Tangu rais magufuli aingie madarakani,yeye na watendaji wake wamekuwa ni watu wa kukurupuka na ubabaishaji .mifano ni mingi mno tena mifano ya wazi wazi,maDC na maRC wamegeuka kuwa ndio wabunge na madiwani.wao wamegeuka kuwa wasikiriza kero za wananchi kuliko wawakilishi wa wananchi(wabunge na madiwani).aidha, mawaziri nao pia badala ya kutumia taaluma zao sasa hivi ni kufanya siasa bila aibu.wahamiaji ccm wamegeuka kuwa black mamba.Hitimisho, ndugu watanzania woote wazalendo wa kweli, serikali hii ya wasaka tonge mwisho 2020 otherwise,tutazidi kuangamia.