Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Subiri 2020 uzungushe mikono.Nachukia udikteta wa hili jiwe
,hapendi kukosolewa
hapendi uhuru
hapendi upinzani
hapendi mawazo mbadala
hashauriki
wapinzani kwake ni maadui
hana diplomasia
anakurupuka
ameua uchumi
Ameua misingi ya demokrasia yote
huu ni zaidi ya udikteta
Note: Sijataja mtu anajijua mwenyewe abadilike aache udikteta na ugaidi wa kisiasa
Ulishawahi kuwa hata kiongozi wa darasa?Jiwe sio kwamba Ana madhaifu hapana,ila hawezi uongozi kabisa,yaani zero kabisa ila yeye kwa akili yake anaona anachapa kazi kweli
Ndiyo,nlishakuwa mpaka waziri pale KCMCUlishawahi kuwa hata kiongozi wa darasa?
mkono wa BWANA
Kuna siku atalala hatajua kama kumekucha ama laaa
Wewe lazima utakuwa ni fisadi , mwizi au jamabazi na pia ulikuwa unafadiak kipindi cha chukua chako na sasa hizo dili hakuna maisha yamekubana maana haujazoea kula kwa jasho na kazi huwezi , chapa kazi maana asiyefanya kazi na asile.
Maskini hujui hata ulichoandika!Tangu rais magufuli aingie madarakani,yeye na watendaji wake wamekuwa ni watu wa kukurupuka na ubabaishaji .mifano ni mingi mno tena mifano ya wazi wazi,maDC na maRC wamegeuka kuwa ndio wabunge na madiwani.wao wamegeuka kuwa wasikiriza kero za wananchi kuliko wawakilishi wa wananchi(wabunge na madiwani).aidha, mawaziri nao pia badala ya kutumia taaluma zao sasa hivi ni kufanya siasa bila aibu.wahamiaji ccm wamegeuka kuwa black mamba.Hitimisho, ndugu watanzania woote wazalendo wa kweli, serikali hii ya wasaka tonge mwisho 2020 otherwise,tutazidi kuangamia.
Nchi hii wanaoangamia ni mashoga!................ndugu watanzania woote wazalendo wa kweli, serikali hii ya wasaka tonge mwisho 2020 otherwise,tutazidi kuangamia.
Mnajaza server la watu tu humu. Badala ya kufanya kazi unabaki vijiweni tu kuzungumzia usiyoyafahamuMisukule ya Lumumba utaijua tu.buku 7 zimeisha??
Msimuonee Baba wa watu, hata yeye alishasema amesukumiziwa tu akajikuta yupo huko.
Lakini mbona kila kukicha kuna watu wanamtembelea ofisini na kumsifia anafanya kazi nzuri? Miongoni mwao viongozi watangulizi wake, imeenda mbali zaidi baadhi ya wapinzani wamediriki kuhama vyama vyao kuunga mkono ufanisi na utendaji kazi wake, hao wote wanatupotosha?
Mnajaza server la watu tu humu. Badala ya kufanya kazi unabaki vijiweni tu kuzungumzia usiyoyafahamu
Acha kutapatapa, zingatia ulichoandika. Je, unajua majukumu ya kazi za ma RC na DC?Wew unafahamu nini zaid ya buku 7??