Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Nimetafakari Sana juu ya uongozi wa Mh Rais John Pombe Joseph Magufuli na mstakabari wa Taifa letu,imenichukuwa takribani miaka mitatu (3).
Nimejiuliza Sana juu ya uongozi wa Magufuli na maendeleo ya jamii kwa ujumla,baada ya tafakari hiyo nami nimeamua rasmi kulitetea Taifa langu dhidi ya walanguzi na wezi wa Taifa letu.

Wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu mwaka 2015,walipita viongozi mbalimbali wa vyama vyote,wakiuza ilani na Sera za vyama vyao,binafsi nitajikita kuangalia Ni kwa namna gani nisivyokubaliana na Sera za Rais rais wetu John Joseph Pombe Magufuli
Magufuli sio kiongozi na wala HAWEZI kuwa kiongozi kwa sababu nitakazozieleza hapa chini:-

Mosi:-Kiongozi Ni mtu mwenye kusikiliza,kunyenyekea,kuonesha njia na kuweka misingi ya umoja wa kitaifa pamoja
Leo tunavyozungumza, Taifa letu haliko pamoja,hatuzungumzi lugha ya kitaifa Kama watanzania,tunabaguana kwa itikadi ya vyema,tunatoa ajira kwa misingi ya itikadi na ukanda
Ili uweze kuajiriwa sehemu kufanya kazi Ni lazima uoneshe kadi yako ya chama Cha Mapinduzi (CCM)

Mwl Nyerere Ni mwasisi wa umoja wa kitaifa,alipokea Taifa kutoka kwa mkoloni tukiwa vipande vipande,lakin Hadi anang'atuka tilikuwa tunazungumza Kama watanzania pasipo kubaguana
Kwa maana hiyo Magufuli haweI kufanana na mwl Julius K Nyerere

Mwl Nyerere aliamini bila Watu,Siasa Safi,Ardhi na Uongozi Bora hakuna Maendeleo ya kweli lakini katika Uongozi wa Magufuli unaamini kuua Watu,Siasa Chafu,Ardhi na Uongozi Mbovu ndo Maendeleo ya kweli,
Ni miaka Sasa imepita,tangu Msaidizi wa Mh Mbowe Ben wa Saanane,mbunge wa Singida mashariki Mh Tundulisi,Mwandishi wa habari wa gazeti la mwananchi Azory Gwanda,mwanafunzi Aqwelina Aqwelini,Msanii wa kizazi kipya Roma mkatoriki na wengine wengi hatujapewa majibu mujarabu na yasiyoshaka kuhusu matukio hayo

Mwl hakujipendele katika suala la Maendeleo,kwa mf Ndani ya mwaka mmoja tu Magufuli amejenga Uwanja wa ndege kwao bila kufuata utaratibu,amefanya teuzi zenye utata Hadi ikulu bill kufuata katiba na sheria za nchi,mwl amekaa ikulu muda mrefu pengine ndo muda ambao hautafikiwa na kiongozi mwingine yeyote,lakini mwl hakuwaza kujenga hata Nyumba yake ya kuishi kwa kutumia pesa za walipa Kodi wa nchi hii​
Mwisho ila sio mwisho,niseme Mh mMagufuli anayo Kila sababuyakujitafakari juu na namna ya uongozi wake ulivyo,haiwezekani,Rais ambae ndie mkuu was nchi,kiongozi wa serikali,mwenyekiti wa chama kinachotawala na amiri jeshi mkuu,eti haujui aliyemteka Been wa Saanane? Aliyepiga Tundulisu ? Aliyemuua Aqwilina ? Aliyemteka Azory ?​
Hata nisiposema mawe yatasema​
@kizazijeuri@maendeleo@​
 
Una umri gani?
 
unamzungumzia MAFULI yup?
kama ni RAIS MAGUFULI yeye hajachaguliwa ili ashindane na mwl nyerere yeye anachapa kazi,na 2020 atapita vilevile
 
Kwani chato hawastahili kula keki ya nchi hii?
 
kila binadamu ameumbwa tofauti kabisa hawawezi kufanana
  • siamini kwamba magufuli anataka kufananiswha na nyerere au ampite kwanza tukae tukijua kuwa muda aliokaa madarakani nyerere ulikuwa mkubwa kuliko ambao huyu jamaa atakaa (kama katiba itafuatwa)
  • kipindi cha nyerere watangnayika wengi walikuwa wajinga kwa kusoma na kuandika na uwezo wao wa kutafakari na kutafsiri vitu haukuwa mkubwa
  • vyombo vya habari na uhuru wa kuhoji haukuwepo
  • watu waliuwawa na kutekwa kama kawaida lakini habari hazikusikika kwa ajiri ya mazingira yaliyokuwepo
  • tekinolojia ilikuwa chini lakini pia kulikuwa na watu wengi waaminifu ukilinganisha na sasa.
kila rais aliyetawala yako mazuri aliyofanya na upo uovu pia kwa upendeleo labda MKAPA peke yake inawezekana hakupendelea maeneo ya kwake lakini upo usemi unaosema mwamba ngoma uvutia kwake hivyo kwa rais kujenga uwanja wa ndege kwao ni kit kidogo sana kwake hata ungekuwa wewe vipo vitu ungefanya kwenu.
 
