Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KOLA LILILYO (shika / kalia hilo hilo)Kwanini rais alale na mafaili kitandani?
Kwanini rais awe overloaded na clerical works?
Ikulu yetu haina utaratibu wa kumbreef rais?
Why does he have to be the one digging the small details?
Ikulu amekosekana mtu mwenye attention to details?
Ukiona unafanya kazi ambayo walipaswa unaowasimamia waifanye basi ni dhahiri umeshindwa kuwasimamia.
Uchumi wetu kwa sasa sio siri unatembelea ulimi. Hamna siri tena maana kila mtu anaumia.
☆Mfanyakazi hajapandishwa mshahara.
☆Wastaafu wanaibiwa na serikali mchana kweupe.
☆Wafanyabiashara wanaumizwa na kodi na mdororo wa soko.
☆Wakulima ndio usiseme. Waliposikia serikali inanunua korosho kidogo wakapata matumaini. Wakaanza kuiita serikali kwenye mazao mengine kama kahawa,mahindi, mbaazi,n.k mara ghafla boomerang -serikali inataifisha korosho. Wakulima wakakaa kimya kama vile ile shida ya bei kwenye mazao mengine imekwisha.
Kuna tatizo Kongo kwa majeshi yetu, tukubali au tukatae. They are being targeted, for what reason? Hatujui.
Aliyepaswa kuwapa moyo na kutupa maelezo hana habari.
Mahusiano yetu ya kidiplomasia kwa marafiki wa karibu na wa mbali yamedorora vibaya. Mwana diplomasia namba moja ndio mhusika mkuu katika huu mdororo au kwa kauli au kwa matendo yake.
Mabadiliko katika baraza na sekta mbalimbali yameshafanyika vya kutosha lakini hali inazidi kuwa mbaya zaidi.
Nenda vituo vya polisi, vijana wamejaa, wavulana kwa wasichana for petty crimes.
Asilimia 90 ya makosa yao yanahusisha kujitafutia kipato. Tena haifai kuitwa hata kipato ila mlo wa kila leo.
Taifa linaumia ila rais anatimiza ndoto zake za kununua ndege, kujenga reli na flyovers!
Rais alipaswa kuwa mwakilishi wa ndoto na matamaanio yetu sio ndoto na matamaanio yake.
Rais alipaswa kuhakikisha kila kundi/tabaka katika jamii linatimiza ndoto zake na sio kuumiza na kuharibu matabaka yote na kuwageuza wote tabaka moja la wanyonge ili awaongoze.
Mheshimiwa rais ni dhahiri umajaribu na umeshindwa, hongera kwa kujaribu!
2020 utuhurumie, umuachie mwingine naye ajaribu!
Mtu anayetembea bila kujua anakoelekea lazima awe ni kichaaMwalimu Nyerere aliwahi kusema, "Hatuwezi kuwa na Rais ambaye hatujui kesho ataamka amefikiria nini au ameshauriwa nini na mke wake". Kwa wakati ule kilionekana ni kijembe kwa mzee Mwinyi lakini leo kauli yake inaonyesha maana.
Hatujui mwelekeo wa nchi kiukweli, hatujui kesho atafukuzwa na nani au ziara ya Rais au Waziri Mkuu itakuwa wapi. Hatujui kama tutaamka tunafagia barabara au tutaingia ofisini kwetu kama kawaida.
Hatujui tunaanza na nini, kujenga viwanda au kuboresha miundombinu na kuimarisha kilimo ili tupate malighafi.
Hatujui tatizo la sukari kwa mfano linaondoka kwa kurekebisha viwanda vyetu na kuongeza uzalishaji wa miwa au kuruhusu sukari ya nje au tuvamie magodauni ya watu.
Ukimuangalia usoni na ukasikia anachotamka unakiri ana nia kabisa ya kututoa hapa. Swali ni je, anajua jinsi ya kututoa?! Anajua anakotupeleka?
Nimejitahidi kuangalia Bunge ili nione labda Mawaziri wake wanaweza kuonyesha mwelekeo, huko nikachanganyikiwa zaidi.
