Muda hua ni mwalimu mzuri sanaMiongoni mwa nyuzi bora tangu Rais Magufuli aingie madarakani 2015
Una umri gani?Nimetafakari Sana juu ya uongozi wa Mh Rais John Pombe Joseph Magufuli na mstakabari wa Taifa letu,imenichukuwa takribani miaka mitatu (3).
Nimejiuliza Sana juu ya uongozi wa Magufuli na maendeleo ya jamii kwa ujumla,baada ya tafakari hiyo nami nimeamua rasmi kulitetea Taifa langu dhidi ya walanguzi na wezi wa Taifa letu.
Wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu mwaka 2015,walipita viongozi mbalimbali wa vyama vyote,wakiuza ilani na Sera za vyama vyao,binafsi nitajikita kuangalia Ni kwa namna gani nisivyokubaliana na Sera za Rais rais wetu John Joseph Pombe Magufuli
Magufuli sio kiongozi na wala HAWEZI kuwa kiongozi kwa sababu nitakazozieleza hapa chini:-
Mosi:-Kiongozi Ni mtu mwenye kusikiliza,kunyenyekea,kuonesha njia na kuweka misingi ya umoja wa kitaifa pamoja
Leo tunavyozungumza, Taifa letu haliko pamoja,hatuzungumzi lugha ya kitaifa Kama watanzania,tunabaguana kwa itikadi ya vyema,tunatoa ajira kwa misingi ya itikadi na ukanda
Ili uweze kuajiriwa sehemu kufanya kazi Ni lazima uoneshe kadi yako ya chama Cha Mapinduzi (CCM)
Mwl Nyerere Ni mwasisi wa umoja wa kitaifa,alipokea Taifa kutoka kwa mkoloni tukiwa vipande vipande,lakin Hadi anang'atuka tilikuwa tunazungumza Kama watanzania pasipo kubaguana
Kwa maana hiyo Magufuli haweI kufanana na mwl Julius K Nyerere
Mwl Nyerere aliamini bila Watu,Siasa Safi,Ardhi na Uongozi Bora hakuna Maendeleo ya kweli lakini katika Uongozi wa Magufuli unaamini kuua Watu,Siasa Chafu,Ardhi na Uongozi Mbovu ndo Maendeleo ya kweli,
Ni miaka Sasa imepita,tangu Msaidizi wa Mh Mbowe Ben wa Saanane,mbunge wa Singida mashariki Mh Tundulisi,Mwandishi wa habari wa gazeti la mwananchi Azory Gwanda,mwanafunzi Aqwelina Aqwelini,Msanii wa kizazi kipya Roma mkatoriki na wengine wengi hatujapewa majibu mujarabu na yasiyoshaka kuhusu matukio hayo
Mwl hakujipendele katika suala la Maendeleo,kwa mf Ndani ya mwaka mmoja tu Magufuli amejenga Uwanja wa ndege kwao bila kufuata utaratibu,amefanya teuzi zenye utata Hadi ikulu bill kufuata katiba na sheria za nchi,mwl amekaa ikulu muda mrefu pengine ndo muda ambao hautafikiwa na kiongozi mwingine yeyote,lakini mwl hakuwaza kujenga hata Nyumba yake ya kuishi kwa kutumia pesa za walipa Kodi wa nchi hiiMwisho ila sio mwisho,niseme Mh mMagufuli anayo Kila sababuyakujitafakari juu na namna ya uongozi wake ulivyo,haiwezekani,Rais ambae ndie mkuu was nchi,kiongozi wa serikali,mwenyekiti wa chama kinachotawala na amiri jeshi mkuu,eti haujui aliyemteka Been wa Saanane? Aliyepiga Tundulisu ? Aliyemuua Aqwilina ? Aliyemteka Azory ?Hata nisiposema mawe yatasema@kizazijeuri@maendeleo@
Kwani chato hawastahili kula keki ya nchi hii?Nimetafakari Sana juu ya uongozi wa Mh Rais John Pombe Joseph Magufuli na mstakabari wa Taifa letu,imenichukuwa takribani miaka mitatu (3).

Yaani bora mimi ambaye sipigi kura1 .Wafanyakazi wa serikali mishahara
haijapandishwa ametuumiza.
2.Wastaafu ndo usiseme.
3.Uhuru wa nyombo vya habari tunaangalia
Tamthiliya hata bunge hatuoni.
4.Wenye channel zao kwenye mitandao na
Blogs ,website wamepandishiwa kodi
5 .Mamantilie na machinga wanalipia vita
bulisho.
6.Vitambulisho vya wakulima vinakuja vish-
atangazwa.
7.Blalabla ukihoji unatekwa unapotezwa
8.Mawaziri,wakuu wa mikoa,wakuu wa wilaya wameufyata.
9.uhuru wa demokrasia,mikutano ya wapinzani hamna.
10.Korosho biggest failure
12.Soko la zao ya mbaazi biggest failure
13.C.A.G kuhoji vya kweli halafu majibu ni pumba ni biggest failure
14.Spika kujaribu kumkwamisha Masele biggest failure kwa vitu vya wazi
15.Kumtumbua kiranja mkuu wa Dar ameshindwa biggest failure
16.Kutekwa watu bila amri failure
17.Kununua wapinzani ,failure
18.Lisu kupigwa risasi ,big failure
19.Wasiojulikana kutopatikana biggest failure ever.
20.Sub bufa dodoma failure
21.kesi ya lisu failure
22.Kesi ya wakurungezi wa uchaguzi na mnakataka rufaa wakati hawatakiwi kikatiba,failure .
23.Acaccia failure
24.wanaotetea ukweli ndani ya CCM kutumbuliwa failure.
25.Maisha magumu
26.kupendelea bashite na kuwatumbua wengine kwa vingezo asivyonavyo bashite biggest failure.
WATANZANIA MTAKUWA WAJINGA KUMPIGIA KURA.
1 .Wafanyakazi wa serikali mishahara

Hao wazee wa chama gani? Kama ni CCM hiyo rushwa yako haisaidii,Kuna wazee 40 huwa nawanunulia kahawa kila siku jioni nimeshawaambia kabisa uchaguzi ujao wakimchagua mtu wa ajabu wasitegemee tena kuwa nitawanunulia kahawa na wala kuwapa msaada wowote
Hao wazee ni ccm lkn pia ndio kamati ya FITINA inayohakikishaga ZITTO anashindaHao wazee wa chama gani? Kama ni CCM hiyo rushwa yako haisaidii,
kamati hiyo ya CCM itahakikisha ZITTO anashinda nini?Hao wazee ni ccm lkn pia ndio kamati ya FITINA inayohakikishaga ZITTO anashinda