Kiukweli pamoja na dhamira nzuri tunaambiwa kwa maneno matamu kutoka kwenye kinywa cha kiongozi wetu lakini mambo yalivyo in tofauti sana.

Kwa mfano tukianza na kujieleza wa sheria na katiba ya nchi kuhusu Uhuru wa kujieleza, kuzuia binge lisinekane live, kununua viongozi wa upinzani ili ionekane anafanya kazi nzuri. Lakini ingawa wakati mwingine ni kweli ukitaka kuleta mageuzi lazima uvae akili ya uwendawazimu je uwendawazimu huu mwisho wake utakuwa mzuri kweli?

Huu ni mwaka wa nne badala ya kuona matokeo chanya tunaona mambo yanazidi kuharibika uchumi unashuka, ufisadi umetamaki, maisha kitaa magumu sana, watumisha wanakula mshahara wakikwete, elimu imedorora sana imebaki vitisho tu. Je huyu amefanya mini cha kustahili kuigwa? Je vitisho na ubabe usio na tija kwa taifa? Watu wengi wanahuzunika kimoyo moyo na kujuta sana. Wafanyakazi wanajiuliza kila siku baba huyu tumemkosea nini? Roho mbona ngumu hivi na kazi zote tunazofanya? Huku wakulima nao wanasoneka sana wanaugua moyoni sana mfano wakulima wa korosho na mbaazi wanashindwa wafanyaje kwa solo la mazao yao. Huku vijiweni maswali no mengi sana mtu anataka tufanyeje sisi watanzania aweze kusikia kilio hiki cha wanazania. Kwa wafanya biashara kodi hiyo usipime lakini matokeo ya Jodi hizo mbona hayainekani zaidi ya upigaji mpaka CAG ripoti yake kutaka izuiwe isitangazwe bungeni kwa Aibu ya kuumbuka maana tr.1.6 haionekani.

Hii ni sauti ya mnyonge na huzuni yake moyini huku akotafakari hatima yake na ya watoto wake.
 
1 .Wafanyakazi wa serikali mishahara
haijapandishwa ametuumiza.
2.Wastaafu ndo usiseme.
3.Uhuru wa nyombo vya habari tunaangalia
Tamthiliya hata bunge hatuoni.
4.Wenye channel zao kwenye mitandao na
Blogs ,website wamepandishiwa kodi
5 .Mamantilie na machinga wanalipia vita
bulisho.
6.Vitambulisho vya wakulima vinakuja vish-
atangazwa.
7.Blalabla ukihoji unatekwa unapotezwa
8.Mawaziri,wakuu wa mikoa,wakuu wa wilaya wameufyata.

9.uhuru wa demokrasia,mikutano ya wapinzani hamna.
10.Korosho biggest failure
12.Soko la zao ya mbaazi biggest failure
13.C.A.G kuhoji vya kweli halafu majibu ni pumba ni biggest failure
14.Spika kujaribu kumkwamisha Masele biggest failure kwa vitu vya wazi
15.Kumtumbua kiranja mkuu wa Dar ameshindwa biggest failure
16.Kutekwa watu bila amri failure
17.Kununua wapinzani ,failure
18.Lisu kupigwa risasi ,big failure
19.Wasiojulikana kutopatikana biggest failure ever.
20.Sub bufa dodoma failure
21.kesi ya lisu failure
22.Kesi ya wakurungezi wa uchaguzi na mnakataka rufaa wakati hawatakiwi kikatiba,failure .
23.Acaccia failure
24.wanaotetea ukweli ndani ya CCM kutumbuliwa failure.
25.Maisha magumu
26.kupendelea bashite na kuwatumbua wengine kwa vingezo asivyonavyo bashite biggest failure.

WATANZANIA MTAKUWA WAJINGA KUMPIGIA KURA.
 
Labda aje na Mikia aliyoikata...kama tulimtuma kukata mikia....

