Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Jiwe dogo la pembeni la ccm anayetamani kuwa kiongozi wa malaika....KUFURU YA KARNE ULEVI WA MADARAKA NA KUTAFUTA LAANA
 
Wanja jamaa atuue kwa maisha magumu ili akili zisogeleane.Tumeendekeza uoga sana.Mtu gani anatia njaa taifa kwa kuendesha nchi kwa kibuli na mabavu watu wanapaza sauti maisha magumu yeye anasema wote waliao ni wapiga deal
Pia alisema wafanyabiashara wanaolalamika kodi kubwa ni wapiga dili. Juzi tena yeye huyo huyo anawakoromea TRA. Hapo mamake hata kile kidogo hakipatikani tena. Sasa wanaanza kushikana uchawi wenyewe kwa wenyewe.
 
Ni kuliondoa JUMLA JUMLA RINAHALIBU NCHI YETU NZURI
 
Haina shida tutapita vichakani na kula tutakachokuta huko hamna namna
 
Pia alisema wafanyabiashara wanaolalamika kodi kubwa ni wapiga dili. Juzi tena yeye huyo huyo anawakoromea TRA. Hapo mamake hata kile kidogo hakipatikani tena. Sasa wanaanza kushikana uchawi wenyewe kwa wenyewe.
Mbele ya camera jiwe hujifanya ni kiongozi wa wanyonge ila nyuma ya pazia anatoa maagizo ya kuumiza wananchi
 
Kazi ya ma-CHADEMA hiyo Mkuu! Waliiharibu sana hii nchi beyond repair! Angalau sasa inakombolewa kutoka mikononi mwa manyang'au Chadema waliotunga sheria za ajabu ajabu za kuifilisi nchi.
[emoji16] [emoji16] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Afadhali hao wengine maisha yalikuwa yanaeleweka, sasa hivi hakuna maisha ya kueleweka na kila kitu kinafukiwa shimoni.
 
Wanja jamaa atuue kwa maisha magumu ili akili zisogeleane.Tumeendekeza uoga sana.Mtu gani anatia njaa taifa kwa kuendesha nchi kwa kibuli na mabavu watu wanapaza sauti maisha magumu yeye anasema wote waliao ni wapiga deal
Ujue ukweli ujinga ni wetu, yaani tunaona Mambo ya hovyo yanatendeka lkn bado tunakubali kuwa Kama mazobe. Wabunge wetu ni waoga kuliko hata raia wenyewe. Yani sijui Nani mwl wetu
 
Huu hapa ndiyo ukweli mchungu zaidi mkuu.
Acha,acha kabisa kuota! Wala usidhanie kunasiku za kurejeshewa yaliyopita! No! Nedda.
Tukubali hali,tujipange kuendelea na safari.,maisha ndivyo yalivyo mkuu. Jana imepita, kesho siyo yako!!!lakini leo hakika imo mikononi mwako. Waweza kuifanya iwe nzuri au mbaya.....ni wewe tu.
 
Bila kusahau timu ya taifa pia alitia gundu tukachezea kichapo.
Yaani ningekua ni mimi kocha nisingepokea tule tuhela, mtu gani amejaa masimango nafikiri ndiye aliyeleta nuksi hivi angetoa billions kadhaa si angetoka na gobole kuwalipua? Haaa!
 
Mbele ya camera jiwe hujifanya ni kiongozi wa wanyonge ila nyuma ya pazia anatoa maagizo ya kuumiza wananchi
Hapa ndo wa Tz wengi wasipopajua. Lau kama wote tungekuwa na akili za kumuelewa jamaa, Hakuna mwananchi angempa sapoti kutoa yale mapandikizi yake na maroboti ya CCM
 
Wanja jamaa atuue kwa maisha magumu ili akili zisogeleane.Tumeendekeza uoga sana.Mtu gani anatia njaa taifa kwa kuendesha nchi kwa kibuli na mabavu watu wanapaza sauti maisha magumu yeye anasema wote waliao ni wapiga deal
Acha kisirani ngoga muhuri tuwahi
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…