
Nilimwamwini mwenyewe at first ila siku alipoanza sarakasi za kuzima bunge live nilijua tu huyu mtu hana nia njema na wa tz.
Pole Tz
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] ufipa imepasuka kati kati ... hizi ni dalili za kufutika kwa ufipa



Mtoa mada kama vipi hama nchi
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…