Vinginevyo ajiandae kutumia Vyombo vya Dola kumchagua kwani ndio njia pekee inayoweza kumrudisha madarakani kwa urahisi.

2020 ni zamu yetu kutumbua Jipu Kuu ili uchumi ukuwe toka 4% atleast tuvute karibia na sita....
 
1 .Wafanyakazi wa serikali mishahara
haijapandishwa ametuumiza.
2.Wastaafu ndo usiseme.
3.Uhuru wa nyombo vya habari tunaangalia
Tamthiliya hata bunge hatuoni.
4.Wenye channel zao kwenye mitandao na
Blogs ,website wamepandishiwa kodi
5 .Mamantilie na machinga wanalipia vita
bulisho.
6.Vitambulisho vya wakulima vinakuja vish-
atangazwa.
7.Blalabla ukihoji unatekwa unapotezwa
8.Mawaziri,wakuu wa mikoa,wakuu wa wilaya wameufyata.

9.uhuru wa demokrasia,mikutano ya wapinzani hamna.
10.Korosho biggest failure
12.Soko la zao ya mbaazi biggest failure
13.C.A.G kuhoji vya kweli halafu majibu ni pumba ni biggest failure
14.Spika kujaribu kumkwamisha Masele biggest failure kwa vitu vya wazi
15.Kumtumbua kiranja mkuu wa Dar ameshindwa biggest failure
16.Kutekwa watu bila amri failure
17.Kununua wapinzani ,failure
18.Lisu kupigwa risasi ,big failure
19.Wasiojulikana kutopatikana biggest failure ever.
20.Sub bufa dodoma failure
21.kesi ya lisu failure
22.Kesi ya wakurungezi wa uchaguzi na mnakataka rufaa wakati hawatakiwi kikatiba,failure .
23.Acaccia failure
24.wanaotetea ukweli ndani ya CCM kutumbuliwa failure.
25.Maisha magumu
26.kupendelea bashite na kuwatumbua wengine kwa vingezo asivyonavyo bashite biggest failure.

WATANZANIA MTAKUWA WAJINGA KUMPIGIA KURA.
Yaani bora mimi ambaye sipigi kura

Mbunge
Rais

Sijawahi kupiga kura na kitambulisho nilichukua kwa ajili ya mambo yangu binafsi kama kusajilia line kufungulia account n.k.

Naomba mnishawishi mwakani nipige kura wakuu
 
1 .Wafanyakazi wa serikali mishahara
haijapandishwa ametuumiza.
2.Wastaafu ndo usiseme.
3.Uhuru wa nyombo vya habari tunaangalia
Tamthiliya hata bunge hatuoni.
4.Wenye channel zao kwenye mitandao na
Blogs ,website wamepandishiwa kodi
5 .Mamantilie na machinga wanalipia vita
bulisho.
6.Vitambulisho vya wakulima vinakuja vish-
atangazwa.
7.Blalabla ukihoji unatekwa unapotezwa
8.Mawaziri,wakuu wa mikoa,wakuu wa wilaya wameufyata.

9.uhuru wa demokrasia,mikutano ya wapinzani hamna.
10.Korosho biggest failure
12.Soko la zao ya mbaazi biggest failure
13.C.A.G kuhoji vya kweli halafu majibu ni pumba ni biggest failure
14.Spika kujaribu kumkwamisha Masele biggest failure kwa vitu vya wazi
15.Kumtumbua kiranja mkuu wa Dar ameshindwa biggest failure
16.Kutekwa watu bila amri failure
17.Kununua wapinzani ,failure
18.Lisu kupigwa risasi ,big failure
19.Wasiojulikana kutopatikana biggest failure ever.
20.Sub bufa dodoma failure
21.kesi ya lisu failure
22.Kesi ya wakurungezi wa uchaguzi na mnakataka rufaa wakati hawatakiwi kikatiba,failure .
23.Acaccia failure
24.wanaotetea ukweli ndani ya CCM kutumbuliwa failure.
25.Maisha magumu
26.kupendelea bashite na kuwatumbua wengine kwa vingezo asivyonavyo bashite biggest failure.

WATANZANIA MTAKUWA WAJINGA KUMPIGIA KURA.

huo mtazamo wako usitulazimishe na sisi kuona kama unavyoona kuna mambo makubwa yamefanyika katika awamu
 
Kuna wazee 40 huwa nawanunulia kahawa kila siku jioni nimeshawaambia kabisa uchaguzi ujao wakimchagua mtu wa ajabu wasitegemee tena kuwa nitawanunulia kahawa na wala kuwapa msaada wowote
Hao wazee wa chama gani? Kama ni CCM hiyo rushwa yako haisaidii,
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom