Ettore Bugatti
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 4,123
- 8,242
Chorus moja dadeki..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiona mtoto yupo bize na kujipikilisha mchanga utadhan utajua kabisa Mwanangu anaecheza...na ni sahihi ..lakini yeye anajua anapiga kazi akikua atajistukia ......lakini huyu naona akili imestuk mahalaJiwe sio kwamba Ana madhaifu hapana,ila hawezi uongozi kabisa,yaani zero kabisa ila yeye kwa akili yake anaona anachapa kazi kweli
Alie like hii comment anamatatizoWewe lazima utakuwa ni fisadi , mwizi au jamabazi na pia ulikuwa unafadiak kipindi cha chukua chako na sasa hizo dili hakuna maisha yamekubana maana haujazoea kula kwa jasho na kazi huwezi , chapa kazi maana asiyefanya kazi na asile.
Ajira IPO white colorjob au kz kwa maana ya fursa na uwezeshajiTofatuti na mtangulizi wake, yye anatumia nguvu nyingi akili kisoda.
Hivi unafikili ukitoa kodi kwa wajisiliamali ambao ana mtaji usiozidi mil 4 ndo utapendwa. Toa ajira ndo suruhisho. Mwenzio alikuwa anakomba madaktari na walumu wote kila mwaka anawaajiri wote na hakukuwa na drama za kufungua mikutano kila siku.
Tatizo unataka kukimbia sana wakati hata kutembea vimekushinda watu wanalia mtaani kila siku graduates wnaongeka hakuna kinachoendelea tofauti na mtangulizi wako ambaye alikuwa na strategies kibao.
Huwezi kuwaambia graduates wote wakawe wajasiliamali halafu uwabanie kwenye mitaji chini ya mil 4 zaidi ya hapo waanze kuwindwa na migambo.
Kwa nini unawafukarisha watanzania kiasi hiki?
Haki ya mungu nakwambia tutakuja kupigana mapanga we ngoja tu.
Sasa hivi ukizunguka mtaani utawaonea huruma watu walichanganyikiwa na maisha.
Mzazi hayuko proud tena na kumsomesha mwanae anaona ni kupotez mda tofauti na enzi za jk ambao ukigraduate tu udaktari au ualimu basi ajira ni uhakika
Duuuh kaz kwl kwlTulia!We are on the right track![emoji41][emoji41][emoji41] View attachment 963262
Sasa hivi kila mtu au watu waliowengi wameamua kuokoka ili tu kuanzisha vijikanisa ili wazichange kupitia sadaka. Ukiona kijana anasema nimeoka jua mambo yamekua magumu anatafuta pa kutokea tu
Atatutuliza mwakani maana anategemea kuja kutuomba kuraAjira kwa vijana ni Bomu linasoburi kulipuka.