warthog gun
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 1,466
- 1,260
Aisee isije kuwa nuksi tena, tuombe.Sasa Leo nimepata taarifa Mzee baba kaenda kumuangalia Mzee Ruksa hospitalini nimejikuta natetemeka Kwa woga sijui kwa nini
Acha kisirani gonga muhuri tuwahiHaina shida tutapita vichakani na kula tutakachokuta huko hamna namna
SanaNa hapo ni miaka 3 tu.. Ikifika miaka 10 na nyongeza juu kwa mujibu wa juma nkamiya, si itakuwa hatari?
AiseeZaidi ya kuwa Mbunge hajawahi kuwa hata Mwenyekiti wa kata unategemea nini???
Ajae atapata Kazi kubwa sana kulirudisha GARI kwenye mstariSubirini tunainyoosha nchi kwanza.
#kazinabata
#membe2020
Well said! Ila edit kidogo hapo mwanzo. Nadhani ulimaanisha “wacha jamaa atuue kwa maisha magumu...”Wanja jamaa atuue kwa maisha magumu ili akili zisogeleane.Tumeendekeza uoga sana.Mtu gani anatia njaa taifa kwa kuendesha nchi kwa kibuli na mabavu watu wanapaza sauti maisha magumu yeye anasema wote waliao ni wapiga deal
Inachotakiwa haya maisha yazidi kuwa magumu ili tukichoka tuchoke wote na majibu yatapatikana siku hiyo.Mtu mwenye hasira na njaa huwa vigumu sana kumtawala labda awe zezeta.Ujue ukweli ujinga ni wetu, yaani tunaona Mambo ya hovyo yanatendeka lkn bado tunakubali kuwa Kama mazobe. Wabunge wetu ni waoga kuliko hata raia wenyewe. Yani sijui Nani mwl wetu
Sasa Leo nimepata taarifa Mzee baba kaenda kumuangalia Mzee Ruksa hospitalini nimejikuta natetemeka Kwa woga sijui kwa nini
Sisi tuliowekeza vimilioni vyetu kwenye korosho presha na matumbo motoNdugu wakuu habarini za jioni?
Nchi hii hali imekuwa tofauti na miaka ya nyuma! Kwa wale wataalam wa maswala ya project management naamini kuwa wanafahamu sasa kama ni mradi tayari umeshafeli(project failure), kuna mambo mengi sana ambayo sisi kama taifa kwa uzalendo na umoja wetu kama watanzani inabidi tutazame ni vitu gani ambavyo vimesababisha ile watu wanapata shida katika maisha yao ya kila siku, kila siku ni afadhali ya Jana tatizo liko wapi? Wakulima wanalia,wafanyakazi, wananchi wanalia,kotekote hali sio nzuri tumekosea wapi? Tuwekeni uzalendo mbele kwa maslai ya taifa hili
Sijakuelewa mkuuAcha kisirani ngoga muhuri tuwahi
Yeah typing error iliyochangiwa na hasira.Well said! Ila edit kidogo hapo mwanzo. Nadhani ulimaanisha “wacha jamaa atuue kwa maisha magumu...”
Anaeweza kujibu kwa ufasaha ni katiba mpya maana walio sain mikataba hewa wote wanaweza kulipa na kufia ndani ila kwa kawaid tu bado tunapiga marktimeAlikuta mambo mengi yameishaharibika; hivyo akijaribu kuyafanyia marekebisho yanaharibika zaidi. Tukae tujiulize maswali ya kimantiki.
1. Alipoingia madarakani alikuta nini azina?
2. Nani aliharibu miundo mbinu ya treini na kuliingiza taifa kwenye matumzi ya barabara?
3. Nani alikuwa akiinjinia uuzwaji wa wanyama kutoka kwenye mbuga zetu?
4. Nani aliruhusu mfumo wetu wa elimu uendelee kutumia utaratibu ule ule wa mkoroni?
5. Nani aliharibu kwenye kilimo kwanza?
6. Nani aliuza benki zetu, nyumba za wafanyakazi kwa kisingizio cha ubinafshishaji?
Majibu ya maswali haya yatamfanya rais wetu aonekane kuwa anachokifanya ni kufufua kile kilichokuwa kinaelekea kufa kabisa. Na hapa sio kwamba namtetea kwamba mimi nina hali nzuri - hapana. Sikuwahi kuwa mwanaccm na sitegemei kwa sababu hii ni kambi yenye kuendeleza yale ya wakoloni.
Inachotakiwa haya maisha yazidi kuwa magumu ili tukichoka tuchoke wote na majibu yatapatikana siku hiyo.Mtu mwenye hasira na njaa huwa vigumu sana kumtawala labda awe zezeta.
2020 kazi na bataKwanini rais alale na mafaili kitandani?
Kwanini rais awe overloaded na clerical works?
Ikulu yetu haina utaratibu wa kumbreef rais?
Why does he have to be the one digging the small details?
Ikulu amekosekana mtu mwenye attention to details?
Ukiona unafanya kazi ambayo walipaswa unaowasimamia waifanye basi ni dhahiri umeshindwa kuwasimamia.
Uchumi wetu kwa sasa sio siri unatembelea ulimi. Hamna siri tena maana kila mtu anaumia.
☆Mfanyakazi hajapandishwa mshahara.
☆Wastaafu wanaibiwa na serikali mchana kweupe.
☆Wafanyabiashara wanaumizwa na kodi na mdororo wa soko.
☆Wakulima ndio usiseme. Waliposikia serikali inanunua korosho kidogo wakapata matumaini. Wakaanza kuiita serikali kwenye mazao mengine kama kahawa,mahindi, mbaazi,n.k mara ghafla boomerang -serikali inataifisha korosho. Wakulima wakakaa kimya kama vile ile shida ya bei kwenye mazao mengine imekwisha.
Kuna tatizo Kongo kwa majeshi yetu, tukubali au tukatae. They are being targeted, for what reason? Hatujui.
Aliyepaswa kuwapa moyo na kutupa maelezo hana habari.
Mahusiano yetu ya kidiplomasia kwa marafiki wa karibu na wa mbali yamedorora vibaya. Mwana diplomasia namba moja ndio mhusika mkuu katika huu mdororo au kwa kauli au kwa matendo yake.
Mabadiliko katika baraza na sekta mbalimbali yameshafanyika vya kutosha lakini hali inazidi kuwa mbaya zaidi.
Nenda vituo vya polisi, vijana wamejaa, wavulana kwa wasichana for petty crimes.
Asilimia 90 ya makosa yao yanahusisha kujitafutia kipato. Tena haifai kuitwa hata kipato ila mlo wa kila leo.
Taifa linaumia ila rais anatimiza ndoto zake za kununua ndege, kujenga reli na flyovers!
Rais alipaswa kuwa mwakilishi wa ndoto na matamaanio yetu sio ndoto na matamaanio yake.
Rais alipaswa kuhakikisha kila kundi/tabaka katika jamii linatimiza ndoto zake na sio kuumiza na kuharibu matabaka yote na kuwageuza wote tabaka moja la wanyonge ili awaongoze.
Mheshimiwa rais ni dhahiri umajaribu na umeshindwa, hongera kwa kujaribu!
2020 utuhurumie, umuachie mwingine naye ajaribu!
Note: nchi huwa haijaribiwi kwa kuongoza never ever.....na kusema apumzike 2020 ni sawa na "kumpigia mbuzi gitaa"Kwanini rais alale na mafaili kitandani?