Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Tunaomba hicho kibaya kije haraka kwa baraka za mwenyezi Mungu
 
Uchafu
 
Nchi iko pabaya sana, mauaji, uchumi mbovu, utekaji, uminywaji wa uhuru wa maoni n.k ni kansa inayolitafuna taifa hili
 
Naona Viongozi wanaupenda wimbo huo hata kuguswa na kushiriki kuuimba wimbo kama ktk video hii :


Swali kuu, je viongozi wote wa ngazi mbalimbali waliopewa mamlaka makubwa wanatenda na kufanya maamuzi kama ushauri ulivyo ktk wimbo?
 
Hahaha! Tangu lini ukachemsha maji yakatokota haswaa halafu ukayaipua yakaacha kurudi kuwa baridi? Ulionawapi. Ushawishi huzaa matokeo chanya na endelevu zaidi kuliko kulazimisha na mabavu, mila, tamaduni, desturi na mazoea havujengwi kwa amri bali ushawishi nankwa muda mrefu sana, vizazi 3 mpaka 4 watu wanabadilika, kwa sasa wengi wameficha makucha tu!!
 
Mungu ni Mwema Sana,hataruhusu yatokee ndani TZ
 
....kama anapoongelea utajiri wa Tanzania anaamanisha kuwa nchi yetu ina potential ya kuwa tajiri. Nakubaliana nae pia kama anamaanisha kuwa nchi yetu haitaji misaada toka popote pale ili kujiendesha.

Ila shida yangu kwa maneno na matendo yake (yapo wazi kwa kila mtu alieamua kutumia akili yake na haitajiki WB, EU au US kutoa tamko ili ajue haya).
1. Kuua private sector ni sawa na kuikata mikono yako mwenyewe huku ukitumia akiba yako kidogo uliyonayo kwa kununua jembe la mkono ili ukalime.
2. Kujaribu kuua upinzani ni sawa na mwanariadha anaetaka kuweka (au kuvunja) rekodi ya dunia (ya mbio za masafa yeyote yale) lakini anataka kukimbia akiwa peke yake.
3. Kukataa skilled labour kutoka nje (wakati elimu yetu sio competitive kulinganisha na mataifa mengine na teknolojia iliyopo) ni sawa na kujikata miguu wakati tunaanza kupanda mlima wenye utelezi huku tukitarajia kufika kileleni.

Rais Magufuli; sera na miradi yako (YOTE KABISA) ilishindwa hata kabla ya kuanza. Don't try to re-invent the wheels.
 
Mwanzisha mada yupo wapi maana naona Last seen march 2018?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…