Mwanamtandao mmoja alisema unaweza kuwa na dereva mzuri anayefuata sheria zote za barabarani lakini hajui anaenda wapi!
Ni 2300.30Alafu kuna uzi umetwambia dollar imefika 2400 kumbe sio
Ameshindwa kukubali kukosolewa sembuse kubadilika?Tufanye subira atajirekebisha!
Pole mkuu, 2025 si mbali.Ameshindwa kukubali kukosolewa sembuse kubadilika?
Hapo kwenye viwanda umemuonea, kwenye ile symposium iliyoitishwa na sycophantic professors, alisema tayari viwanda 3660 vimeshajengwa. Sasa usije ukaniuliza vimejengwa wapi na vinazalisha nini, mimi sijui, nilisikia tu amesema hivyo.Nilijikalia kimya sana kama mnakumbuka nyuzi zangu za nyuma nyuma nilikua namchambua sana na kumkosoa magufuli kuhusu demokrasia na uchumi...mwaka huu nikajipa miezi tisa nikawa nimepumzika tu natafakari na kumwacha nione kama atabadilika au mambo ya kiuchumi kuwa shwari nikawa napost zangu za telaviv na tehran tu wadau wa international forum wananijua nimerudi kuangalia hali ndo imezidi kuwa mbaya na hajabadilika chochote huyu mtu
Ameingia na kafanya mambo ya ajabu sana
.
Ameua uchumi wa kila mtu biashara zote kaharibu
Amewanyima vijana wanyonge ajira
Ameua kilimo ambacho kilikua kimeanza kuleta matumaini toka sera ya kilimo kwanza ianze
Ameua demokrasia
Hapendi kukosolewa
Anafurahia mateso ya wapinzani
Ametumia pesa za wananchi vibaya
Hajali maendeleo ya watu anajali vitu tu mandege na madaraja ni chakula??
Amesababisha sarafu ya tanzania kuporomoka
Ameua biashara zaidi ya laki 7 za maduka hapa nchi kwa mwaka mmoja tu yamefungiwa
Ameharibu chama cha mapinduzi kila kitu na kuwaweka watu wake tu
Pesa za wanyonge za ajira,madawa, maji amechukua badala yake akanunulia mandege
Ameiondoa serikali yake kutoka kujiendesha "kiuwazi" (open government) na kujiendesha kwa siri oneni trilioni 1.5 iko wapi?
Amejenga mazingira ya kuona wakosoaji wake kama maadui
Ameharibu diplomasia ya tanzania na nchi nyinginezo
Anakopa pesa sana nje halafu miradi yenyewe haitarudisha hizo pesa na kinachoumiza zaidi anakopa kwa siri mara nyingi na riba kubwa.....mfano mkopo wa dola milioni 300 ambao riba yake ni dollar milioni 800
Amesababisha mfumuko wa bei na bidhaa nyingi kupana
Nb; Huenda akawa rais wa pekee ambaye utawala wake una mapungufu hiv[emoji1312][emoji1312][emoji1312][emoji1312][emoji1312][emoji1312]kila serikali na kiongozi mara nyingi zinakuepo kasoro na dosari chache il a huyu wetu anazo zote kwa 99% alichokifanya cha maana labda ni hiyo steglers tu maana inaweza kuwa na faida kwa watz vingine vyote kama mandege, madaraja hayana faida kwetu kwa mwendo wa dunia ulivyo angeacha tu kuhusu ndege sasa hivi mashirika mengi yanajiendesha kwa hasara sasa yeye hajifunzi tu?bado ananunua tu ndege???kwenye viwanda ashafeli mapema mno nambieni ni kiwanda kipi cha maana mmekiona?tuambiane mjue 2025 hii nchi alisema itakua ya viwanda nilitarajia nione hata viwanda 100 vikubwa tu mpaka sasa kama mwanzo wa matumaini ila hamna kitu 2020 tuseme ndo ishafika na hamna kiwanda na bado miaka 5 iwe 2025 ya ndoto ya nchi ya viwanda viko wapi??????kwanini tunafanywa watoto?
Ifike mahali tu ukweli usemwe
Magufuli sitokaa nimpigie kura na wala simpendi maana utawala wake hauna faida kwa wanyonge