Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Rais wetu yupo nje ya nchi anatibiwa majera ya kutaka kumdhuru yaliyo fanywa na hyu bwana Ally Bashiri. Akirudi tuu tunampa nchi na huyu Ally Bashiri ajiandae kisaikolojia kuishia jela na vibaraka wake.
Duh are you CDF?
 
Maisha magum ww au ww huoni hatukatai mambo anayofanya lkn huwezi kopa benki hela halafu ukajenga nyumba watoto wakalala njaa na deni unalo bei za vitu inapanda Mf bati nk tukisema aya mnasema uchumi unakuwa kwa asilimia 7 acheni unafiki
 
Nendeni mkajiajiri hizi ndoto za kuwa hakubaliki na mnaona uwanja wa Taifa ndugu zetu Waislamu wamemkubali nyie ni nani hasa.
 
Sisi Watanzania ni watu wa ajabu sana. Labda tuna laana.. Maana watumishi wa umma na vijana wasio na na ajira peke yao wakipiga kura wana uwezo wa kuiweka Ccm likizo isiyo na malipo.
Utakuta kijana graduate ana gongea jero lakini anaipigia Ccm debe. Wakati hana uhakika wa mlo hata mmoja..
 
nchi hii inabidi iingie kwenye vitabu vya maajabu mkuu
 
Siku watanzania wakiamua ccm watatoka tu ,watu wakichoka huwa hawaambiwi cha kufanya hufanya wenyewe ,umeona Sudan unafikiri waliambiwa na nani kumtoa Albashir .
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…